Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
1. Skrill fungua hata sasa na upande wa kujaza mastercard jaza hiyo ya ecobank..usiwe na hofu wana option ya ku add acc. Hivyo ya payoneer utajaza ukipata mastercard.Mkuu sijajuua kama nimekuwa mgumu kuelewa au la, Je naanza kufungua Bank account ya tz ulio itaja kwenye post za nyuma then Skrill nakumalizia na Payoneer au inakuaje embu nipe mtiririko mzuri tayari nina mastarcard ya ecobank.
2. Payoneer pia sehemu ya kujaza bank, banking statement jaza za ecobank, cha msingi unapoenda kuomba statement omba upewe swift code kwani kuna sehemu ya kujaza. Endapo hujaelewa nicheki tu