Mpiga Nyoka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 283
- 122
Mkuu nimejaribu kureview hiyo pair toka jamaa ameopen position mpk sasa hivi highest price ni 1.3037.Nimeshakuelewa.
Kwanza ulichokosea ni kuweka stop loss ikiwa karibu sana na price yako.
Hapo nimeona umeweka pips kama 7 tu kama SL yako.
Na price movement huwa inapanda na kushuka. Kwahiyo, inawezekana hiyo price ilipanda na kukuta stop loss yako.
Kwahiyo kuna wakati unatakiwa kuweka SL kubwa ili price iki-retrace isiweze kuigonga.
Hata mimi nilikuwa kwenye hiyo trade pia.
Kwa kujifunza tumia lot size ndogo i.e 0.01 halafu stop loss weka PIPs 20 mpaka 30.Ok,ila hapo mbona naona haijapanda hadi kufikia hapo? maaana hizo shadows za candlestic hazijaonyesha kupanda hadi kufikia hiyo price hiyo
Swali lingine, unashauri au maoni juu ya stop loss ya kiwango gani unatakiwa uweke ili usisimsmishwe sana, na leverage gani naweza ku set maana leverage kubwa ni majanga, nimefikiria ku deposit dola 1000 nikianza na real account, ila wana suggest eti leverage isizidi 3 kwa new trader, suggestion yako kama mzoefu...
afadhali umeona mkuu..hii kitu imenichanganya sana, mwenye majibu, isije ikawa figisu za broker?Sawa kabisa naona highest price kati ya 13:00 mpk 13:30 ilikuwa 1.3036 haikufika 38 na hata 13:30 mpk saa 8 highest ilikuwa 1.3037 sasa sijajua nini kilitokea mpk position yako ikawa closed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona graph ilijieleza vizuri mno hapo kati ya 17:00 na 17:30 ulikua una liquidity kubwa mnoo.tuje kwenye swala lako sasa saa 13:00 hadi half an hour next ulikua na horizontal trend ambapo kitaalam unakua na risk kubwa ya loss kwasababu hujui trend itaenda wapi either upward au downward.ulichagua set muda wa saa moja lakini stop loss yako ililazimisha business yako ku shutdown next 20 minutes.naikitokana na stop loss yako ilikua ni ndogo mnoo.unashauriwa stop loss kubwa ya walau difference ya 5 kwenye fourth octate(tarakimu ya 4 baadaya desimali)mfano ungeweka 0.30361.umepata hasara kutokana na upward trend(inflation) ya ghafla dakika hizo japo graph haikukuonyesha kutokana na time frame yako uliweka 15minutes(M15)lakini katika dakika hizo chache ulizopigwa pesa hizo inaonekana pesa ilishuka thaman kwa kasi muda huo mchache(ukitaka uniamini review tena hicho kipande kwa time frame ya 1 minute (M1) utanielewa namaanisha nn).Kwa ushauri wa kitaaluma nakushauri pitia pitia kusoma trends za graph na kujua trend ipi inafaa kubuy au kusell au kusell short.pia pitia pitia jinsi ya kuitambua liquidity ambapo ndo pip(profit interest point) ambapo ndo pakupigia pesa au kwa lugha nyingine ndo profit kabla ya kuzidishiwa na multiplier(leverage).usikate tamaa lakini jifunze kutokana na makosa naamin next time utafanya vizuri.Pia kuhusu siku ya kutrade upo vizur kwasababu best days za kutrade ni jumanne,jumatano na ijumaa.Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404
1.Hakikisha una invest 10% ya mtaji wako 2.pia invest maeneo atleast 5 kudiversify risk 3.tambua siku sahihi ya kuinvest(mfano siku bora za kuinvest ni jumanne,juma5 na nusu siku ya ijumaa) 4.pia tambua masaa sahii ya kuinvest(mfano kwa major markets,exotic n.k) 5.invest baadaya ya taarifa za kiuchumi na kibiashara za ulimwengu na sio kabla 6.kuwa na uhakika na unachokifanya kuepuka hasara na ili kutofautisha kati ya forex na kamaliWakuu habari zenu, ningependa mnieleweshe ninapotaka kuformulate a trading idea ni vitu gani vya kuzingatia?
usiogope kidogo kidogo,tutaielewa vizuri km ontario,tuongeze kupiga shule tu na kujifunza,huku tukingoja darasa la ontario
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?
KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI
SAY NO TO DECI.
Sasa si ukalime boss wangu, huku kimekuleta nini?? [emoji23] [emoji23] Au kwenye heading umesoma kua tunauza pembejeo??WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?
KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI
SAY NO TO DECI.
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?
KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI
SAY NO TO DECI.
$30 Welcome Account - TickmillWapendwa nataka kuanza demo...nichague broker yupi? Ili nikiiva niendelee nae kwenye real account? Natanguliza shukrani zangu
Jiongeze mkuu..Acha kukariri vitu nenda shamba kalime maana unahakili za kitotoWATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?
KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI
SAY NO TO DECI.