Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Trades zako ziko sahihi sana boss wangu. Hongera sana kwa hapo ulipofikia. Hata mimi nina trades za GBPUSD, zinafanya vzr sana. Lkn suala la kuchukua pips 400 kwa siku sahau boss wangu. Labda kama bado haujapata utaalamu wa kuhesabu pips. Hata mimi na uzoefu wote huu nikipata pips 500 kwa wiki najiona nimeiotea market. Sasa wewe hizo unazitaka kwa siku [emoji23] . NFP ikija kwa kasi unaweza laza pips hadi 250 kwa siku, but not otherwise.

Mfano hapo kwa Cable unekusanya pips 27 tu, kwa siku unaeza daka hata pips 80.

Embu nitoe tongotongo boss, hapo Nina faida ya $4.33 kwa lot size ya 0.01, kwa uelewa wangu kuichukua 4.33/0.01 ndio unapata idadi ya pips. Au nakosea? Maana kutokujua kama hujui ni shida
 
2d0af12babf08c4b3ff9cde9abc69d95.jpg

Bro, ninaomba msaada wako katika kubuy au kusell kwa hii meta trader, mana nimeidownload na hata cjajua kitu kwa ukilaza wangu... Cjajua kama itakuwa poa pm au whatsapp ili tusisumbue wengne.
Pls.
Mana ninayotumia ni kama demo pekee. Yani game tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The power of head and shoulders. They are still running

e2da3acdd3fd82096ce86817ff7e38f1.jpg


0c880df8e0b0224b2b1e2aa016c9dafb.jpg


Mchezo huu mtamu hasa ukipatia analysis zako[emoji2] [emoji2]


Sent using Jamii Forums mobile app



Mkuu hii pair juzi kati tena iliprint head and shoulder....niliikamata kwenye demo...tangia juzi naisubiria na imekubali tena....ona ilivoprint strong bearish kangaroo tail with all the characteristics of a kangaroo tail...

Ama kweli huu mchezo ukiupatia unachekela weeeee....ila ukienda kinyume.....duuuuu..
 
Mkuu hii pair juzi kati tena iliprint head and shoulder....niliikamata kwenye demo...tangia juzi naisubiria na imekubali tena....ona ilivoprint strong bearish kangaroo tail with all the characteristics of a kangaroo tail...

Ama kweli huu mchezo ukiupatia unachekela weeeee....ila ukienda kinyume.....duuuuu..
Hapo ndo unaona utamu wa forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni wiki kadhaa tu mkuu.nna experience ya muda sasa na makovu ya kutosha hapo mwanzo wakati naanza kama una roho ndogo unaweza ukachanganyikiwa akili.kwa faida ya wote msije mmkata tamaa mwanzo mgumu mm nimewahi unguza akaunti mara kibao tena ni mamilion ya shilingi.Ngojea niwaoneshee trade history zangu za nyuma na muone kuwa kila kitu kinawezekana ukiwa na imani na juhudi pia nakutokata tamaa
47a5b0d7da234b4c9d61f94108e2a3ec.jpg
b1dcd6c0fac679fbdcdc7f1ae98f0548.jpg
lakini sikukata tamaa na nikaanza kupata faraja baadaya kuingia serious kwenye vitabu
3d77acf65b9106963c972da088a45ca1.jpg
8d8dcaf219fdf32acb1e5ab6cc1a68bb.jpg
37bb6114b0ff13e87aa174874dc7f61e.jpg
2c631a1a238eb8e86561fdc12825c7f8.jpg
bc29606da7d8d270d0f261ec5c3d0377.jpg
690c45fd0c36c8ae769df71cf2e262f6.jpg
Acha porojo mkuu umu watu wapo serious wamewekeza muda,fedha na maisha yao on this life changing fursa.Wewe unataka kutukwamisha kaa pembeni
 
Mkuu hii pair juzi kati tena iliprint head and shoulder....niliikamata kwenye demo...tangia juzi naisubiria na imekubali tena....ona ilivoprint strong bearish kangaroo tail with all the characteristics of a kangaroo tail...

Ama kweli huu mchezo ukiupatia unachekela weeeee....ila ukienda kinyume.....duuuuu..
Inanifurahsha kwamb mnaelewa, ila inankera kwamb cjui kuitumia hyo app...
Screenshot_20170810-113550.png
mi natumia GoForex ambayo ni kama game tu, lakn haina option ya kufungua real akaunt, nataka kujifunza ile ambayo huenda ntaitumia moja kwa moja nianze kuizoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanifurahsha kwamb mnaelewa, ila inankera kwamb cjui kuitumia hyo app... View attachment 562282 mi natumia GoForex ambayo ni kama game tu, lakn haina option ya kufungua real akaunt, nataka kujifunza ile ambayo huenda ntaitumia moja kwa moja nianze kuizoea

Sent using Jamii Forums mobile app


Tunatumia Metatrader 4 platform mkuu....unaweza download kwa PC au hata kwa simu yako..
 
Mr.ontario unakipaji kikubwa but ego yako jaribu kuicontrol umeji expose sana kwamba umesoma vitabu vingi labda kucreate influence watu waamini kama wewe juu yangu siwezi kukubishia wala kukubalina na ww kwamba mimi ni tapeli...lakini bado uhakika huna kuwa mimi ni tapeli au laa au ww umesoma vitabu vingi kuliko mm au laa.I have nothing personal na ww its only business matter ndo inayotuweka humu kufuata uzi wako ili tufanikiwe.Kuna kitu kidogo sana una miss kwenye personality yako kwa kuku saidia soma kitabu kinaitwa "48 laws of power" kitaku shape uwe mtu smart,hata kama hutashindwa ntakutumia pdf yake kama utahitaji.muda mfupi ulikua umekoment mambo ambayo hayahusiani na humu kuhusu mwanamke wa FNB lakini nashukuru ulichukua hatua na ukalifanyia kazi kwa haraka.kama utachukulia ushauri wangu very personal na kunikejeri kwann am caring and digging much on your business kwamba nataka kukuaribia career yako napo sawa kwasababu siwezi kulimit au ku control wigo wako wa fikra kuperceive vitu kwasababu una weakness moja ndogo ambayo ukipambanua ni kubwa "your listening to reply,and not listening to understand".Nilikosea na nikiomba msamaha kwa sababu mimi ni binadamu nnajikwaa muda wowote ule hata ww naiman umekosea vingi katika maisha na hata kama bado basi unaelekea sababu kila binadamu anamapungufu hakuna mkamilifu.Watu wengine ambao wanakuwa spoiled na perception mbaya juu yangu wanashabikia vitu visivyo vya muhimu lakini hawawezi kunifanya nikae kimya kama naona kuna ulazima wa kuongea au kuchangia au kushauri sababu kwenye maisha siogopi kuchekwa au kupingwa sababu mm sio mediocrity i always live beyond my confort zone na nnapenda maisha hayo mm siko among "most people".Mr.ontario you either digest it or spit it out.Kazi njema chief

Sent using Jamii Forums mobile app



Mkuu usilazimishe msamaha....mwache mkuu atakusamehe siku moyo wake ukimtuma Kufanya hvo...

Mkuu ONTARIO nisamehe mkuu wangu naona ile mambo ya FNB imeleta kizaazaa mtaani...nisamehe mkuu....sikujua itafika huku..
 
kwa wale wanaotrade live jamani, broker gani mzuri, nimefanya research naishia kuona scammers tu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom