Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ontario waiting your call for classes..

Tokea May 26, hadi leo Aug. 9

Kweli subira yavuta heri!

Sent using Jamii Forums mobile app

mim naona km hata aisogeze mbele kidogo mpk September mwanzoni,angalau nizidi kuchimba vitabu niwe na uelewa mpana aisee.naona bado kbs yan.tusome tusimpressurize.tena ndio tutakuwa vizuri,tukisukuma angalau vitabu kadhaa
 
mim naona km hata aisogeze mbele kidogo mpk September mwanzoni,angalau nizidi kuchimba vitabu niwe na uelewa mpana aisee.naona bado kbs yan.tusome tusimpressurize.tena ndio tutakuwa vizuri,tukisukuma angalau vitabu kadhaa
Uko sawa mkuu...mm nashauri hata wengine wataanza hivi karibuni tuwepo na sisi wa intake ya pili ambayo inaweza ikaanza hata hiyo September!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thompson ni hivi.... hapo ishu ni setup ya stop-loss umeikosea katika mazingira haya: Wakati una sell hiyo pair ilikuwa kwenye range, kwa hiyo ilitakiwa uweze ku- identify key technical levels za hiyo timeframe (15m)...na maanisha support and resistance. key technical levels huweza kusaidia kupata key price levels for setting stop-loss order. when you are setting stop-loss, you also need to focus on margin of error. Margin of error is just a distance from key price levels where u think retest can happen and can not hit your stop-loss.

Read on Margin of error au error of margin .....utaelewa ishu yako.. Its very important, mana unaweza ona ndege uliyemkamata anaenda hivihivi baada ya ku hit stop-loss.
 
Safi sana mkuu... hiyo profit umeigonga ndani ya muda gani??
Hii ni wiki kadhaa tu mkuu.nna experience ya muda sasa na makovu ya kutosha hapo mwanzo wakati naanza kama una roho ndogo unaweza ukachanganyikiwa akili.kwa faida ya wote msije mmkata tamaa mwanzo mgumu mm nimewahi unguza akaunti mara kibao tena ni mamilion ya shilingi.Ngojea niwaoneshee trade history zangu za nyuma na muone kuwa kila kitu kinawezekana ukiwa na imani na juhudi pia nakutokata tamaa lakini sikukata tamaa na nikaanza kupata faraja baadaya kuingia serious kwenye vitabu
 
Kama mkifanya juhudi you will thank me letter mimi naingiza tuu pesa kila dakika,saa,siku hadi mwezi sehemu yoyoye ile mimi naingiza pesa haijalishi nimelala,nafanya mazoezi nasafiri n.k lakini biashara yangu ya forex haisimami ni smartphone au laptop yangu tu na bundle la 500 mimi naingiza pesa. kwenye kila jambo gumu kuna njia rahisi ya kutatua tatizo nitaanda materials jinsi gani unaweza kupiga pesa nyingi kwa kutoumiza kupekua habari za uchumi na biashara ulimwenguni na kukesha na graph.Njia ni rahisi mno naimani mtanishukuru kesho kwa watu wote wanaojua na hata wasio jua kiingereza au ambae hata hakusomea kabisa mambo ili kwapamoja kama taifa tuinuke kiuchumi na kufanya majukumu yanayo tukabiri kimaisha ikiwemo pia kumtumikia Mungu.asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee bro unachofanya si sahihi. Nilikua nangoja tu unijibu.

Aina hii ya uhuni hua siipendi kabisa sheikh wangu. Let's keep it real!!

Mimi nikikwambia najua vitu vingi sana kuhusu forex, nieleweke hivyo. Hizo trades ambazo unazipiga screen shot tangu mwanzo nazifahamu. Thabani Ngcobo ni mwanangu sana, nilikua nae Juzi juzi tu aisee, yani hata ukiniamsha usiku ukanionesha trades zake wala sitahitaji kunawa uso kuzitambua.

Forex haina siasa boss. You either learn the art or be an observer. Naomba utuombe msamaha kwa ulichokifanya, otherwise tutakuona vitu vyote ulivyozungumza ni ujanja ujanja. Hizo trades za Thabani Ngcobo na umezitoa kwa IG yake. Sitaki kuleta hapa ushaidi just kulinda heshima yako. But let's try to put it real.

Kuhusu forex wadanganye watu mkiwa wawili sehemu mmetualia, lkn usizungumze forex mbele yangu ukadhani forex nimeijua juzi. Acha izo jombaa!! Sisi hua Thaba tunamuita Mr. 0.5 - nitajitahidi kumleta aje atusalimie.
 
Umenifanya nijisikie vibaya sana bro. Let's keep it real, forex haina porojo za kis3nge. Utatumiaje screen shot za mtu afu unaleta uzushi boss wangu. Tapeli watu when Ontario is not around, ukiwa unafanya mbele yangu maana yake umedharau sana IQ yangu kwamba sijui nini kinaendelea ktk trading industry.
 
WATANZANIA BADO MNADANGANYANA NJIA ZA MKATO?

KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI

SAY NO TO DECI.
Yaani wewe Unadhani hii ni Njia ya Mkato jaribu uone Inahitaji usome pia inahitaji Muda ... Sio kama DECI hii na pia kama alivyosema mkuu Hapa hatuuzi pembejeo ingewezekana ungapita kimya kimya kuna Thread za kilimo tafadhali usichafue hali ya Hewa sisi tuko busy na Forex Bible
 
Kwaio.utakua unachaji sh ngapi tuanzie hapo kwanza

What goes around always comes around
 
Dah kazi tunayo ndugu kwahyo jamaa anatutakia nn sasa na anadai eti anamaterial ambayo yatarahisisha watu kutrade bila kufanya analysis yoyote ile kumbe anatafuta kutupiga kavukavu. Ahah sema kiongozi umemnyoosha fala hyo akirudi hapa ye kidume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…