Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mwezi mmoja uliopoita ndyo niliuona huu uzi na nikakutana na michango yako tofauti tofauti ukitoa analysis zako . Kiukweli nlikuwa naona chenga sikuwa na elewa chochote Zaidi ya kuona maluelue.
ila sasa nakuelewa Sana .
Lodrick Thomas pia kachangia pakubwa kunifanya niwe makini.
You're welcome mkuu...

Infact, tulianza kipindi hichoo, ontario alipo post hii thread kwa mara ya kwanza kabisa. By then hatukujua hata EURUSD ina maana gani!!

Ila tukajifunza, na bado tunajifunza na tutaendelea kujifunza kadri uwezo utavyoruhusu!!

Pamoja sana + Thank you!!
 
Nice observation mkuu!!

Hapo ningekua mimi wala nisinge sell kwanza!!

What if ikatokea break-out na ikahama zone??

Hapo ninge-introduce sell-stop-order few pips below the current price, ili incase isipo-obey resistance then niwe safe!!

Kwa kuongezea tu...

Sasa hivi kuna dalili za USD kuingia vitani na bwana mapank (N. Korea), Incase ikitokea kuna uwezekano mkubwa dola ya marekani ikashuka sana!! Na kama ikishuka XAUUSD itakua so bullish na panaweza kuwa na possibily kubwa ya kuvunja hiyo zone!!

So, In such a scenario you can not be so certain! The safe way is to wait for the comfimation before you excute anything!!
Same applies to USDJPY, ipo just above its over 2 month support. Trump akimsemea mbaya Kim Jong wiki hii, USD ita-plunge kuitafuta 105...na baadaye double digits

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same applies to USDJPY, ipo just above its over 2 month support. Trump akimsemea mbaya Kim Jong wiki hii, USD ita-plunge kuitafuta 105...na baadaye double digits

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu!!

Na hii issue ikitokea Yen nayo inaweza isiwe safe maana huu ugomvi unawahusu pia!!

Leo mchana nilikua napitia uchambuzi wa huyu dada kuhusu N.Korea vs USA na impacts zake.... Ameelezea mengi sana...

Pitia hii link...

What Happens To JPY If USA Attacks North Korea?
 
Nice observation mkuu!!

Hapo ningekua mimi wala nisinge sell kwanza!!

What if ikatokea break-out na ikahama zone??

Hapo ninge-introduce sell-stop-order few pips below the current price, ili incase isipo-obey resistance then niwe safe!!

In such a scenario you can not be so certain! The safe way is to wait for the comfimation before you excute anything!!

Kwa kuongezea tu...

Sasa hivi kuna dalili za USD kuingia vitani na bwana mapank (N. Korea), Incase ikitokea kuna uwezekano mkubwa dola ya marekani ikashuka sana!! Na kama ikishuka XAUUSD itakua so bullish na panaweza kuwa na possibily kubwa ya kuvunja hiyo zone!!

Yah, hiyo ndo strategy, Stop loss unaweka several pips above resistance
 
Stochastic haina priority mbele ya price action, Sababu kubwa ni kwamba indicators zina lagging characteristic.
Yeah kwl indicators zinalag but pia kama alivyosema mkuu Lodrick kuwa ataweka order then kama price ikishuka then itakuwa triggered..bt kwa kuingia direct unaweza ukapigwa loss kwa fakeout na stop loss ikawa touched...so my point ilikua kutoingia mapema ili kuepuka ku counter trend Maana Institution Traders nao wana Observe majority watafuata ili watumie hiyo chance then they leave the continuation stop loss zenu zikiwa triggered.
 
You're welcome mkuu...

Infact, tulianza kipindi hichoo, ontario alipo post hii thread kwa mara ya kwanza kabisa. By then hatukujua hata EURUSD ina maana gani!!

Ila tukajifunza, na bado tunajifunza na tutaendelea kujifunza kadri uwezo utavyoruhusu!!

Pamoja sana + Thank you!!
Asante mkuu nimesha karibia Tuko pamoja nna Kama wiki hivi nimeanza real account xm,
sijaweka salio natumia bonus Yao.
 
Yeah kwl indicators zinalag but pia kama alivyosema mkuu Lodrick kuwa ataweka order then kama price ikishuka then itakuwa triggered..bt kwa kuingia direct unaweza ukapigwa loss kwa fakeout na stop loss ikawa touched...so my point ilikua kutoingia mapema ili kuepuka ku counter trend Maana Institution Traders nao wana Observe majority watafuata ili watumie hiyo chance then they leave the continuation stop loss zenu zikiwa triggered.
The main point ni kwamba UNANGOJA CONFIRMATION!!

