Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimeshakuelewa.

Kwanza ulichokosea ni kuweka stop loss ikiwa karibu sana na price yako.

Hapo nimeona umeweka pips kama 7 tu kama SL yako.

Na price movement huwa inapanda na kushuka. Kwahiyo, inawezekana hiyo price ilipanda na kukuta stop loss yako.

Kwahiyo kuna wakati unatakiwa kuweka SL kubwa ili price iki-retrace isiweze kuigonga.

Hata mimi nilikuwa kwenye hiyo trade pia.
Mkuu nimejaribu kureview hiyo pair toka jamaa ameopen position mpk sasa hivi highest price ni 1.3037.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweli siku nyingine asitumie SL ndogo hivyo.
 
Ok,ila hapo mbona naona haijapanda hadi kufikia hapo? maaana hizo shadows za candlestic hazijaonyesha kupanda hadi kufikia hiyo price hiyo

Swali lingine, unashauri au maoni juu ya stop loss ya kiwango gani unatakiwa uweke ili usisimsmishwe sana, na leverage gani naweza ku set maana leverage kubwa ni majanga, nimefikiria ku deposit dola 1000 nikianza na real account, ila wana suggest eti leverage isizidi 3 kwa new trader, suggestion yako kama mzoefu...
Kwa kujifunza tumia lot size ndogo i.e 0.01 halafu stop loss weka PIPs 20 mpaka 30.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zenu, ningependa mnieleweshe ninapotaka kuformulate a trading idea ni vitu gani vya kuzingatia?
 
Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404
Mkuu mbona graph ilijieleza vizuri mno hapo kati ya 17:00 na 17:30 ulikua una liquidity kubwa mnoo.tuje kwenye swala lako sasa saa 13:00 hadi half an hour next ulikua na horizontal trend ambapo kitaalam unakua na risk kubwa ya loss kwasababu hujui trend itaenda wapi either upward au downward.ulichagua set muda wa saa moja lakini stop loss yako ililazimisha business yako ku shutdown next 20 minutes.naikitokana na stop loss yako ilikua ni ndogo mnoo.unashauriwa stop loss kubwa ya walau difference ya 5 kwenye fourth octate(tarakimu ya 4 baadaya desimali)mfano ungeweka 0.30361.umepata hasara kutokana na upward trend(inflation) ya ghafla dakika hizo japo graph haikukuonyesha kutokana na time frame yako uliweka 15minutes(M15)lakini katika dakika hizo chache ulizopigwa pesa hizo inaonekana pesa ilishuka thaman kwa kasi muda huo mchache(ukitaka uniamini review tena hicho kipande kwa time frame ya 1 minute (M1) utanielewa namaanisha nn).Kwa ushauri wa kitaaluma nakushauri pitia pitia kusoma trends za graph na kujua trend ipi inafaa kubuy au kusell au kusell short.pia pitia pitia jinsi ya kuitambua liquidity ambapo ndo pip(profit interest point) ambapo ndo pakupigia pesa au kwa lugha nyingine ndo profit kabla ya kuzidishiwa na multiplier(leverage).usikate tamaa lakini jifunze kutokana na makosa naamin next time utafanya vizuri.Pia kuhusu siku ya kutrade upo vizur kwasababu best days za kutrade ni jumanne,jumatano na ijumaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zenu, ningependa mnieleweshe ninapotaka kuformulate a trading idea ni vitu gani vya kuzingatia?
1.Hakikisha una invest 10% ya mtaji wako 2.pia invest maeneo atleast 5 kudiversify risk 3.tambua siku sahihi ya kuinvest(mfano siku bora za kuinvest ni jumanne,juma5 na nusu siku ya ijumaa) 4.pia tambua masaa sahii ya kuinvest(mfano kwa major markets,exotic n.k) 5.invest baadaya ya taarifa za kiuchumi na kibiashara za ulimwengu na sio kabla 6.kuwa na uhakika na unachokifanya kuepuka hasara na ili kutofautisha kati ya forex na kamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari ya maendeleo kwa kutumia tekinohama iko karibu kwa vijana wa Tz katika karne 21 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji389][emoji389][emoji383][emoji386]
 
