Pamoja mkuu wote bado wanafunzi....tunapambana kuwa kama akina Ontario na Bavaria siku moja.
Karibu mkuuThats more than enough... Sbb mie ndo najiona cjui lolote kbs... Hata nkibetigi huwa naishia kupunwa tu[emoji22] . But hapa, katika real world, with real people, nahc naweza fanya kitu... And am really thankful for that....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
Tunaposell ile stop loss amount hua greater than entry amount. Kwa lugha nyingne ni kua ukiwa umesell na price ikizidi kupaa basi ndipo unapopata hasara ndio maana stop loss hua juu kuliko trade entry.Kwa uelewa wangu kidogo, SL ni minimum cutting edge ambapo ukifika position inajifunga ili ucpate hasara. Kinachonichanganya ni position kuopen kwa 1.30311 na kuset SL kuwa 1.30383. Mara zote, SL huwa NDOGO kuliko opening position amount, au huwa na negative value kuonyesha amount ambayo uko tayari kuloose katika hyo position.
Sasa hapo mbna SL yako ni kubwa kuliko opening amount?
Nipo tayari kuelekezwa kama nimekosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaposell ile stop loss amount hua greater than entry amount. Kwa lugha nyingne ni kua ukiwa umesell na price ikizidi kupaa basi ndipo unapopata hasara ndio maana stop loss hua juu kuliko trade entry.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404
Mkuu naona uliweka stop loss PIPs 7 kama sikosei 1.30311 +7 unapata 1.3038. Hizo ni chache sana so ilivyopanda kidogo ikaclose. Hapo kwenye maelezo umechanganya umesema SL ilikuwa 1.3083 wakati ni 1.3038.Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404
nilikua nauza, ukiwa unauza pair ikishuka ndio faida, ikipanda kuliko pale uliponunulia ni hasara, so ndio maana stop loss ipo juu ya priceKwa uelewa wangu kidogo, SL ni minimum cutting edge ambapo ukifika position inajifunga ili ucpate hasara. Kinachonichanganya ni position kuopen kwa 1.30311 na kuset SL kuwa 1.30383. Mara zote, SL huwa NDOGO kuliko opening position amount, au huwa na negative value kuonyesha amount ambayo uko tayari kuloose katika hyo position.
Sasa hapo mbna SL yako ni kubwa kuliko opening amount?
Nipo tayari kuelekezwa kama nimekosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni ya stop loss na take profit ipo hivi, ielewe hii kwanza then mengine yatafuata.Hapa umenivuruga... Naomba kufafanuliwa zaidi... Mana nlihc bei ikiwa kubwa unapata faida zaidi... Mana tofauti yake na ile uliitumia kuopen kwa kununua inakuwa kubwa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
NI kweli ni pips 7, ila ukiangalia kwenye graph hapo haijapanda hadi ikafikia 1.3038, ilishuka tu, nashangaa iliifikiaje stop loss?Mkuu naona uliweka stop loss PIPs 7 kama sikosei 1.30311 +7 unapata 1.3038. Hizo ni chache sana so ilivyopanda kidogo ikaclose. Hapo kwenye maelezo umechanganya umesema SL ilikuwa 1.3083 wakati ni 1.3038.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ambapo trend inabadika mfano kutoka kwenda ikageuka kwenda chini.unatakiwa uuze/sell.buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.
naombeni ufafanuzi zaidi hapo
mkuu hujanielewa kabla haijafika kwenye resistance ndio ikapanda tena, position yangu ilikua imesha close kwenye stop loss kwa juu kabisa (nimeonyesha na mstari wa bluu), nashangaa pair haikupanda hadi kufikia juu kiasi hicho, ila ime close?Ulitakiwa utoke kwenye hiyo trade baada ya kufika chini kabisa.
Hiyo pair bado ni sell setup ila inachofanya ipo kwenye corrective wave (resistance) ikimaliza ku-correct itaendelea kushuka.
Next time ukiona move kama hiyo toka haraka ikishafika chini..
Ulitakiwa utoke kwenye hiyo trade baada ya kufika chini kabisa.
Hiyo pair bado ni sell setup ila inachofanya ipo kwenye corrective wave (resistance) ikimaliza ku-correct itaendelea kushuka.
Next time ukiona move kama hiyo toka haraka ikishafika chini..
Boss vipi kuhusu take profit, je usipoiset inaweza let tatizo kama la mkuu apo juu?
Tunaposell: tunaset stop loss hua amount kubwa kuliko bei ya soko wakati huo, na take profit hua ni amount ndogo kuliko bei ya wakati huo. Hapa inamaana kwamba ukiwa kwenye sell position unapata faida pale bei ya soko inapozidi kushuka.
Tunapobuy: tunaset stop loss amount ndogo kuliko bei ya soko, na take profit amount kubwa kuliko ile bei ya soko. Maana yake ni kuo ukiwa kwenye buy position basi unapata faida pale bei inapozidi kuongezeka
mkuu hujanielewa kabla haijafika kwenye resistance ndio ikapanda tena, position yangu ilikua imesha close kwenye stop loss kwa juu kabisa (nimeonyesha na mstari wa bluu), nashangaa pair haikupanda hadi kufikia juu kiasi hicho, ila ime close?
Ok,ila hapo mbona naona haijapanda hadi kufikia hapo? maaana hizo shadows za candlestic hazijaonyesha kupanda hadi kufikia hiyo price hiyoNimeshakuelewa.
Kwanza ulichokosea ni kuweka stop loss ikiwa karibu sana na price yako.
Hapo nimeona umeweka pips kama 7 tu kama SL yako.
Na price movement huwa inapanda na kushuka. Kwahiyo, inawezekana hiyo price ilipanda na kukuta stop loss yako.
Kwahiyo kuna wakati unatakiwa kuweka SL kubwa ili price iki-retrace isiweze kuigonga.
Hata mimi nilikuwa kwenye hiyo trade pia.
Sawa kabisa naona highest price kati ya 13:00 mpk 13:30 ilikuwa 1.3036 haikufika 38 na hata 13:30 mpk saa 8 highest ilikuwa 1.3037 sasa sijajua nini kilitokea mpk position yako ikawa closed.NI kweli ni pips 7, ila ukiangalia kwenye graph hapo haijapanda hadi ikafikia 1.3038, ilishuka tu, nashangaa iliifikiaje stop loss?