Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.


Capture.PNG
 
Mnaochunguza Tickmill hivi mnafanya real money account au mpo demo??

Ndugu zangu demo na real account ni vitu viwili tofauti kabisaa, mimi nafanya real account ninavyosema tickmill hana hizo MUELEWE

Narudia tena TICKMILL SI MZURI KWA AFYA YAKO KAMA NDIO UNAANZA.
Tupe ushauri wako tutumie broker gani kwa sisi beginners.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.


View attachment 564947
Sure thing. Na correct me if I am wrong, in this case, the other possibility would be to wait for a breakout and its confirmation as well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief Ontario shukrani kwa updates zako watu wako tuko pamoja na wewe kiongozi kwenye hii kampeni nzuri ya kupigana dhidi ya umaskini.Tunasoma na kuongeza uelewa kila mtu kwa nafasi yake na bidii zake.Ni matumaini yangu kuwa ndoto zako zitatimia na kutimiza matarajio ya wengi kifedha.Hatutokuangusha.God bless you and all aspiring forexers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The hustle is real bosses

Nina matumaini wote mmekua na weekend yenye amani na baraka ndugu zangu.

Wengi mlitarajia niseme chochote about what's to happen with regard to our programme maaana nilipromise nitanyanyua uzi mpya kuhusu training lkn haikuwa hivyo. Nimepokea text nyingi sana kuanzia JF, IG, FB na hata private messages (mpk nashangaa wengine mnapata wapi namba zangu za simu [emoji23] )

Kuna wengine niliwajibu kuwaaeleza nini kinanikwqmisha, lkn nikaona kwa manufaa ya watu wengi inabidi nizungunze chochote ili kuwaondoa hofu. Nafahamu asilimia kubwa mmeshasoma sana, na tayari mna broad knowledge kusuhu forex na wengine hata mnaweza kufanya analysis, wengine mpo kwenye demo na wengine wamediriki kuingia live. Na natambua wengi wenu mmekua na shauku ya kupata go ahead kutoka kwangu, lkn nimezidi kua kimya.

Guys!! Kuna watu nimekutana nao uso kwa uso and they can testify how much am fighting to make sure that the programme is up and running the soonest. Lkn kuna vitu siwezi kuvizungumzia, kuna vitu vinajitokeza unexpectedly, nje ya uwezo wangu. Tulibidi tufanye launch weekend hii then J3 ya kesho programme ianze kwa 1st batch, lkn imeshindikana. Msizani nimepumzika guys, mpk hapa nimejisacrifice almost all of me.

Naamini odds are still on our side, it's a journey worth taking. Mwanzo ni mgumu lkn mwisho ni mzuri by God's grace. Na ninaamini hii programme tutakayoinza pa1 itatikisa nchi, we will have national leaders discussing it at national level in a positive way, maana si journey ya kutoa technical knowledge and skills pekee bali itaimpact people's financial lives na kupunguza unemployment crisis. It's a journey I am really looking forward to, ndio maana nimeinvest a lot of my hopes, times, knowledge, hustle and money as well.

So niseme 90% ya possibilities ni kua tutalaunch this week. Am doing all it takes week hii tuilaunch at our offices, then safari ianze. So guys bado nitoe tu wito kua tunahitaji patience, hakuna mtu atakua proud hii programme ikianza zaidi yangu, coz tayari nimeshaspend vitu vingi vingi vingi sana until now, natamani hata kesho tuanze. But am being patient and very positive.

Ni ndefu, epuka kuquote boss... nimesoma comments zote tangu post no. 1, so unaeza andika comment yako na nitaiona pia.

Guys enjoy the week ahead, keep being positive. Add something into your brain. Stay focused and hv life goal. Cheers [emoji485]

==============================

Sitafanya mambo ya kushtukiza coz najua kuna baadhi yetu watakua wanatoka mbali so watahitaji preparation kuja Dar. Tuombeane afya na uzima, nitanyanyua uzi mpya kwa ajili ya kutoa maelezo na taratibu. But for now tuendelee kukaza vyuma kichwani kwa kuongeza vitu viwili vitatu kwenye ubongo huku tukiandaa mitaji.

One of our biggest principle ni kua tutafanya LIVE trading kwa pamoja during the training. Hivyo lazima wote tuwe live tuingie sokoni kwa pamoja na tupate real market experience. Utaratibu mzuri wa system tumeandaa so hakuna mtu atakayeachwa nyuma guys. So hata usipokua batch ya kwanza kuna batch zingine zaidi ya 100. Na hata tukianza training ambazo zitahitaji kupay fees bado fees itakua reasonable kwa mTZ yoyote yule mwenye kiu ya mafanikio.
Mimi nimekuja dar toka juzi mkuu wala usihofu nitasubiri mpaka itiki tu
Maana kwenye msongamano wa mambo ndo njia ipo hapo
I only pray for u for everything mkuu salute
"Niggars never surrender"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.


View attachment 564947
Yeah kwl bro...but kwa atakaeingia mapema hapo c atakuwa ame counter trend?? Kuna haja ya kusubiri confirmation ya candle au kuchek crossover ya hiyo Stochastic hapo down??

Msaada tafadhali
 
Yeah kwl bro...but kwa atakaeingia mapema hapo c atakuwa ame counter trend?? Kuna haja ya kusubiri confirmation ya candle au kuchek crossover ya hiyo Stochastic hapo down??

Msaada tafadhali

Stochastic haina priority mbele ya price action, Sababu kubwa ni kwamba indicators zina lagging characteristic.
 
Huu uzi toka siku umeanzishwa nimeuona hapa nasubiri mambo yaive tu yani nimeapa hapa ndo pakuanzia nitasoma hata miaka 2 mpaka nielewe.... Yani inaniuma nakosa mda wa kusoma sana ila nitatoboa tu no way out.

Sent From Heaven
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.


View attachment 564947

Nice observation mkuu!!

Hapo ningekua mimi wala nisinge sell kwanza!!

What if ikatokea break-out na ikahama zone??

Hapo ninge-introduce sell-stop-order few pips below the current price, ili incase isipo-obey resistance then niwe safe!!

Kwa kuongezea tu...

Sasa hivi kuna dalili za USA kuingia vitani na bwana mapank (N. Korea), Incase ikitokea kuna uwezekano mkubwa dola ya marekani ikashuka sana!! Na kama ikishuka XAUUSD itakua so bullish na panaweza kuwa na possibily kubwa ya kuvunja hiyo zone!!

So, In such a scenario you can not be so certain! The safe way is to wait for the comfimation before you excute anything!!
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.


View attachment 564947
Mwezi mmoja uliopoita ndyo niliuona huu uzi na nikakutana na michango yako tofauti tofauti ukitoa analysis zako . Kiukweli nlikuwa naona chenga sikuwa na elewa chochote Zaidi ya kuona maluelue.
ila sasa nakuelewa Sana .
Lodrick Thomas pia kachangia pakubwa kunifanya niwe makini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom