Tumshukuru
ONTARIO kutukutanisha hapa
Ninasikitika jamaa alikuwa na nia njema kuleta uzi na kutuletea menta lkn wabongo wenye roho za korosho wamesababisha jamaa apate vikwazo vya kutmiza lengo kwa wakati.
Sisi pia tulijiorganize na kuleta menta jamaa walituwekea vikwazo balaa lkn we thank God tulifanikisha Dar last week, na Arusha nao watafanikisha two weeks to come.
Wakuu bila menta forex huwezi...lazima ufundishwe namna ya kutumia charts..candlestick, fibonacci namna ya kufanya analysis before you sell or buy.
Ontario alituweka wazi namna alivyoanza na hata sasa ana menta wake. Itakuwa vyema afanikishe training ili watu wajue kwa usahihi.
Mabanks hawataki kabisa hili tulijue lkn wamechelewa. Tumwombee jamaa afanikishe ili watanzania wengi wajue hili.
Wakuu tusiwe na wivu kuwafundisha wengine hii sio biashara ya matango, viazi au mchele eti tukijua wote soko litaharibika, la hasha.