Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Asante, natumia MT4 PC version, msaada wa jinsi ya kuifikia hiyo option. Kuhusu script ipo by default au inabid kuimport?
Niko mbali na PC hapa, ila kwenye interface ya MT4 cheki option ya quick deal au one click trading, kitatoka ki-window kidogo ambacho unaweza kutumia mouse ku-click as fast as possible opening many positions in few seconds. Kuhusu scripts za ku-close all ni third party just import them in MT4. Ingia Forex Factory zipo...cheki moja nadhani inaitwa "Kill All"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A TRADER IN DARK IS A TRADER IN RED

Head and shoulders pattern is pouring blues

6a13e52ce0ff8ffaa53357e854e37984.jpg

66f619464cfdcf6f83dcd93beec6cfc3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!
We waiting

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!
All the best mkuu, wengine tutakuja badae, kama ulivyo sema toka mwanzo kwamba kutakuwa na branches, am waiting, right now am so occupied, buid a long standing Institute for long life to all Tanzanian. Pongezi kwako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!
Tunaisubiria kwa hamu, hii wiki sitoki nje ya Dar es salaam hadi kieleweke.
Learning mode activated.
Mungu akuongoze ONTARIO pamoja na wengineo hii ishu ifanikiwe na mafanikio yake yatawale kwenye mijadala ya TZ .
 
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!
Tuko pamoja kk. Nasubiri tu a final call, nishuke faster Dar.
Tunaendelea kujifunza na kutest skills kunazoacquire kuona if the really work - Yes they work.

This is another setup. It is a swing trade, nimeopen pending orders zinasubiri neckline iwe broken

dd47dd057331bdb9d1129adf05b4e848.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko mbali na PC hapa, ila kwenye interface ya MT4 cheki option ya quick deal au one click trading, kitatoka ki-window kidogo ambacho unaweza kutumia mouse ku-click as fast as possible opening many positions in few seconds. Kuhusu scripts za ku-close all ni third party just import them in MT4. Ingia Forex Factory zipo...cheki moja nadhani inaitwa "Kill All"

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, nitacheki kisha nitatoa mrejesho.
Nimefanikiwa kupata Kill All script, japo testing yake so far inaonyesha inafanya kazi lakini still haiclose orders.
 
upload_2017-8-15_11-16-27.png

Wakuu wangu.... Niko katika mchakato wa kufungua accounts hizo hapo juu...
Kwa sisi wenye Mtaji wa Kudunduliza Suala la msingi ni kutaka kujua Fees (kitu ambacho wengi wanaki overlook)
Kwenye hizo herufi A mpaka F ni Fees husika kwa kila account.
Kuna Annual Fees, Monthly Fees (mfano nasikia FNB wanakata 16,000 kwa mwezi)
Kuna Withdrawal Fees, Deposit fees.

Ni vizuri tukazijua hizi fees na Best Bank accounts zenye minimum Charges (Especially hapo kwenye Local Bank na Payoneer)
Kwa wale wenye Mitaji midogo hili suala ni la muhim kufanya consideration.
Lakini kama mtaji wako ni mkubwa na transaction zako ni kubwa kubwa nadhani huna haja sana ya kuwaza kuhusu charges.
Kuna aliefungua accounts zote hapo anijuishe kuhusu Charges (hasa kwenye Banks) ili niepukane na Bank zenye makato ya juu yanayoweza kuwa yanakula Significant Percent ya Faida na Mtaji wangu??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom