Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kama hutojali ,nisaidie hii,
1.Barcrays a/c ya kawaida(saving) inagharimu kiasi gan
2.It takes how many days to be activated(start to be used for purchase ONLINE).

Thanks in ADVANCE

minimum deposit 20,000/=
inakuwa activated siku hiyohiyo na unapewa na VISA card yako apoapo
 
Kaka habari ningependa kukusaidia, mimi natumia benki ya Barclays bank Tanzania, nilifungua saving account ya kawaida wakinipa VISA ATM Card ambayo niliitumia kudeposit hela kwa broker wangu na kuwithdraw profit zikawa credited moja kwa moja kwenye bank account yangu. Broker ninayemtumia ni FX Pro Finacial Service Ltd iliyopo wiingereza na sababu ya kuwachagua nikwamba huwa wana sponsor sports events mbalimbali na wanadhamini team ya ligi kuu ya wiingereza itwayo Watford Fc na pia huwa wapo recomended na traders mbalimbali kwenye channel ya Bloomberg so far naona hawana shida na wana asset classes mbalimbali sio currencies tu.
thanks,vip exchange rate zao, mana najua utakua unatumiwa dola na umefungua account ya shilingi inakuaje au broker wako anachange kabisa anakutumia in TSH, pili ningependa kujua ilikuchukua wewe muda gani kuwidraw fund baada ya kuwa credited na broker wako .Aksante kwa maelezo mazur
 
GBPUSD Analysis.

Hii chati nimeichukua katika time frame ya siku (Daily timeframe) Kuna trendlines nimezinotice na nimeziainisha katika picha niliyoambatanisha chini. Ni analysis inayotupa picha ya wiki ijayo

GBPUSD.PNG

Kuna hizo red lines ambazo zinaonesha support levels za hii pair. Na kwa bahati nzuri zote mbili zinaqualify sifa ya kutengeneza double bottom. Support level ya pili (hiyo red line fupi) imekuwa katika hii pair, Kwani wiki iliyopita ilifungwa kwa hii pair kuigusa hii line kwa mara ya tatu kitu kinachopelekea hii level kuzidi kuwa strong support level.

Pia tukirudi katika hizo blue line mbili, Zinatuonesha kuwa hiyo pair ilikuwa katika uptrend, na more interesting ni kuwa baada ya muda hizo line mbili za bluu zimefanikiwa kutengeneza pattern ya rising wedge. Na kwa mujibu wa principles za rising wedge patterns, hiyo down trend ilitarajiwa (mshale mwekundu), Na tayari inaonesha down trend inaelekea ukinngoni kama si ukingoni kabisa kwani tukiangalia hiyo downfall ni sawa kabisa na base height ya rising wedge.

Lakini interesting zaidi, ni kuwa hiyo down trend imeenda mpaka katika support ya pili na biashara kufungiwa hapo kwa siku ya ijumaa. Na kukamilisha double bottom pattern, ambapo kwa kanunu pindi inavyotokea hivi basi traders wanaangalia possible buy entry points.

Ukiangalia chini kuna stochastic indicator nimeiweka, level ya price ipo chini ya 20% kitu ambacho kinaashiria ipo katika oversold region, hivyo watu waangalie possible buy entries.

Kwa kuangalia vigezo hivyo, fellow traders muwe tayari kuona uptrend ya hii pair na muangalie possoble entry points za kununua hii pair.
 
View attachment 570832

Good analysis mkuu.
 
nimechelewa kuiona hii thread hadi najitukana
pia nimeshindwa kusoma pages zote 800 nikihisi nyingi ni za member wengine sasa kama nipo wrong nisahihisheni nirudi nyuma nataka Nijue muda wa training ulishatolewa?
for sure am dammnn in mkuu ONTARIO kama kuna group la whatsapp naombeni link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

673861c710a45625a84a34a285d650f3.jpg

Wakuu bila shaka mambo yameiva tayari.samahanini lakini kwa taarifa hii isiyo rasmi maana me siyo msemaji[emoji23]
 
GBPAUD Analysis (My view)

Recently hii pair imekuwa ikitrend kwenda chini (Sellers na buyers wamekuwa wakishindana nguvu lakini ni selers wanaoonekana kushinda hii vita kwa muda sasa), Kwani kama picha inavhoonyesha kumekuwa na downward channel. Nimeambatanisha picha kubwa ya biashara inavyofanyika kwa hii pair kwa siku za karibuni. Hizo blue lines ndo channel yenyewe ninayoizungumzia. Na hii trend imekuwepo toka mwezi wa tatu mpaka sasa.

