Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Yaani kuanzia leo nipo in touch with this thread, tofauti na siku zingine ambazo naweza nikapita only asubuhi na jioni tu. napitia updates za kinachoendelea... Nasubiri tu utaratibu wa bwana Ontario juu ya darasa.... [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu heshima kwako Mkuu. . Tunaomba utupakulie
Kitabubu alichorecommend mhenga mkuu Ontario hapo juu mkuu cha How to trade with price Action

Umekuwa msaada mkubwa sana kwetu linapokuja suala la vitabu....Tunaomba utusaidie na Hili mkuu na usichoke kutusaidia.

Natanguliza shukrani za dhati kwa niaba ya traders to be..

VITABU HIVII.
rumz FX
 
Attachments

Chief Ontario shukrani sana kwa briefs zako watu wamekuelewa sana,hao jamaa wengine wanao interfere kutu discourage tuachane nao watu tushaamua Forex Forex basi wala hatutakuangusha chief pamoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Capture.PNG

Bonus
- Galen Woods - How to Trade with Price Action (Master): Trading Tools, Tips & Methods
- Galen Woods - How to Trade with Price Action (Strategies): Trading Setups, Rules & Examples

Kama umemaliza vile vitabu vya mwanzo pia inabidi upitie hivi:- Vinapatikana sana, ninavyo lkn siwezi kuvibandika.
Mkuu heshima kwako Mkuu. . Tunaomba utupakulie
Kitabubu alichorecommend mhenga mkuu Ontario hapo juu mkuu cha How to trade with price Action

Umekuwa msaada mkubwa sana kwetu linapokuja suala la vitabu....Tunaomba utusaidie na Hili mkuu na usichoke kutusaidia.

Natanguliza shukrani za dhati kwa niaba ya traders to be..
 
Attachments

Mie nipo vizuri Finance ninanajua kuwa wapo speculators hasa nchi za nje.ila kweli Tanzania hii unaweza kufanya biasahra hiyo wakati kuna kama ka restriction kwenye mtu kuingia kununua stocks nje?? Najua yangu hii ni stock markets na wewe unasemea money markets...tell me more yaani umenifanya nivutike saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaa hadi basi...ngoja nirudishe ubongo kishule pia nibadilike nitoke kuajiriwa. Please hebu tuambie how kunetwork tuzidi kuelimika zaidi please please.
 
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?

KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI

SAY NO TO DECI.
To the contrary, hii sio njia ya mkato kabisa. Kusoma huku kote, unaita njia ya mkato? Njia a mkato ni kama DECI, D9, n.k. We unaweka hela tu basi na kusubiri kuvuna. Hutumii akili yoyote.
 
Muhenga mkuu Ontario sangapi tunakutana hapa airport,nataka nikusaidie kubeba mabegi ya mentors!!!!!Mimi niko hapa.....napiga astro forex huku nacheck time,ooh man am very excited i can't afford to wait this historical turning point
Mungu atutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo training zipoje na ni lini? Tuambiane kama ni via whatup au venue ipo we want it
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.

Well done! May God bless you. Your efforts pays!
 
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?

KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI

SAY NO TO DECI.
Mkuu kama ww huna uthubutu wa kufanya vitu vipya kutokana na wakati usiwashawishi negative advice ili waogope..mimi nilijisomesha ughaibuni miaka 5 kwa hii forex naiheshimu sana japo siku za awali nilikua napata loss mpaka nilipo master kwa kusahihisha makosa na kusoma vitabu vingi kuwa na technics nyingi za kuingiza profit kwa muda mfupi.
f8733ca14664ac28db0f21605f0ade11.jpg
e40e431a57a8d4bfcdd1d1ac319eeac1.jpg
253b634cf6ac5229fa5b54757ea675a6.jpg
cf92ca6d82c40732b3566f6389b2b306.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasoma kweli ndugu zangu...?

Forex won't be easy kama hutaki vitabu - I must not kumung'unya ukweli, vitabu nilivyoreccomend msome ni vya msingi sana. Soma sana sana sana. Mimi muda wowote nikipata free time hua nasoma. Kabla sijalala nacheki at least chapter 1. I read a lot of stuff si forex pekee, nasoma kuhusu cryptos, personal development, philosophy, business articles, nk nk.

