Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ahaa hapo nimekuelewa na je hyo swift code ya bank hua ipo kwny bank statement au nimpaka uende kuiomba benki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea umechukulia wapi hiyo statement, most zina kuwa na branch code cheki chini
e023422e82af25dfeb982d54c82305aa.jpg
 
Mungu nusuru transaction zangu manake niliwithrdaw tangu jumapili na bado sijakwenda kuangalia kama zimeingia au lah(manake niliiamini sana hii bank), though broker alituma msg kusema kwamba zimeshatumwa....
Hii nchi hii kusema ukweli hakuna Bank yakuiamini manake ikishafunga ndoa na BOT tu baaass roho inawabadilika....
Equity na FNB walipokuwa wanaingia TZ walikuwa malaika weupeee ila sasahivi full mapicha picha

Mkuu vipi ulifanikiwa kuwithdraw your transactions ? ... maana nina account crdb ila naoana mapicha picha tu kwao nd i wanted to shiftt to FNB ......
 
Juzi jioni nilikwenda kucheck nikakuta bado hazijafika..
 
naombeni niwaulize kitu hivi hii forex IPO kama mchezo betting ? yani ile hali yakukisia kwamba mfano dollar itapanda au itashuka
 
Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Je unaweza kuhamisha Pesa kutoka Crdb to scrill bila shida?

Nikushukuru sana kamanda. This is what I have been waiting for, tatizo hawa bankers nadhani ni ushamba unawasumbua. haya mambo yanawasaidia hata wao kuongeza bank revenues sijui wamekulia wapi na karne ipi bado sijapata jibu. Tatizo kubwa they are so rigid hata kusoma kidogo kinachoendelea duniani hawawezi, basi wanatamba na vyeti obselete vya Phd, Masters, CPA, CISA, ACCA, Postgraduate, na kadhalika ila ni WATUPU ile mbaya. hutakaa uwasikilize hata dakika kumi perceptions zao. Pathetic!!!!!!
 
Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Sorry mkuu, Kuna uwezekano wa kuhamisha pesa zangu kutoka kwenye iyo pioneer bank kwenda kwenye hiz local bank zetu ili niweze kudraw kupitia hiz bank zetu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Done.

How to use it.

Green - Bullish

Red - Bearish

Partial Green - Partial Bullish

Partial Red - Partial Bearish

Not all the time the sheet works. Don't rely on it all the time, but it works most of the time..

You need also to test it and incorporate to your trading strategy.

Don't copy and paste.

The fundamental side can be changing most of the time and doesn't stick to one pair per see. So, news pay not affect the pair started on the sheet.

So be careful with it, it's not a dogma to stick to it.

Be flexible.
 
Attachments

Aisee, nimeipenda sana ila kuna kitu ningependa kujua zaidi ww unafungua ofisi na yote mengine unayofanya juu ya biashara hii. Je? once unafanikiwa kumuinroll mtu kwa biashara hii unapata commission?

Sent using Jamii Forums mobile app

hata mimi ningependa kujua yeye anafaidika vipi kunifundisha mimi nijiunge forex? mpaka anafungua ofisi gharama za kodi, gharama za kukodi ukumbi wa kutufundisha atazirudisha vipi? kama kuna hidden cost au hidden information tuzijue mapema
 
Kuna wenzako wameanza kujisomea toka huu uzi uanze na sasa hivi kuna ambao wameshafungua live accounts na wanaanza kutrade.
Wana uwezo wa kwenda kwenye training na wasiende. Ila wameifahamu forex kwa mara ya kwanza na wakaifanyia kazi.
Endelea kusubiri hadi ufundishwe.
 
hata mimi ningependa kujua yeye anafaidika vipi kunifundisha mimi nijiunge forex? mpaka anafungua ofisi gharama za kodi, gharama za kukodi ukumbi wa kutufundisha atazirudisha vipi? kama kuna hidden cost au hidden information tuzijue mapema
Bila Shaka hujapitia vizur uzi huu& kwa kua hujapitia vizur naomba nikujibu kama ifuatavyo "mwanzon kabisa Ontario alisema kua atatoa OFA kwa watu 300 wa kwanza, badae kidogo akashusha toka 300 ad watu 150. Kitu chochote kinachoanza kwa OFA lazima kilipiwe badae, kwa maelezo ya PRO.Ontario (sikumbuk ni post namba ngap) bt alisema ataanza na Hao wachache af watakao fuatia watakua wanalipia mafunzo kwa Ada kama ya SCHOOL OF LAW, naomba niishie apa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi ningependa kujua yeye anafaidika vipi kunifundisha mimi nijiunge forex? mpaka anafungua ofisi gharama za kodi, gharama za kukodi ukumbi wa kutufundisha atazirudisha vipi? kama kuna hidden cost au hidden information tuzijue mapema
Unajichanganya kwa sababu tu umeona uvivu kusoma,maswali hayo magumu unayojiuliza unajipa shida bure,hii kitu ni rahisi sana,soma page ya kwanza kabisa ya ontario na hautajitesa hivi na maswali magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Done.

How to use it.

Green - Bullish

Red - Bearish

Partial Green - Partial Bullish

Partial Red - Partial Bearish

Not all the time the sheet works. Don't rely on it all the time, but it works most of the time..

You need also to test it and incorporate to your trading strategy.

Don't copy and paste.

The fundamental side can be changing most of the time and doesn't stick to one pair per see. So, news pay not affect the pair started on the sheet.

So be careful with it, it's not a dogma to stick to it.

Be flexible.
Mkuu Bavaria hii mambo mbona inagoma funguka kwenye simu nafanyaje ifunguke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom