Sahihi kabisa
Real ECN broker kwa sehemu kubwa pato lake anategema commission.
Hivyo kwa utafiti mdogo nilio ufanya Tickmill ni moja kati ya ECN broker wazuri.
Duu kumbe jamaa ni muongo...ohoo atawatapeli wengi basi humu jf..bora umetu stuaUmenifanya nijisikie vibaya sana bro. Let's keep it real, forex haina porojo za kis3nge. Utatumiaje screen shot za mtu afu unaleta uzushi boss wangu. Tapeli watu when Ontario is not around, ukiwa unafanya mbele yangu maana yake umedharau sana IQ yangu kwamba sijui nini kinaendelea ktk trading industry.
Hahahaha huyu jamaa tapeli kabisa kama angekuwa anapiga hela nyingi hivi kwa Fx asingejitangaza anatafuta kazi yoyoteNilifwatilia background yake nikasema acha nikae kimya kwanza, nisiwe negative...
Hizi ni post zake za mwaka huu, nyingi ni za mwezi wa 6!!
Natafuta ajira wakuu
Nauza mashine ya juisi ya miwa isio tumia umeme
Nauza subwoofer
Nauza sofa+kitanda+mtungi wa gas
Natafuta kazi yoyote wakuu
Nauza water dispencers kwa 30,000
Natengeneza blog kwa 10,000/=
Umenifanya nijisikie vibaya sana bro. Let's keep it real, forex haina porojo za kis3nge. Utatumiaje screen shot za mtu afu unaleta uzushi boss wangu. Tapeli watu when Ontario is not around, ukiwa unafanya mbele yangu maana yake umedharau sana IQ yangu kwamba sijui nini kinaendelea ktk trading industry.
you have no idea what you're talking about mkuu, and its a shame you insist ,Mnaochunguza Tickmill hivi mnafanya real money account au mpo demo??
Ndugu zangu demo na real account ni vitu viwili tofauti kabisaa, mimi nafanya real account ninavyosema tickmill hana hizo MUELEWE
Narudia tena TICKMILL SI MZURI KWA AFYA YAKO KAMA NDIO UNAANZA.
Mkuu nenda comment no 3869 page 387 kama unatumia JF app kwenye cm..
Nimejaribu kushare kwa cm nimeshindwa. Post itumwa na Bavaria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja mkuu.Na ninaamini hii programme tutakayoinza pa1 itatikisa nchi, we will have national leaders discussing it at national level in a positive way, maana si journey ya kutoa technical knowledge and skills pekee bali itaimpact people's financial lives na kupunguza unemployment crisis. It's a journey I am really looking forward to, ndio maana nimeinvest a lot of my hopes, times, knowledge, hustle and money as well.
Thank you boss, tukopamoja.The hustle is real bosses
Nina matumaini wote mmekua na weekend yenye amani na baraka ndugu zangu.
Wengi mlitarajia niseme chochote about what's to happen with regard to our programme maaana nilipromise nitanyanyua uzi mpya kuhusu training lkn haikuwa hivyo. Nimepokea text nyingi sana kuanzia JF, IG, FB na hata private messages (mpk nashangaa wengine mnapata wapi namba zangu za simu [emoji23] )
Kuna wengine niliwajibu kuwaaeleza nini kinanikwqmisha, lkn nikaona kwa manufaa ya watu wengi inabidi nizungunze chochote ili kuwaondoa hofu. Nafahamu asilimia kubwa mmeshasoma sana, na tayari mna broad knowledge kusuhu forex na wengine hata mnaweza kufanya analysis, wengine mpo kwenye demo na wengine wamediriki kuingia live. Na natambua wengi wenu mmekua na shauku ya kupata go ahead kutoka kwangu, lkn nimezidi kua kimya.
Guys!! Kuna watu nimekutana nao uso kwa uso and they can testify how much am fighting to make sure that the programme is up and running the soonest. Lkn kuna vitu siwezi kuvizungumzia, kuna vitu vinajitokeza unexpectedly, nje ya uwezo wangu. Tulibidi tufanye launch weekend hii then J3 ya kesho programme ianze kwa 1st batch, lkn imeshindikana. Msizani nimepumzika guys, mpk hapa nimejisacrifice almost all of me.
Naamini odds are still on our side, it's a journey worth taking. Mwanzo ni mgumu lkn mwisho ni mzuri by God's grace. Na ninaamini hii programme tutakayoinza pa1 itatikisa nchi, we will have national leaders discussing it at national level in a positive way, maana si journey ya kutoa technical knowledge and skills pekee bali itaimpact people's financial lives na kupunguza unemployment crisis. It's a journey I am really looking forward to, ndio maana nimeinvest a lot of my hopes, times, knowledge, hustle and money as well.
So niseme 90% ya possibilities ni kua tutalaunch this week. Am doing all it takes week hii tuilaunch at our offices, then safari ianze. So guys bado nitoe tu wito kua tunahitaji patience, hakuna mtu atakua proud hii programme ikianza zaidi yangu, coz tayari nimeshaspend vitu vingi vingi vingi sana until now, natamani hata kesho tuanze. But am being patient and very positive.
Ni ndefu, epuka kuquote boss... nimesoma comments zote tangu post no. 1, so unaeza andika comment yako na nitaiona pia.
Guys enjoy the week ahead, keep being positive. Add something into your brain. Stay focused and hv life goal. Cheers [emoji485]
==============================
Sitafanya mambo ya kushtukiza coz najua kuna baadhi yetu watakua wanatoka mbali so watahitaji preparation kuja Dar. Tuombeane afya na uzima, nitanyanyua uzi mpya kwa ajili ya kutoa maelezo na taratibu. But for now tuendelee kukaza vyuma kichwani kwa kuongeza vitu viwili vitatu kwenye ubongo huku tukiandaa mitaji.
One of our biggest principle ni kua tutafanya LIVE trading kwa pamoja during the training. Hivyo lazima wote tuwe live tuingie sokoni kwa pamoja na tupate real market experience. Utaratibu mzuri wa system tumeandaa so hakuna mtu atakayeachwa nyuma guys. So hata usipokua batch ya kwanza kuna batch zingine zaidi ya 100. Na hata tukianza training ambazo zitahitaji kupay fees bado fees itakua reasonable kwa mTZ yoyote yule mwenye kiu ya mafanikio.
Watakuja wengi sana kwa mtindo huu.Out of topic guys
Kuna mtu aliwahi kuniPM siku za nyuma sana. PMs ni nyingi sana siwezi kuanza kupekua na kuipata zipo nyingi sana. Alinambia kua ana degree ya sheria kutoka SAUT, tukazungumza kidogo kuhusu hilo na kugusia kufanya kazi pamoja. Please naomba unicheki kwa PM the early the better.
The hustle is real bosses
Nina matumaini wote mmekua na weekend yenye amani na baraka ndugu zangu.
Wengi mlitarajia niseme chochote about what's to happen with regard to our programme maaana nilipromise nitanyanyua uzi mpya kuhusu training lkn haikuwa hivyo. Nimepokea text nyingi sana kuanzia JF, IG, FB na hata private messages (mpk nashangaa wengine mnapata wapi namba zangu za simu [emoji23] )
Thanks Kwa feedback.The hustle is real bosses