Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau
Lodrick Thomas ,
Bavaria ,
Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404