Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu sijajuua kama nimekuwa mgumu kuelewa au la, Je naanza kufungua Bank account ya tz ulio itaja kwenye post za nyuma then Skrill nakumalizia na Payoneer au inakuaje embu nipe mtiririko mzuri tayari nina mastarcard ya ecobank.
1. Skrill fungua hata sasa na upande wa kujaza mastercard jaza hiyo ya ecobank..usiwe na hofu wana option ya ku add acc. Hivyo ya payoneer utajaza ukipata mastercard.

2. Payoneer pia sehemu ya kujaza bank, banking statement jaza za ecobank, cha msingi unapoenda kuomba statement omba upewe swift code kwani kuna sehemu ya kujaza. Endapo hujaelewa nicheki tu
 
Ukisha jiunga na Payoneer watakutumia mastercard ndani ya siku 10 za kazi.
Hapa bongo tunia I&M bank upewe mastercard isiyo na ac ambayo utakuwa unajaza dolari zako na kumtumia broker kupitia skrill
Unajazaje?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
nataka kujiunga na darasa hili ni nini natakiwa kufanya?
 
Hakuna kianzio payoneer wala skrill.
Payoneer watakucharge $30 kwa mwaka unavyotumia huduma zao.
Skrill watakucharge per transaction
ok...sasa mkuu hiyo mastercard unatumiwa bila kudeposit chochote kwenye hiyo account ya payoneer?
 
ok...sasa mkuu hiyo mastercard unatumiwa bila kudeposit chochote kwenye hiyo account ya payoneer?
Ndio..kimsingi kwenye hii acc hutakiwi kudeposit bali unahamishia pesa toka kampuni nyingine mfano skrill wanazuia mtu kudeposit kuepusha kufadhili ugaidi..fuatilia maelezo yangu juu:
Iko hivi:
Ukitrade na ukapata faida, badala ya kuitoa pesa kupitia bank unapeleka SKRILL,
Kutoka skrill to payoneerbank.
Ikishaingia bank..Payoneer ndipo unaanza kutoa kwa mastercard zote mara moja au kidogo kidogo
 
Hakuna kianzio payoneer wala skrill.
Payoneer watakucharge $30 kwa mwaka unavyotumia huduma zao.
Skrill watakucharge per transaction

Mkuu,
Nimefungua Skrill account now.
But nikitaka kuload pesa inagoma, napata ujumbe Authentification Failed. Natumia account ya CRDB VISA.
Msaada tafadhali.
 
Mkuu nimekupata vzr ..lakn bado nina utata kidogo kazi ya ile MasterCard ya I&M Ni nn hasa?? Kwasabab umesema inahitajika kufunguliwa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mimi mkazi wa dar ila nishapitwa na darasa lililofanyika dar,naomba kujua je bado nina nafasi ya kujifunza nikiwa dar? Arusha sitaweza kwenda Kwa hiyo week ijayo
 
Mkuu,
Nimefungua Skrill account now.
But nikitaka kuload pesa inagoma, napata ujumbe Authentification Failed. Natumia account ya CRDB VISA.
Msaada tafadhali.
Umejaza namba ya card?
Je cvc..yaani namba 3 za mwisho nyuma ya card umezijaza?
Je umepewa kibali na crdb cha ku buy online?
 
ok....sasa kwenye mastercard ukienda kwenye ATM utawithdrawal interm of USD au kwa Tsh?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…