Kabisa mkuu wanguHapo tumeenda sawa sababu kuna maswali yalinitoa kwenye concept nikaona napoteza direction.
Kumbe I bado naweza ku credit account yangu ya skrill through my CRDB account then naitumia nitakavyo ila ni mwiko kurudisha pesa CRDB from any online platform unless iwe refund tu
Umenitoa gizani aisee
Ukikwama nicheki
Kama itasaidia itakuwa vizuri zaidi.File linafunguka na hii ni screenshot, sema watu awana software ya kufungua rar file
Maybe they can open kutoka zip file
Niko karibu na Arusha,lini mtakuwa hukoTumshukuru ONTARIO kutukutanisha hapa
Ninasikitika jamaa alikuwa na nia njema kuleta uzi na kutuletea menta lkn wabongo wenye roho za korosho wamesababisha jamaa apate vikwazo vya kutmiza lengo kwa wakati.
Sisi pia tulijiorganize na kuleta menta jamaa walituwekea vikwazo balaa lkn we thank God tulifanikisha Dar last week, na Arusha nao watafanikisha two weeks to come.
Wakuu bila menta forex huwezi...lazima ufundishwe namna ya kutumia charts..candlestick, fibonacci namna ya kufanya analysis before you sell or buy.
Ontario alituweka wazi namna alivyoanza na hata sasa ana menta wake. Itakuwa vyema afanikishe training ili watu wajue kwa usahihi.
Mabanks hawataki kabisa hili tulijue lkn wamechelewa. Tumwombee jamaa afanikishe ili watanzania wengi wajue hili.
Wakuu tusiwe na wivu kuwafundisha wengine hii sio biashara ya matango, viazi au mchele eti tukijua wote soko litaharibika, la hasha.
Kimsingi mimi sitoi training but watu wamejiorganize na kuleta menta toka nje...week mbili zijazo
Umejaribu ikafanikiwa?
Ningependa niwepo, na taratibu zingine naomba unielekezeKimsingi mimi sitoi training but watu wamejiorganize na kuleta menta toka nje...week mbili zijazo
Mkuu nicheki nikuunge nao
Mkuu nicheki nikuunge nao
Ya Dar ilishafanyika, tuliweka link hapa ya group la whatsapp, tulibezwa, tulitukanwa na wengine walienda mbali zaidi hadi kuwatisha menta wasikanyage bongo watawafunga. Mtu asaidiweje?mkuu ungeweka hapa ingekaa vizuri maana wengi wangefaidika waka weight out if waende Dar au wafanye hio ya Arusha kama hakutakua na gharama kubwa saidia uwezavyo
Ya Dar ilishafanyika, tuliweka link hapa ya group la whatsapp, tulibezwa, tulitukanwa na wengine walienda mbali zaidi hadi kuwatisha menta wasikanyage bongo watawafunga. Mtu asaidiweje?
Ontario anaposema anapitia wakati mgumu hatanii, nimethibitisha mwenyewe..nadhani umenielewa
Milango iko wazi karibu mkuuyes sir, naomba nisaidie kwa DM tafadhali
Masahihisho ..ni PAYONEER na sio pioneer..x
1. Uko sahihi sana unatakiwa kulink na skrill kwani Payoneer hawakubali transaction za individual kuepusha kufadhili ugaidi..wanataka pesa yako itoke kwenye makampuni ya online services eg skrill, worldremit na mengineyo.
Ukinisoma kwa posts za nyuma nimewaeleza unapojaza kazi na kusudio la ac ujaze hivi;
1. Online working
2. Forex trading
Ndipo uweze kuruhusiwa kutrade.
Wako makini sana ukijaza vinginevyo watataka link ya store yako au biashara yako...ujue hii ni ya kimarekani...utatakiwa u attach banking statement na swift code ya bank yako na watafuatilia kwa bank yako wajiridhishe kama taarifa zsko ni za kweli. Ukivuka viunzi hivi sasa usumbufu wa kutrade kwishaaaa
2. Kutoka local akaunt;
Pata mastercard isiyo na ac..mfano I&M bank...hii unajaza madolari yako itume kwa skrill ili umtumie broker wako..ukishspata faida rudisha kwa skrill ili uzitume PAYONEER BANK ili u withdrawal bila vikwazo vya bank.
Ukiwa na swali zaidi karibu
Tunamshukuru kwakwel na naamini atafanikisha tu lengo lake la kututoa vijana wa kitanzania kwenye hli janga la umaskini for the mean time let us help each other kupigana na hii mamboTumshukuru ONTARIO kutukutanisha hapa
Ninasikitika jamaa alikuwa na nia njema kuleta uzi na kutuletea menta lkn wabongo wenye roho za korosho wamesababisha jamaa apate vikwazo vya kutmiza lengo kwa wakati.
Sisi pia tulijiorganize na kuleta menta jamaa walituwekea vikwazo balaa lkn we thank God tulifanikisha Dar last week, na Arusha nao watafanikisha two weeks to come.
Wakuu bila menta forex huwezi...lazima ufundishwe namna ya kutumia charts..candlestick, fibonacci namna ya kufanya analysis before you sell or buy.
Ontario alituweka wazi namna alivyoanza na hata sasa ana menta wake. Itakuwa vyema afanikishe training ili watu wajue kwa usahihi.
Mabanks hawataki kabisa hili tulijue lkn wamechelewa. Tumwombee jamaa afanikishe ili watanzania wengi wajue hili.
Wakuu tusiwe na wivu kuwafundisha wengine hii sio biashara ya matango, viazi au mchele eti tukijua wote soko litaharibika, la hasha.
Shukrani kwa hii imefungukaFile linafunguka na hii ni screenshot, sema watu awana software ya kufungua rar file
Maybe they can open kutoka zip file
Hiyo card ya pioneer unaipataje au unatumiwa posta??Milango iko wazi karibu mkuu
Umejijibu mkuu..unatumiwa kama parcel within 10 days iko mikononiHiyo card ya pioneer unaipataje au unatumiwa posta??
Nimeku pm mkuuMilango iko wazi karibu mkuu
Mkuu sijajuua kama nimekuwa mgumu kuelewa au la, Je naanza kufungua Bank account ya tz ulio itaja kwenye post za nyuma then Skrill nakumalizia na Payoneer au inakuaje embu nipe mtiririko mzuri tayari nina mastarcard ya ecobank.Umejijibu mkuu..unatumiwa kama parcel within 10 days iko mikononi