A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
Trades zako ziko sahihi sana boss wangu. Hongera sana kwa hapo ulipofikia. Hata mimi nina trades za GBPUSD, zinafanya vzr sana. Lkn suala la kuchukua pips 400 kwa siku sahau boss wangu. Labda kama bado haujapata utaalamu wa kuhesabu pips. Hata mimi na uzoefu wote huu nikipata pips 500 kwa wiki najiona nimeiotea market. Sasa wewe hizo unazitaka kwa siku [emoji23] . NFP ikija kwa kasi unaweza laza pips hadi 250 kwa siku, but not otherwise.
Mfano hapo kwa Cable unekusanya pips 27 tu, kwa siku unaeza daka hata pips 80.
Embu nitoe tongotongo boss, hapo Nina faida ya $4.33 kwa lot size ya 0.01, kwa uelewa wangu kuichukua 4.33/0.01 ndio unapata idadi ya pips. Au nakosea? Maana kutokujua kama hujui ni shida