Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!

Waiting patiently na msuli daily. Big up mkuu.
 
View attachment 566618

Naomba maana ya maneno haya, in relation to pending order

Sent using Jamii Forums mobile app
Buy limit- when you want to buy a pair at a low price than market price (buy low)

Sell limit- when you want to sell a pair at a high price than market price (sell high)

Buy stop- when you want to buy a pair at high price than market price (buy high)

Sell stop- when you want to sell a pair at low price than market price. (sell low)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!
Mkuu kila la kheri ktk maandalizi yako.
Tukumbuke na sisi ma age mate wako ambao kdg ndo tumetoka vyuo hatuna uwezo mkubwa wa kulipia kiasi kikubwa sana kwaajili ya training,MUNGU akujalie uweke kiasi affordable kwa wote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante. Now kwa mfano bei ni 1.425, naweza weka buy limit 0.5 ambayo ndo minimum nahc bei itafika, na buy stop 1.0? Je muda wote bei ikiwa between 0.5 na 1.0 pending order itakuwa executed? Au iko vp vp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
you right bro I am looking forward to this answers
 
Soon guys!!

I will launch this week, bado sijajua exact date but ni wiki hii. Wait for final call Mungu akijalia uzima.

Cheers and keep being positive!!
UBARIKIWE SANA ndio neno Adhimu katika lugha yetu adhimu iliyojaa utoholewaji wa maneno.
Siwezi pata picha FURAHA ILIYOKUJAA baada ya kufanikiwa kupitia vikwazo vingi na kebehi na vitisho na ugumu wote......
ILA nadhani sisi tunazidi furaha hiyo kama tamaa ya kusubiri muda mrefu imefika mwisho.... Wache tuongeze vitu kichwani..

[HASHTAG]#MTAANIPAGUMUSANA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ONTARIOtheHUSTLER[/HASHTAG]
[HASHTAG]#GODBLESSyOU[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante. Now kwa mfano bei ni 1.425, naweza weka buy limit 0.5 ambayo ndo minimum nahc bei itafika, na buy stop 1.0? Je muda wote bei ikiwa between 0.5 na 1.0 pending order itakuwa executed? Au iko vp vp?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mf. kwa sasa EURUSD ni 1.1425 we waweza weka buy limit 1.1420 (hapa tofauti ni 5pips). Wakati movement inaendelea kupanda na kushuka, ikishuka na kufika buy limit yako ya 1.1420 automatic itaexecute trade....
 
Patience is paying.

My earlier head and shoulders pattern is now being pushed down bringing blues by the recent USD fundamental news

It is still demo guys and I am testing my arsenal ready for training from the boss ONTARIO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU,
1. Kwanini Payoneer wanahitaji Bank Account Number?
2. Na, Je hii Curreny type(Maana ziko 2 USD & EUR) inamaanisha Account type currency?

WAKUU,
1. Kwanini Payoneer wanahitaji Bank Account Number?
2. Na, Je hii Curreny type(Maana ziko 2 USD & EUR) inamaanisha Account type currency?

View attachment 566888
Hizo unajaza na wanatumia taarifa za akaunti ya benk yako ya hapa kama uthibitisho kwao kama unavyoenda na barua ya Mtendaji kwe hizi benki zetu kufungua akaunti.........sijui umenielewa hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkuu ONTARIO hilo pindi unalotarajia kuanzisha wiki hii litarekodiwa ama?
 
Inabidi ujibidishe sana kusoma vitabu, ni wazi kuwa hujaelewa aina za order, soma Astraforex kuanzia uk. wa 27 na kuendelea, hutajuta...yote haya utayakuta, kitabu kimo kwenye thread hii hii.

Ahsante. Now kwa mfano bei ni 1.425, naweza weka buy limit 0.5 ambayo ndo minimum nahc bei itafika, na buy stop 1.0? Je muda wote bei ikiwa between 0.5 na 1.0 pending order itakuwa executed? Au iko vp vp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…