Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sure, Kwa analysis yangu kama nitaingia long katika hyo trade, take profit nitaiweka katika turning point ya hiyo warmie ambapo nimelabel namba 1, na stop loss nitaweka chini kidogo ya lower low yaa hiyo warmie ambayo nielebel level kama namba 2. Though mtu unaweza kuwa in close watch ukawa unasogeza stop loss na take profit upwards, ila hii inabidi maccho yako muda wote yawe katika chart. But ili mtu usiiingie katika trade kama last condition ya warmie haitakuwa fullfiled as i said earlier.

View attachment 570148

Kwanza nimejaribu kuangalia graph ya EURZAR naona kama zinatofautiana sana na hii yako!!

Pili I can say this is not a wammie set-up simply because hamna indication ambayo itakwambia now you can buy!! Look at the last candlestick, is a bullish candlestick? no it is not!!

Hapo sijaongelea kuhusu support level....

Nikiangalia kwa haraka hapo naona kuna strong bearish movement na hapo ni kama ime-pause, so at any time t, inaweza endelea kwenda south tena kwa speed kubwa tu, na kama uaingia kwa ku-buy sizani kama itakua good decision!!

My take: wait for futher cue, may be it might be treanding kangaroo tail, or something else!!

Look at this....

Huu ndio muonekano wa EURZAR katika H1 timeline...
CaptureZAR2.PNG

Hizo R3 na S3 ni strong resistance and support line respectively!

Nadhani ukiangalia hapo utaona S3 imeguswa na tail ya candle stick alafu mbele yake ika tokea strong bullish candlestick. Ukiangalia candlesticks za mwisho ni kama inaonyesha bearish movement ime-pause na kuna uwezekano ikaendelea kushuka kuelekea south kwenye S3!!

Pia nikiangalia kwenye Daily chart na H4 chart zote zinaonyesha hii pair still ni bearish na bado ina move kuelekea south!!

Tungoje tuone kwa uhakika zaidi mkuu!!
 
7b5a3745e81b994fc8b5ee9b0ddd2fd2.jpg

Jana eurusd ilikuwa vzuri in bullish nilibuy pairs soko likafungwa nikawa sijaclose ila nikiangalia j3 siko litaamka vibaya itakuw bearsh
Kuna kitu kinaitwa SWAP sijui kama unakijua?

Usiwe unapenda kukaa na position muda mrefu!
 
Hahahaa, Yah, ni kweli ulivyosema, ila mimi nilikuwa nafikiria kinyumenyume nione nayo kama inawork out ama laa. Yaani kwa kifupi ni kuwa nilikuwa nafikiria kama conditions za warmie hazikufikiwa kikamilifu, Je does it worth mtu aingie trade inverse ya warmie setup inavyosuggest.?
As I said, wammie and moolah zote zina principlas zake, na kama moja ikiwa violated definately it not going to work! I'd rather suggest if it happen that way do not open position with market price, use pending order!!

The same applies when it comes to moolah set-ups!
 
Kwanza nimejaribu kuangalia graph ya EURZAR naona kama zinatofautiana sana na hii yako!!

Pili I can say this is not a wammie set-up simply because hamna indication ambayo itakwambia now you can buy!! Look at the last candlestick, is a bullish candlestick? no it is not!!

Hapo sijaongelea kuhusu support level....

Nikiangalia kwa haraka hapo naona kuna strong bearish movement na hapo ni kama ime-pause, so at any time t, inaweza endelea kwenda south tena kwa speed kubwa tu, na kama uaingia kwa ku-buy sizani kama itakua good decision!!

My take: wait for futher cue, may be it might be treanding kangaroo tail, or something else!!

Look at this....

Huu ndio muonekano wa EURZAR katika H1 timeline...
View attachment 570173

Hizo R3 na S3 ni strong resistance and support line respectively!

Nadhani ukiangalia hapo utaona S3 imeguswa na bullish kangaroo tail candle stick alafu mbele yake ika tokea strong bullish candlestick. Ukiangalia candlesticks za mwisho ni kama inaonyesha bearish movement ime-pause na kuna uwezekano ikaendelea kushuka kuelekea south kwenye S3!!

Pia nikiangalia kwenye Daily chart na H4 chart zote zinaonyesha hii pair still ni bearish na bado ina move kuelekea south!!

Tungoje tuone kwa uhakika zaidi mkuu!!

Mkuu is that an idea kangaroo tail???maana nikiangakia body yake ni kama zinalingana na tail...okay inaweza kuwa na room to the left na imeopen and close within the range of previous candle stick....but is it the largest candlestick the market has printed so far....nay....maana naona previous candles ni Kubwa kuliko kangaroo tail yako.