Kwa kuongezea Mkuu hapa kama uliweza soma kitabu cha Currency trading for dummies kilichonukuliwa kwenye Uzi huu mwandishi ameweka mambo matatu ya kuzingatia;(quoting in original language)

1.Determining position size(hii ameipa Nina first half of the equation for determining how much money is at stake in each trade)

2.Deciding where to enter the position

3.Setting stop-loss and take-profit levels(Ambayo ameiita second half of the equation)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu yaweza kuwa zaidi ya moja lakini kwa haraka haraka hapo ni kwamba ile pointing ya graph inaweza kusoma na hata kabla ya exert location kwaiyo wewe kwa sasa ukiangalia ilipita wap baada ya kutoka sio inaweza usiwe na majibu lakini pia em jarbu kuview kwa 1 min if not wakat mwingine brokers wanatumia ku add angalau 1 or 2 pips kama umeweka stop loss ili ikate haraka wapige so angalia btn or kama kuna sababu za ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasoma kweli ndugu zangu...?

Forex won't be easy kama hutaki vitabu - I must not kumung'unya ukweli, vitabu nilivyoreccomend msome ni vya msingi sana. Soma sana sana sana. Mimi muda wowote nikipata free time hua nasoma. Kabla sijalala nacheki at least chapter 1. I read a lot of stuff si forex pekee, nasoma kuhusu cryptos, personal development, philosophy, business articles, nk nk.

Kama umemaliza vile vitabu vya mwanzo pia inabidi upitie hivi:- Vinapatikana sana, ninavyo lkn siwezi kuvibandika.
20158d5a9b99493ad2dc77c5fc1251c9.jpg


Pamoja na hiki hapa
5e34fef85b565b82ac8b6e867a7def31.jpg


P.S: Yani mimi nawapa vitabu vyepesi zaidi ambavyo unaweza kuelewa, vitabu ambavyo havitakuchanganya lkn vitakuacha na ufahamu mkubwa mno. Si lazima uelewe kila kitu, yani usisome as if kuna mtihani (kuingia kwenye program wala hakutakuwa na interview wala paper - sisi ni watu wazima). Just soma like you need knowledge, not kwamba bcoz you need to secure a chance for training. Vitu usivyoelewa njoo uliza hapa, nisipokusaidia kuna aliyeelewa atakusaidia. [emoji23] BTW forex is TOOO wide uwezi kuelewa kila kitu, nimesoma vitabu sio chini ya 50 about fx lkn nahisi natumia only 2% ya nilivyovisoma [emoji23] [emoji23]

Guys hadi kufika stage kama hii niliyofikia unahitaji kusoma na kuipenda forex. Mimi I have 3 mentors lkn mara chache sana hua hafata their analysis, mara nyingi sana I trade different pairs with theirs, ndio raha ya kuwa na knowledge. Hata ikitokea mentor wangu Mungu akampenda zaidi, still it won't be my last day in the market. Why? Kwasababu I have knowledge.
75cabfc813ca746e0dd623975f70d03c.jpg
 
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?

KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI

SAY NO TO DECI.
 
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?

KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI

SAY NO TO DECI.
Sasa si ukalime boss wangu, huku kimekuleta nini?? [emoji23] [emoji23] Au kwenye heading umesoma kua tunauza pembejeo??

Si kila mtu atakua mkulima, si kila mtu atakua trader. Hata huko mavyuoni utaona watu wengine wanasoma sheria, wengine wanafanya sanaa, wengine udaktari, wengine ualimu. Lkn sasa ukishakua muhasibu usimdharau mwenzio ambae kaamua kusomea uuguzi, yawezekana anaingiza mshahara mara kumi ya mshahara wako akiosha vidonda vitatu tu.
 


Mkuu heshima kwako Mkuu. . Tunaomba utupakulie
Kitabubu alichorecommend mhenga mkuu Ontario hapo juu mkuu cha How to trade with price Action

Umekuwa msaada mkubwa sana kwetu linapokuja suala la vitabu....Tunaomba utusaidie na Hili mkuu na usichoke kutusaidia.


Natanguliza shukrani za dhati kwa niaba ya traders to be..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom