Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Ahaaa, ukiwa na pesa kwa skrill na unataka kuzitoa kwa bank unazihamisha tu kwenda bank na kuzitoa chap.
Hii ni sawa na kuhamisha pesa toka m pesa kwenda bank ili utoe kwa atm
Mkuu hapa luna linkage naona kama nimeipoteza tena sababu ya maswali ya watu.
1. Do u mean ile MasterCard from Pioneer naweza link it to my skrill account halafu mie nikishapata pesa kwa broker ambaye ana support skrill na hamishia to Skrill account then from skrill to Pioneer Master Card which I can cash out kwa any ATM ambayo ina support Mastercard?
2. Au unamaanisha any money transfered to my local bank account ambayo iko linked na Skrill haiwezi kuwa blocked na nita cash out bila shida?
Natanguliza shukrani