I would have called that candlestick just a normal reversal bar (probably a pin bar) and not a kangaroo tail...maana imemiss some of the characteristics of ideal kangaroo tail..
 
Aisee, Nimeona kitu cha ajabu hapa. Wewe hiyo ni graph toka platform gani ya MT4.? Maana mimi nina platform tofautitofauti katika PC, Ile analysis nilikuwa nafanya katika MT4 app niliyoidownload toka katika website ya tickmill ambayo nii hii hapa chini inasubiri last confirmation ya warmie. Na hii ndo niliyoipost ile asubuhi. Kama ukiangalia last candle ina long pin.

BY the way haikuwa imekamilisha Warmie condition, What i said ni watu waifanyie close monitoring kwani kwa kama image hii inavyoonesha ishakamilisha stages 4 za kutengeneza warmie, na ilikuwa imebakia stage moja ya kuprint bull candle ambayo closing price inakaribiana katika edge ya wick. Haikuwa yet warmie, ila ilikuwa ni watchout thing.

MT4 tickmill.PNG

Baada ya wewe kupost hiyo, Imenibidi nifungue app ya MT4 ambayo nilidownload toka Instaforex, Cha ajabu last candle ipo tofauti na last candle ya katika hiyo graph hapo juu ambayo nimeitoa katika graph charts za tickmill. Na tukisema tubase katika hii graph ya pili, ni kweli hakuna dalili ya warmie pattern kutengenezwa.

MT4 instaforrex.PNG

How is this possible chart zote za MT4 ziprint candles tofauti katika same timeframe.? Na siyo hiyo tuu, Nimezichnguza candles harakaharaka with visual inspection kuna baadhi naona zinatofautiana. Ushawahi notice hili .?
 
Unaweza ukawa sahihi mkuu, but my idea ilikua kuonyesha hiyo tail inavyogua support line!!
 
Wazo la pili
Kwasasa huu uzi ndio utakua ukitumika kwaajili ya kila kitu, updates and everything. Mambo yakikamilika I will make a call kwa uzi mwingine hapa hapa JF. Tuweni wavumilivu, I know how much I and my team are fighting to get started. Please kwa wale mnaonifahamu, sitajibu ht hizo text mnazonitumia mara kwa mara FB messenger na IG. Tukiwa tayari, nitatoa details zote na utaratibu, sehemu ya kukutana ni office pekee and not otherwise. Mambo yakikamilika tutaarifiana.
Good
 
Unaweza ukawa sahihi mkuu, but my idea ilikua kuonyesha hiyo tail inavyogua support line!![/QU

Sawa mkuu ungesema tu kuwa ile candle ni kwamba buyers waliwazidi nguvu kidogo sellers ndo maana ya ile a bit longer lower tail. ukajazia na ile preceding bullish candle.

Halafu mbona ume-edit ile comment ya kwanza uliyotaja Kangaroo tail....tunajifunza bado mkuu na katika kujifunza kukosea na kukosoana ni sehemu ya mchezo....bado muda wa kuonyesha perfection kwenye huu mchezo...hata ukiwapa experienced traders kumi chart moja kila mmoja anaweza kuja na different views.

Hii fursa ni life changer kwa watanzania ila inaweza isiwe kwa sababu ya ujuaji wetu maana naona watu wameshaanza kufabricate chart pattern zao na kuachana na zile ambazo markert inaprint...LOL
 
Aisee, Nimeona kitu cha ajabu hapa. Wewe hiyo ni graph toka platform gani ya MT4.? Maana mimi nina platform tofautitofauti katika PC, Ile analysis nilikuwa nafanya katika MT4 app niliyoidownload toka katika website ya tickmill ambayo nii hii hapa chini inasubiri last confirmation ya warmie. Na hii ndo niliyoipost ile asubuhi. Kama ukiangalia last candle ina long pin.

BY the way haikuwa imekamilisha Warmie condition, What i said ni watu waifanyie close monitoring kwani kwa kama image hii inavyoonesha ishakamilisha stages 4 za kutengeneza warmie, na ilikuwa imebakia stage moja ya kuprint bull candle ambayo closing price inakaribiana katika edge ya wick. Haikuwa yet warmie, ila ilikuwa ni watchout thing.

View attachment 570224

Baada ya wewe kupost hiyo, Imenibidi nifungue app ya MT4 ambayo nilidownload toka Instaforex, Cha ajabu last candle ipo tofauti na last candle ya katika hiyo graph hapo juu ambayo nimeitoa katika graph charts za tickmill. Na tukisema tubase katika hii graph ya pili, ni kweli hakuna dalili ya warmie pattern kutengenezwa.