Kama umemaliza vile vitabu vya mwanzo pia inabidi upitie hivi:- Vinapatikana sana, ninavyo lkn siwezi kuvibandika.
20158d5a9b99493ad2dc77c5fc1251c9.jpg

Pamoja na hiki hapa
5e34fef85b565b82ac8b6e867a7def31.jpg

P.S: Yani mimi nawapa vitabu vyepesi zaidi ambavyo unaweza kuelewa, vitabu ambavyo havitakuchanganya lkn vitakuacha na ufahamu mkubwa mno. Si lazima uelewe kila kitu, yani usisome as if kuna mtihani (kuingia kwenye program wala hakutakuwa na interview wala paper - sisi ni watu wazima). Just soma like you need knowledge, not kwamba bcoz you need to secure a chance for training. Vitu usivyoelewa njoo uliza hapa, nisipokusaidia kuna aliyeelewa atakusaidia. [emoji23] BTW forex is TOOO wide uwezi kuelewa kila kitu, nimesoma vitabu sio chini ya 50 about fx lkn nahisi natumia only 2% ya nilivyovisoma [emoji23] [emoji23]

Guys hadi kufika stage kama hii niliyofikia unahitaji kusoma na kuipenda forex. Mimi I have 3 mentors lkn mara chache sana hua hafata their analysis, mara nyingi sana I trade different pairs with theirs, ndio raha ya kuwa na knowledge. Hata ikitokea mentor wangu Mungu akampenda zaidi, still it won't be my last day in the market. Why? Kwasababu I have knowledge.
75cabfc813ca746e0dd623975f70d03c.jpg
Unquenchable fire no one can stop it
 
Thanks mkuu,
Mungu ni mwema Tunajitahd kadri ya uwezo wetu na tunatumaini wanao oppose na ku criticize hii kitu wataumbuka soon darasa likianza, God bless you, God bless us.
Together we can.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama ww huna uthubutu wa kufanya vitu vipya kutokana na wakati usiwashawishi negative advice ili waogope..mimi nilijisomesha ughaibuni miaka 5 kwa hii forex naiheshimu sana japo siku za awali nilikua napata loss mpaka nilipo master kwa kusahihisha makosa na kusoma vitabu vingi kuwa na technics nyingi za kuingiza profit kwa muda mfupi.
f8733ca14664ac28db0f21605f0ade11.jpg
e40e431a57a8d4bfcdd1d1ac319eeac1.jpg
253b634cf6ac5229fa5b54757ea675a6.jpg
cf92ca6d82c40732b3566f6389b2b306.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu... hiyo profit umeigonga ndani ya muda gani??
 
Mkuu kama ww huna uthubutu wa kufanya vitu vipya kutokana na wakati usiwashawishi negative advice ili waogope..mimi nilijisomesha ughaibuni miaka 5 kwa hii forex naiheshimu sana japo siku za awali nilikua napata loss mpaka nilipo master kwa kusahihisha makosa na kusoma vitabu vingi kuwa na technics nyingi za kuingiza profit kwa muda mfu
cf92ca6d82c40732b3566f6389b2b306.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu!!

Kiuhalisa mimi huwaga siwalaumu wanaobeza hii forex maana sio makosa yao!! ukiangalia vizuri wengi ni wahanga wa network marketing and the alike!! so wanapoona vitu kama hivi wanaishia kuponda!! Infact hata mimi mwanzoni niliisikia sana hii forex lakin nikapuuzia simply because sikua najua ni kitu gani na mbaya zaidi sikufwatilia!!

Watanzania/Waafrica wa tanzania we dont have information!! kuna vitu vingi vinaendelea kwa wenzetu lakini hatufwatilii!!

Mfano hapa JF, utakuta mada za kule MMU na kwenye siasa zinawachangiaji wengi sana ila ukija kwenye majukwaa ya biashara, intelijensia, technolojia yana wachangiaji wachache sana!! hii inaakisi uhalisia wetu watanzania!!

So kwa watu kama hawa huwaga siwalaumu, maana najua shida yetu ni moja "hatuna information na pia hatuna tabia ya kudadisi kabla ya kulaumu"!!

Nadhani kosa tutalofanya ni kukata tamaa kwa maneno yao! Tuwaeimishe wakikataa tuwaache maana watajifunza kwa kuona mafanikio yetu. Simple as that!!
 
Daah,ushasoma vitabu 50 mkuu!.ww ni guru,mm nipo cha 4 tu.shule inahitajika hapa,forex imenifanya niwe bize sana.ngoja tuendelee kupambana,tutafika tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom