Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Sure, Kwa analysis yangu kama nitaingia long katika hyo trade, take profit nitaiweka katika turning point ya hiyo warmie ambapo nimelabel namba 1, na stop loss nitaweka chini kidogo ya lower low yaa hiyo warmie ambayo nielebel level kama namba 2. Though mtu unaweza kuwa in close watch ukawa unasogeza stop loss na take profit upwards, ila hii inabidi maccho yako muda wote yawe katika chart. But ili mtu usiiingie katika trade kama last condition ya warmie haitakuwa fullfiled as i said earlier.
View attachment 570148
Kwanza nimejaribu kuangalia graph ya EURZAR naona kama zinatofautiana sana na hii yako!!
Pili I can say this is not a wammie set-up simply because hamna indication ambayo itakwambia now you can buy!! Look at the last candlestick, is a bullish candlestick? no it is not!!
Hapo sijaongelea kuhusu support level....
Nikiangalia kwa haraka hapo naona kuna strong bearish movement na hapo ni kama ime-pause, so at any time t, inaweza endelea kwenda south tena kwa speed kubwa tu, na kama uaingia kwa ku-buy sizani kama itakua good decision!!
My take: wait for futher cue, may be it might be treanding kangaroo tail, or something else!!
Look at this....
Huu ndio muonekano wa EURZAR katika H1 timeline...
Hizo R3 na S3 ni strong resistance and support line respectively!
Nadhani ukiangalia hapo utaona S3 imeguswa na tail ya candle stick alafu mbele yake ika tokea strong bullish candlestick. Ukiangalia candlesticks za mwisho ni kama inaonyesha bearish movement ime-pause na kuna uwezekano ikaendelea kushuka kuelekea south kwenye S3!!
Pia nikiangalia kwenye Daily chart na H4 chart zote zinaonyesha hii pair still ni bearish na bado ina move kuelekea south!!
Tungoje tuone kwa uhakika zaidi mkuu!!