Na kwa case ya Complex kuna uwezekano pakatokea bearish big shadow, bearish big belt au ikatokea last-kiss case!!

Ikitokea either of them ndio anaweza kuingia na sell-stop-order!!
 
Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi, ndani ya wingi wa fikra pevu za mafanikio zilizolala kwa kukosa mitaji,
katika nchi yenye rasimali nyingi za kusaidia mtu kufikia malengo yake, katika safari yenye moyo wa ujasiri wa kusongo mbele,
katika imani isiyokata tamaa, ndipo tunapokutana na watu wa kariba yako Ontario (May God bless u bro). Watu walioamua kuweka wazi jambo jema la mafanikio, linalohitaji uvumilivu na utulivu wa kujifunza pole pole.

Kwa mbaaaali nauona mwanga wa mafanikio.

Tutazidi kuvuta subira hadi siku ya kwanza ya safari yetu darasani itakapowadia.

Naendelea kufungua kitabu, ni page 297 ..."surf's up dudes"
 
Nimeanza kutumia demo ya XM kwa MT5 ths wkend... Japo bado cjamaster vzur. Je wewe ulotumia kwa muda waonaje? Na watumia platform gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
demo sikutumia xm, platform natumia mt4.
minimeanza kutumia demo nikiwa Sielewi chochote so nilicho kifanya nikuimgia YouTube nakuchek videos on how to use mt4 then nikajifunza indicator kadhaa via YouTube video kwa sasa naendelea kusoma vitabu.
 
Naomba wakuu, pale unaposema kuwa leverage ni kubwa haiendani na mtaji wako inakuwaje? Na inapokuja kuipunguza iendane na mtaji wako unafanyaje? Naombeni ufafanuzi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hope everytin will be alright, tupo tayari boss kwa darasa lako.... t will b lyk a dream come true for us the day we will b appointed to join ur training, May God bless all of us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi, ndani ya wingi wa fikra pevu za mafanikio zilizolala kwa kukosa mitaji,
katika nchi yenye rasimali nyingi za kusaidia mtu kufikia malengo yake, katika safari yenye moyo wa ujasiri wa kusongo mbele,
katika imani isiyokata tamaa, ndipo tunapokutana na watu wa kariba yako Ontario (May God bless u bro). Watu walioamua kuweka wazi jambo jema la mafanikio, linalohitaji uvumilivu na utulivu wa kujifunza pole pole.

Kwa mbaaaali nauona mwanga wa mafanikio.

Tutazidi kuvuta subira hadi siku ya kwanza ya safari yetu darasani itakapowadia.

Naendelea kufungua kitabu, ni page 297 ..."surf's up dudes"
Kama mwandishi wa stori hivi uko vizuri kaka jaribu kutunga stori kama uataweza ujipatie pesa pia
Ulishawahi kumsikia eric shigongo akiongea live mmh kipaji mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: MC7
hii kitu ni simple kama utakuwa na nia nacho hakuna lisilowezekana chini ya jua, ni kama mtihani wa darasa la NNE zamani nilivyokuwa natishwa kwamba ni mgumu kumbe kitu mterezo!
 
Naomba wakuu, pale unaposema kuwa leverage ni kubwa haiendani na mtaji wako inakuwaje? Na inapokuja kuipunguza iendane na mtaji wako unafanyaje? Naombeni ufafanuzi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Leverage: huandikwa kwa uwiano, mf, 1:10, 1:15..... Mpaka 1:200 na kuendelea.

Leverage ni "namba ya kuzidishia" kwa mtaji wako.

Mf, ume open position na ukapata faida ya pips 2, na au kirahs $5 labda. (kutegemeana na item umenunua) faida yako itakuwa ni 5 kuzidisha kiasi cha leverage. Kama leverage uliweka 100, then faida inakuwa 5mara100=$500.

Sasa tabu inakuja unapo loose. Leverage ina amplify faida na hasara pia. Mfano, una mtaji wa $200, ukapata hasara ya $5, kama leverage umetumia 100 (yani 1:100), hasara yako itakuwa $5mara 100= $500.

Ndomana wanashaur kuwa makini unapotumia leverage. Na pia unaponunua uctumie zaidi ya 20% ya mtaji.

Na zaidi sana, hapa ndo utakapoona FAIDA ya kitu chaitwa STOP LOSS.

kama nimekosea kidogo, wadau wataongezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom