Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Jana na Leo asbh(demo acc) margin USD 300.
Kwa kutumia support and resistance
 

Attachments

  • Screenshot_20170824-231043.png
    35.8 KB · Views: 60
  • Screenshot_20170825-054116.png
    35.6 KB · Views: 59
Nice mkuu! Ila ivi kwa nini mafunguaga lot nyinginyingi kwa wakat mmoja.... Kwa nn usifungue lot moja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kufungua position nyingi?kama in lot nimetumia 0.03 na 0.05 unamaanisha hizi ndio nyingi nyingi? Ukisoma na kufanya mazoezi ktk demo, maswali mengi utajijibu.kwa kusoma nimeweza kuzitambua zones nikitazama graph,kutumia orders(sell stop,buy stop,sell limit,buy limit,sl na to). Bado naendelea kusoma na prctice
 
Umeongea vzur sana.... Lakn kama wewe ni muslim na dini yakukataza, acha wapagani tuifanye... Hakuna namna...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu ONTARIO naomba kufahamu unatumia broker gani,

pia kwa yeyote anayeweza kushauri broker mzuri asiye na matatizo ,please help me
 
wakuu hivi huyu JP markets broker ni true ECN?nimejaribu kutafuta kama ni ECN ila mafanikio.mwenye ufahamu tafadhali
 
Baada ya kupata tangazo hili la 2nd Sept. Nimevuta pumzi kwa taratibu nikaingia ndani ya nafsi yangu kwa vutulivu. Nikatafakari namna ya kutengeneza furaha katika forex.

Nikaona haitakuwa rahisi. Maana class hili si lelemama, ni lazma tukubali kulipa gharama. Gharama za kujitoa kwetu ambazo ni muda utaotumia kuwekeza katika TFTI.

Wengi tuna hamu ya kuanza class tena kuwa wa kwanza. Je tuna hamu Kiasi gani kuona tunafanya vizuri katika shule hii?

Haitakuwa na maana kufurahia kuanza tu. Mwisho wa siku tukaabika mbele ya ONTARIO baada ya wiki ukasikia watu wana DOJI class Mambo magumu, mara tunachelewa kufika, mara hatuonekani, nk

Nini namaanisha? Tunaelekea vitani lazma tukapambane kweli kweli. Ili akina Ontario wengine wengi wengi wazaliwe.

Twendeni kwa moyo wa ushindi. Wapo watakao jua haraka wasiwasahau wenzao. Grp discussion nazo zitasaidia.

Nina imani kubwa tutafika.

Mungu ibariki Tanzania Forex Training Institution (TFTI)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu hivi huyu JP markets broker ni true ECN?nimejaribu kutafuta kama ni ECN ila mafanikio.mwenye ufahamu tafadhali


Mkuu kama sijakosea kuna wakati Ontario alisema anawatumia Jpmarkets...hata mm nawatumia kwenye demo na nilishawasiliana nao na Live account ipo tayari...sema nilishajiapiza kuwa sitaenda live mpaka niwe nimepata training...iwe ya bure au kulipia..

Ila kila kitu kipo kwa website yao...yaani wameelezea kila kitu ni wewe kusoma tu na kufanya maamuzi..

Pamoja Mkuu
 

shukran sana mkuu.
nilikuwa na tatizo nao kwenye kutengeneza live account sababu nchi niliyopo haipo kwenye system yao ya nchi za kuchagua wakati wa kuregister.Bahati nzur nimewasiliana nao na wamerequest document zangu waone kama watanisaidia.nawasubir nione wanasemaje baada ya kupitia documents
 
Where is my personal mentor? Mwl RCT?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hata mimi ni mwalimu wangu wa mda mrefu sana hasa kwenye jukwaa la Tech,Gadgets&science kwanza hana uchoyo kabisa,yupo fasta kwenye response na pili yupo deep kweli kweli sio mbabaishaji mpaka wakati fulani nikahisi ni staff wa JF(sina uhakika kama sio staff wa JF)
 
Nimemaanisha kwa mfano hapo gbpjpy kwanini umefungua position za 0.05 mbili kwa nini usingefungua ya 0.1 moja tu na naona umezifungulia almost at the same price , ingekua price inaumbali kidogo ningejua labda kuna confirmation nyingine kwa hiyo ukaamua kuscale in... Lakini apo naona ni almost at the same price... Na wengine unakuta kafungua hata position tano za design Kama iyoiyo at the same price or almost at the same price...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I saw a triangle pattern forming on USDJPY 15min and decided to play a little bit. Went perfectly as planned...it even respected my theoretical path....LOL
 

Attachments

  • 20170825_182254.jpg
    337.5 KB · Views: 67
  • 20170825_121308.jpg
    206.2 KB · Views: 64
  • 20170825_143012.jpg
    527.7 KB · Views: 59
  • Screenshot_20170825-190119.png
    494.6 KB · Views: 58
I saw a triangle pattern forming on USDJPY 15min and decided to play a little bit. Went perfectly as planned...it even respected my theoretical path....LOL
Perfect analysis ila hyo sababu kubwa ni bi Yellen speech.Hiyo program/software unatumia kufanya analysis na kutrade inaitwaje?nimeipenda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…