View attachment 570230

How is this possible chart zote za MT4 ziprint candles tofauti katika same timeframe.? Na siyo hiyo tuu, Nimezichnguza candles harakaharaka with visual inspection kuna baadhi naona zinatofautiana. Ushawahi notice hili .?
Mimi natumia XM mkuu!!

Nimeangalia baadhi ya websites naona graphs zinalingana!!

Hotforex wanaendana na xm, fxstreet nao naona wameendana na xm!

Inshort kuna utofauti nimeona!!
 
Ukicheki instaforex ndo funga kazi, Ingia huko ujiridhishe na hii scenario, Ndo iliyopelekea mimi kuja na hiyo idea ya warmie kwa maana last candle imegusa minor support niliyoichora. So of all these, Which charts ni za kufuata.? Na kwa nini charts zitofautiane.? Hili nadhani elites watakuja na muongozo.
 
Unaweza ukawa sahihi mkuu, but my idea ilikua kuonyesha hiyo tail inavyogua support line!!

Sawa mkuu ungesema tu kuwa ile candle ni kwamba buyers waliwazidi nguvu kidogo sellers ndo maana ya ile a bit longer lower tail. ukajazia na ile preceding bullish candle.

Halafu mbona ume-edit ile comment ya kwanza uliyotaja Kangaroo tail....tunajifunza bado mkuu na katika kujifunza kukosea na kukosoana ni sehemu ya mchezo....bado muda wa kuonyesha perfection kwenye huu mchezo...hata ukiwapa experienced traders kumi chart moja kila mmoja anaweza kuja na different views.

Hii fursa ni life changer kwa watanzania ila inaweza isiwe kwa sababu ya ujuaji wetu maana naona watu wameshaanza kufabricate chart pattern zao na kuachana na zile ambazo markert inaprint...LOL
 
Halafu mbona ume-edit ile comment ya kwanza uliyotaja Kangaroo tail....tunajifunza bado mkuu na katika kujifunza kukosea na kukosoana ni sehemu ya mchezo....bado muda wa kuonyesha perfection kwenye huu mchezo...hata ukiwapa experienced traders kumi chart moja kila mmoja anaweza kuja na different views.
Nime-edit ili kuondoa mkanganyiko mkuu!

Hii fursa ni life changer kwa watanzania ila inaweza isiwe kwa sababu ya ujuaji wetu maana naona watu wameshaanza kufabricate chart pattern zao na kuachana na zile ambazo markert inaprint...LOL
Sizani kama kuna mtu aliye fabricate chart na sizani kama inawezekana! Kwa kifupi kuna utofauti wa charts kutoka source mmoja na mwingine!

Nadhani itakua vizuri kama ONTARIO na Bavaria wakitoa neno katika hili!
 
Nime-edit ili kuondoa mkanganyiko mkuu!

Sizani kama kuna mtu aliye fabricate chart na sizani kama inawezekana! Kwa kifupi kuna utofauti wa charts kutoka source mmoja na mwingine!

Nadhani itakua vizuri kama ONTARIO na Bavaria wakitoa neno katika hili!

Niliposema kufabricate sikumaanisha unachomaanisha mkuu....ni kwamba unataka vitu viwe kama unavyotaka wewe na sio kama soko linavyotaka au jinsi tulivyosoma kwenye vitabu (ingaweje mentors ndo watakaomalizia kwani inawezekana kabisa kuna vitu tunadhani tupo sahihi kumbe sio)

Hata vitabu vinasema kuna wakati unatamani vitu viende kama unavyotaka ila haiwezekani maana soko halikujui kwa hyo mambo yakienda tofauti na unavyotaka inabidi uwe tu mpole mkuu..
 
tupe experience kaka, ulitumia money wallet gani au ulitumiwa direct kwa local bank, au vip kama tutojali unatumia broker gani na benk gani, ila hongera mkuu

Kaka habari ningependa kukusaidia, mimi natumia benki ya Barclays bank Tanzania, nilifungua saving account ya kawaida wakinipa VISA ATM Card ambayo niliitumia kudeposit hela kwa broker wangu na kuwithdraw profit zikawa credited moja kwa moja kwenye bank account yangu. Broker ninayemtumia ni FX Pro Finacial Service Ltd iliyopo wiingereza na sababu ya kuwachagua nikwamba huwa wana sponsor sports events mbalimbali na wanadhamini team ya ligi kuu ya wiingereza itwayo Watford Fc na pia huwa wapo recomended na traders mbalimbali kwenye channel ya Bloomberg so far naona hawana shida na wana asset classes mbalimbali sio currencies tu.
 
Kama hutojali ,nisaidie hii,
1.Barcrays a/c ya kawaida(saving) inagharimu kiasi gan
2.It takes how many days to be activated(start to be used for purchase ONLINE).

Thanks in ADVANCE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom