Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Fanya Unachokifanya, nakupa ruhusa lkn usijaribu kukifanya mbele yangu boss. Tengeneza group la whatsapp danganya watu huko lkn ukifanya mbele yangu yani umenidharau sana kwamba I am clueless about forex. Umeniboa sana mzee wangu.
 



Duuuuu....Ontario mwenyenzi Mungu akupe uhai mrefu maana......iwe siri yangu na Mungu wangu.

Sasa nimeelewa kwa nn umeunlike ile like uliyonipa baada ya kumqoute jamaa alipoweka zile screenshot za Mwanzo.

Ila kuna kitu jamaa alimjibu @ Daudi mchambuzi nikaona jamaa yupo nondo sana Kuhusu hii ishu...sasa Sijui Yale maelezo aliyatoa Wapi...duuuu ..Sijui bwana....hii dunia hii....
 
oooonh afadhali Kamanda wetu uko makini katika kuangalia hawa wezi wasije kutapeli watu....Aisiii yaani hadi ana screen shoot ili watu wamuamini Kamanda Ontario itabidi huu uzi uwe unapita mara kwa mara otherwise watu wengi watajifanya wewe
 
Sipo hapa kumdhalilisha mtu boss wangu, wala sinaga tabia ya kudisrespect skills za mtu. Mimi I am honest, nawajua SA traders wengi sana, trader uchwara na real traders nawajua. Mimi Thabani nimekaa nae meza 1 tikatrade NFP pamoja. I know him.

Sasa mtu akija kwa nia ya kutapeli watu afu mbele yangu sijui najisikiaje. Nahisi kama hizo pesa watu wanazopigwa mimi ndio nimewaibia, coz I can say mimi ndio nimefungua watu wengi macho kuhusu hii fx. Sasa mtu akipigwa obvious mimi ndio jina langu litakua la kwanza kutajwa. Been building my reputation since I was 19, sio vzr nikapoteza reputation yangu kwa us3nge wa watu kama hawa.

Mimi I am working my ass off kuhakikisha tuwe na traders lounge, ambapo kila NFP tunakuwa na Trader makini from anywhere on planet kutrade nae kwenye launge. Forex knowledge haina mwisho kamwe. Lkn wt kama hawa wanaumiza sana... *****!!
 

Tafuta uZi mmoja wa ONTARIO unaitwa USIJAE UPEPO Utajifunzq vitu
 
Fanya Unachokifanya, nakupa ruhusa lkn usijaribu kukifanya mbele yangu boss. Tengeneza group la whatsapp danganya watu huko lkn ukifanya mbele yangu yani umenidharau sana kwamba I am clueless about forex. Umeniboa sana mzee wangu.
Nilifwatilia background yake nikasema acha nikae kimya kwanza, nisiwe negative...

Hizi ni post zake za mwaka huu, nyingi ni za mwezi wa 6!!

Natafuta ajira wakuu
Nauza mashine ya juisi ya miwa isio tumia umeme
Nauza subwoofer
Nauza sofa+kitanda+mtungi wa gas
Natafuta kazi yoyote wakuu
Nauza water dispencers kwa 30,000
Natengeneza blog kwa 10,000/=
 
ONTARIO, you are so special and one of a kind. Mungu akulinde ktk maisha yako yote na aendelee kukufanikisha ktk kila unachokipanga.

Ningekuwa mwenyewe nadhani ningeingia mkenge lkn to be by your side I am now surely feeling safe as far as forex is concerned.

Nami nilishangaa sana huyu mtu imekuwaje yaani tangu 26 May 2017 ulipoweka uzi huu to date OR even before alikuwa wapi kama alitaka kuwasaidia watanzania wenzake? Kumbe ni mpvvzi tu!!!!

Nimejifunza sana kupitia huu upvvzi wake.
Lakini nimejifunza kupitia post zake za utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Basi baba usijae upepo
 



Nimeunlike like niliyokuwa nimekupa..

Tapeli mkubwa wewe....achana na sisi bwana tena tusikuone tena kwenye huu Uzi.
 
Mmh!..kuna watu wanataka kutuvuruga tena?walikua wapi cku zote?hapa inabidi tumuamini ontario tu.hawa jamaa wengine watatuvuruga na screenshot zao.cku zote walikua kimya
 
izo thread za jamaa zime nifanya nicheke kweli
wa bongo kwa kufosi king aaaah hatuna mpinzani aisee!!
[emoji23] [emoji23]

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
izo thread za jamaa zime nifanya nicheke kweli
wa bongo kwa kufosi king aaaah hatuna mpinzani aisee!!
[emoji23] [emoji23]

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
Nilivoziona mara ya kwanza nikajua acc wanatumia wengi au alikua anapost matangazo kwa ajili ya wenzake...nikaona nikae kimya!!

Labda tungoje aje atoe hoja, wenda sisi ndio tunamhisi vibaya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!! Aisee kweli umemtoa huyu jamaa knock out... Hahah

Ila nakuelewa sana hasa uliposema umewahi kukaa na jamaa meza moja mkatrade NFP, lazma umind yani ni sawa ukakutana na mtu anatumia identity ya mtu unaemjua vizuri sana kama your sibling labda.. Aisee lazma nizae na wewe.

All in all mpaka tunafikia lengo tutaendelea kuona mengi sana.. Huu ni mwendelezo tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma link tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matapeli yako mengi sana aisee watu wawe makini sana Chief Ontario ni bora umemtoa nduki huyo jamaa,kwani watu wanaona nongwa gani kuwa Ontario ndio kawa wa kwanza ku introduce Forex hapa Tz.Wako waliokuwa wana habari za Forex au either wanajua na ku trade kabisa lakini kwa roho mbaya zao hawakuanzisha harakati na wabongo wengine waijue Forex sijui wanaona pesa zitaisha au sijui vipi hawa watu roho zao mabya sana,roho mbaya kweli ni Donda ndugu lisilopona.Pesa inayozunguka kwenye currency market pekee ni nyingi sana almost 5 trillion usd per day.Its a lot of money ni suala la proper knowledge,skills and capital zako tu ndio zitakufanya mtu a fetch any amount anayotaka. Washaona watu wanakombolewa na kijana mdogo kama Ontario lakini mwenye bidii na anaamini katika bidii na kujifunza tu,basi wao wanaona choyo.Wabongo tuachane na blah blah.Chief Ontario big up sana bila wewe hapo wengi walikuwa wanaingia chaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu sio mbaya na wewe ukatupa list ya vitabu ulivopitia ili vitusaidie..nimejifunza kitu toka kwako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…