Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Embu nitoe tongotongo boss, hapo Nina faida ya $4.33 kwa lot size ya 0.01, kwa uelewa wangu kuichukua 4.33/0.01 ndio unapata idadi ya pips. Au nakosea? Maana kutokujua kama hujui ni shida
 

Bro, ninaomba msaada wako katika kubuy au kusell kwa hii meta trader, mana nimeidownload na hata cjajua kitu kwa ukilaza wangu... Cjajua kama itakuwa poa pm au whatsapp ili tusisumbue wengne.
Pls.
Mana ninayotumia ni kama demo pekee. Yani game tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The power of head and shoulders. They are still running





Mchezo huu mtamu hasa ukipatia analysis zako[emoji2] [emoji2]


Sent using Jamii Forums mobile app



Mkuu hii pair juzi kati tena iliprint head and shoulder....niliikamata kwenye demo...tangia juzi naisubiria na imekubali tena....ona ilivoprint strong bearish kangaroo tail with all the characteristics of a kangaroo tail...

Ama kweli huu mchezo ukiupatia unachekela weeeee....ila ukienda kinyume.....duuuuu..
 
Hapo ndo unaona utamu wa forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo mkuu umu watu wapo serious wamewekeza muda,fedha na maisha yao on this life changing fursa.Wewe unataka kutukwamisha kaa pembeni
 
Inanifurahsha kwamb mnaelewa, ila inankera kwamb cjui kuitumia hyo app... mi natumia GoForex ambayo ni kama game tu, lakn haina option ya kufungua real akaunt, nataka kujifunza ile ambayo huenda ntaitumia moja kwa moja nianze kuizoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Tunatumia Metatrader 4 platform mkuu....unaweza download kwa PC au hata kwa simu yako..
 



Mkuu usilazimishe msamaha....mwache mkuu atakusamehe siku moyo wake ukimtuma Kufanya hvo...

Mkuu ONTARIO nisamehe mkuu wangu naona ile mambo ya FNB imeleta kizaazaa mtaani...nisamehe mkuu....sikujua itafika huku..
 
kwa wale wanaotrade live jamani, broker gani mzuri, nimefanya research naishia kuona scammers tu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…