Migogoro junior
Member
- Jul 6, 2016
- 38
- 219
Na hawa Pioneer wanaweza kukutumia kadi ukawa unatoa pesa kwenye atm yyte?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea umechukulia wapi hiyo statement, most zina kuwa na branch code cheki chiniAhaa hapo nimekuelewa na je hyo swift code ya bank hua ipo kwny bank statement au nimpaka uende kuiomba benki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nimekupata kiongozi. ThanksInategemea umechukulia wapi hiyo statement, most zina kuwa na branch code cheki chini![]()
M pesa kenya wako na deal na skrill lkn tz bado but baada najua m pesa tz itaunganishwa. Kuna option ya ku add akaunt uta add piaNa vp jns ya kuhamisha pesa safaricom to mpesa kutoka skrill ebu nieleweshe mkuu hapa inakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu nusuru transaction zangu manake niliwithrdaw tangu jumapili na bado sijakwenda kuangalia kama zimeingia au lah(manake niliiamini sana hii bank), though broker alituma msg kusema kwamba zimeshatumwa....
Hii nchi hii kusema ukweli hakuna Bank yakuiamini manake ikishafunga ndoa na BOT tu baaass roho inawabadilika....
Equity na FNB walipokuwa wanaingia TZ walikuwa malaika weupeee ila sasahivi full mapicha picha
Juzi jioni nilikwenda kucheck nikakuta bado hazijafika..Mkuu vipi ulifanikiwa kuwithdraw your transactions ? ... maana nina account crdb ila naoana mapicha picha tu kwao nd i wanted to shiftt to FNB ......
Je unaweza kuhamisha Pesa kutoka Crdb to scrill bila shida?Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Nikushukuru sana kamanda. This is what I have been waiting for, tatizo hawa bankers nadhani ni ushamba unawasumbua. haya mambo yanawasaidia hata wao kuongeza bank revenues sijui wamekulia wapi na karne ipi bado sijapata jibu. Tatizo kubwa they are so rigid hata kusoma kidogo kinachoendelea duniani hawawezi, basi wanatamba na vyeti obselete vya Phd, Masters, CPA, CISA, ACCA, Postgraduate, na kadhalika ila ni WATUPU ile mbaya. hutakaa uwasikilize hata dakika kumi perceptions zao. Pathetic!!!!!!Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Sorry mkuu, Kuna uwezekano wa kuhamisha pesa zangu kutoka kwenye iyo pioneer bank kwenda kwenye hiz local bank zetu ili niweze kudraw kupitia hiz bank zetu???Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Nimeshindwa,ingia youtube nadhani utampata tu,search dar forex academy
0655301212 Niunge namiForex Traders
Click the link
Mkuu salamaInategemea umechukulia wapi hiyo statement, most zina kuwa na branch code cheki chini![]()
Aisee, nimeipenda sana ila kuna kitu ningependa kujua zaidi ww unafungua ofisi na yote mengine unayofanya juu ya biashara hii. Je? once unafanikiwa kumuinroll mtu kwa biashara hii unapata commission?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wenzako wameanza kujisomea toka huu uzi uanze na sasa hivi kuna ambao wameshafungua live accounts na wanaanza kutrade.hata mimi ningependa kujua yeye anafaidika vipi kunifundisha mimi nijiunge forex? mpaka anafungua ofisi gharama za kodi, gharama za kukodi ukumbi wa kutufundisha atazirudisha vipi? kama kuna hidden cost au hidden information tuzijue mapema
Bila Shaka hujapitia vizur uzi huu& kwa kua hujapitia vizur naomba nikujibu kama ifuatavyo "mwanzon kabisa Ontario alisema kua atatoa OFA kwa watu 300 wa kwanza, badae kidogo akashusha toka 300 ad watu 150. Kitu chochote kinachoanza kwa OFA lazima kilipiwe badae, kwa maelezo ya PRO.Ontario (sikumbuk ni post namba ngap) bt alisema ataanza na Hao wachache af watakao fuatia watakua wanalipia mafunzo kwa Ada kama ya SCHOOL OF LAW, naomba niishie apa.......hata mimi ningependa kujua yeye anafaidika vipi kunifundisha mimi nijiunge forex? mpaka anafungua ofisi gharama za kodi, gharama za kukodi ukumbi wa kutufundisha atazirudisha vipi? kama kuna hidden cost au hidden information tuzijue mapema
Unajichanganya kwa sababu tu umeona uvivu kusoma,maswali hayo magumu unayojiuliza unajipa shida bure,hii kitu ni rahisi sana,soma page ya kwanza kabisa ya ontario na hautajitesa hivi na maswali magumu.hata mimi ningependa kujua yeye anafaidika vipi kunifundisha mimi nijiunge forex? mpaka anafungua ofisi gharama za kodi, gharama za kukodi ukumbi wa kutufundisha atazirudisha vipi? kama kuna hidden cost au hidden information tuzijue mapema
Mkuu Bavaria hii mambo mbona inagoma funguka kwenye simu nafanyaje ifunguke?Done.
How to use it.
Green - Bullish
Red - Bearish
Partial Green - Partial Bullish
Partial Red - Partial Bearish
Not all the time the sheet works. Don't rely on it all the time, but it works most of the time..
You need also to test it and incorporate to your trading strategy.
Don't copy and paste.
The fundamental side can be changing most of the time and doesn't stick to one pair per see. So, news pay not affect the pair started on the sheet.
So be careful with it, it's not a dogma to stick to it.
Be flexible.