Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tupe ushauri wako tutumie broker gani kwa sisi beginners.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.

View attachment 564947
Sure thing. Na correct me if I am wrong, in this case, the other possibility would be to wait for a breakout and its confirmation as well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief Ontario shukrani kwa updates zako watu wako tuko pamoja na wewe kiongozi kwenye hii kampeni nzuri ya kupigana dhidi ya umaskini.Tunasoma na kuongeza uelewa kila mtu kwa nafasi yake na bidii zake.Ni matumaini yangu kuwa ndoto zako zitatimia na kutimiza matarajio ya wengi kifedha.Hatutokuangusha.God bless you and all aspiring forexers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekuja dar toka juzi mkuu wala usihofu nitasubiri mpaka itiki tu
Maana kwenye msongamano wa mambo ndo njia ipo hapo
I only pray for u for everything mkuu salute
"Niggars never surrender"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.

View attachment 564947
Yeah kwl bro...but kwa atakaeingia mapema hapo c atakuwa ame counter trend?? Kuna haja ya kusubiri confirmation ya candle au kuchek crossover ya hiyo Stochastic hapo down??

Msaada tafadhali
 
Yeah kwl bro...but kwa atakaeingia mapema hapo c atakuwa ame counter trend?? Kuna haja ya kusubiri confirmation ya candle au kuchek crossover ya hiyo Stochastic hapo down??

Msaada tafadhali

Stochastic haina priority mbele ya price action, Sababu kubwa ni kwamba indicators zina lagging characteristic.
 
Huu uzi toka siku umeanzishwa nimeuona hapa nasubiri mambo yaive tu yani nimeapa hapa ndo pakuanzia nitasoma hata miaka 2 mpaka nielewe.... Yani inaniuma nakosa mda wa kusoma sana ila nitatoboa tu no way out.

Sent From Heaven
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.

View attachment 564947

Nice observation mkuu!!

Hapo ningekua mimi wala nisinge sell kwanza!!

What if ikatokea break-out na ikahama zone??

Hapo ninge-introduce sell-stop-order few pips below the current price, ili incase isipo-obey resistance then niwe safe!!

Kwa kuongezea tu...

Sasa hivi kuna dalili za USA kuingia vitani na bwana mapank (N. Korea), Incase ikitokea kuna uwezekano mkubwa dola ya marekani ikashuka sana!! Na kama ikishuka XAUUSD itakua so bullish na panaweza kuwa na possibily kubwa ya kuvunja hiyo zone!!

So, In such a scenario you can not be so certain! The safe way is to wait for the comfimation before you excute anything!!
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.

View attachment 564947
Mwezi mmoja uliopoita ndyo niliuona huu uzi na nikakutana na michango yako tofauti tofauti ukitoa analysis zako . Kiukweli nlikuwa naona chenga sikuwa na elewa chochote Zaidi ya kuona maluelue.
ila sasa nakuelewa Sana .
Lodrick Thomas pia kachangia pakubwa kunifanya niwe makini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…