Rob Art
Senior Member
- Jul 7, 2016
- 140
- 166
Hahaaa mkuu unanikumbusha enzi hizo tukifungwa mechi tunajipa moyo jamaa pinzani wamesaidiwa na upepo. Siku-trade news at all. Ukiangalia vizuri USDJPY kabla ya fundamental ilikua inaenda bearish either way.Perfect analysis ila hyo sababu kubwa ni bi Yellen speech.Hiyo program/software unatumia kufanya analysis na kutrade inaitwaje?nimeipenda.
Natumia tradingview kufanya analysis.
Sent using Jamii Forums mobile app