Mnasoma kweli ndugu zangu...?
Forex won't be easy kama hutaki vitabu - I must not kumung'unya ukweli, vitabu nilivyoreccomend msome ni vya msingi sana.
Soma sana sana sana. Mimi muda wowote nikipata free time hua nasoma. Kabla sijalala nacheki at least chapter 1. I read a lot of stuff si forex pekee, nasoma kuhusu cryptos, personal development, philosophy, business articles, nk nk.
Kama umemaliza vile vitabu vya mwanzo pia inabidi upitie hivi:- Vinapatikana sana, ninavyo lkn siwezi kuvibandika.
Pamoja na hiki hapa
P.S: Yani mimi nawapa vitabu vyepesi zaidi ambavyo unaweza kuelewa, vitabu ambavyo havitakuchanganya lkn vitakuacha na ufahamu mkubwa mno.
Si lazima uelewe kila kitu, yani usisome as if kuna mtihani (kuingia kwenye program wala hakutakuwa na interview wala paper - sisi ni watu wazima). Just soma like you need knowledge, not kwamba bcoz you need to secure a chance for training. Vitu usivyoelewa njoo uliza hapa, nisipokusaidia kuna aliyeelewa atakusaidia. [emoji23] BTW forex is TOOO wide uwezi kuelewa kila kitu, nimesoma vitabu sio chini ya 50 about fx lkn nahisi natumia only 2% ya nilivyovisoma [emoji23] [emoji23]
Guys hadi kufika stage kama hii niliyofikia unahitaji kusoma na kuipenda forex. Mimi I have 3 mentors lkn mara chache sana hua hafata their analysis, mara nyingi sana I trade different pairs with theirs, ndio raha ya kuwa na knowledge. Hata ikitokea mentor wangu Mungu akampenda zaidi, still it won't be my last day in the market. Why? Kwasababu I have knowledge.