GBPAUD1.PNG

Lakini Pia ni lazima tuangalie biashara kwa siku iliyopita ilikuwaje (namaanisha siku ya ijumaa kufunga soko) , Hivyo kwa kutumia top down analysis approach nikashuka mpaka kwenye time frame ya H4 na kuzoom. Hapo nikaona kitu ambacho nataka tufocuss vizuri. Nacho si kingine bali ni hiyo duuble bottom ambayo nimeichorea mini support level yake kwa rangi nyekundu kama inavyoonekana hapo chini.

GBPAUD2.PNG

Kwa kuangalia hiyo shape iliyokuwa marked kwa wekundu katika H4 chart, Ni dhahiri tunachokiona hapo ni double bottom. Na kutokea katika second touch ya double bottom ni dhahiri tulitegemea bullish movement na ni kweli imetokea, na nategemea inaweza panda mpaka kwenye mini down trend (Hiyo slanting trend line nyekundu) kabla ya price kuwa bearish na kuresume its major trend channel (blue line) ambayo imekuwa ikiifuata toka march.

Hivyo patience inahitajika na inaonekana italipa kwa hii setup, so unaweza kuingia katika biashara kwa kuset sell stop chini kidogo ya double bottom support level. Na take profit yetu tuitegee around major support level iliyo chini kabisa ( Nimeichora kwa pink line). Kwani hii ni major support level sababu price haijavuka chini ya hapo kwa muda sasa. Hivyo tunategemea hiyo channel itaenda mpaka hapo katika major support level.
 
Ya mwisho kwa leo,

NZDUSD Analysis

Hii nimetumia top down analysis. Here is it.

1. Daily chart.

NZDUSD.PNG

Katika daily chart nimeonadouble bottom, Na si tuu double bottom ya hivihivi, bali ni warmie iliyokamilika kabisa kwani baada ya second touch kuna strong bull candle, hivyo traders wanapaswa kuangalia buying opportunities.

H4 Chart

Baada ya hapo katika same chart nikashuka chini katika H4 timeframe ili kupata clear picture. Hapa nikakutana na hiki kitu kinachoonekana katika chart.

NZDUSD2.PNG

Hapo katika hiyo chart nimekutana na double top pattern (angalia kulia kabisa utaiona), Ni kweli imebehave kama double top, kwani baada ya second touch, iliprint bearish candle ambayo. Nikataka kujua zaidi nature ya trade, nikaingiza fibonacci tool, lines zake zipo noted na lines za bluu (itaonekana vyema katika picha ya chini ambayo ni H1). Ila kutokana na fibonacci hii double top inaonekana ilianza kuretrace katika 50% level, ikapanda mpaka 0 level, ikaja tena kugusa katika 23.6% na i hope itabounce pia na kuendelea na safari yake ya kwenda juu.

H1 chart

NZDUSDfibonacchi.PNG

Hapa fibonacci levels ndo zinaonekana vyema.

so kulingana na hizo clues, Traders waingie katika biashara wakiangalia buying opportunities huku stop loss wakiweka katika 61.3% fibonacci level. Kwani katika picha ya pili tumeona warmie ambayo ni strong indicator ya price reversal. Na hii pair it seems ni ranging trade na huu ni mwanzo wake.

NB:
kwa analysis niliyoleta mwanzo ya GBPUSD, ilionesha buying indications, Na hata hii ya NZDUSD inaonesha pia buying indications Kitu ambacho kinatupa confidence kwa kiwango kikubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom