Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu

Napata tabu sana ku - verify account yangu na hawa tickmill, kila nikituma supporting documents wanazitoa kasoro wakati ni documents elekezi hebu nisaidiwe hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu

Napata tabu sana ku - verify account yangu na hawa tickmill, kila nikituma supporting documents wanazitoa kasoro wakati ni documents elekezi hebu nisaidiwe hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana masharti sana.. Ila ingia kwenye website yao afu nenda kwenye chat live they should help you.. Waelezee hicho unachokisema hapa watakusaidia hopefully.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza hawana option ya currency wao wana trade commodities ,indeces na energy

Wao hawana Order unaingi kwenye markert price moja kwa moja

Hawana SL (stop looser) hapa hadi ukate wewe

hawna OCO one cancel other order
duh mkuu, kuna broker hana order kweli yani unaingia kwenye price moja kwa moja?, unataka kusema buy limit , sell limit , buy stop , sell stop zote hazipo?? yani ni kubuy na kusell tu, are you serious ,mimi nimetumia tickmill zote zipo, halafu kwenye kutafuta broker watu wanajali sana fastest market execution,uliposema tickmill hana currency ndio nimeshindwa kabisa kukuelewa ,oco is another thing ila kwa jinsi ulivyofafanua naona hujaelewa vizuri some terms,no disrespect but im surprised umeanza live, i guess umerush mno
 
Naked traders,naomba msaada,timeframe ipi nzuri kutumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea na wewe unataka kutrade vipi short time au ling time, kama ni short time tumia 1day, 4hrs, 1 hour kwnye analysis yako, kama ni long time tumia 1month au weekly, I stand to be corrected for learning puporse
 
Naked traders,naomba msaada,timeframe ipi nzuri kutumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu TF inategemea whether you are swing trader, intra day trader or day trader.
To me naona ni vzr ukafanya analysis zako ktk longer time frames preferably 1D na H4 na do your trading in H1(Top down analysis). Then you can monitor your trades in M30 or M15. Hivyo hatutegemei one TF ktk forex it is the combination of many TF kufikia decision of whether you buy or sell.

Kasome kitabu cha astrofrex na naked traders utakuta kila kitu humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru tena umekua muwazi kwamba ni referral, so nani ananufaika ndugu
Bila shaka anayenufaika ni huyu aliyekupa hii link... Sababu hawa brokers huwa wanakuwa na promotions kama hizi kwamba ukialika kiasi fulani cha watu kujiunga kupitia hizo referral, kuna commision fulani unapata... Hili nmeliona hata FXTM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…