Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
I do like to do this, but I find it hard to analyse charts.... I can't believe you people are already doing it....

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kitabu kinaitwa naked forex,hutajutia and don't try to master all trading systems,u must find one that suits u,practice it and u'll be okay,u can't understand kila kitu.

Kama umeangalia pambano la mayweather na connor,mayweather is the best at what he does and at his age because he has a system,a strategy that he has been practising throughout his career and he has perfected it,rounds za mwanzo anakudanganya unamshinda ili utumie nguvu nyingi kumpiga,uliona connor 8th round tu yuko hoi,akapigwa kilaini,the same applies to forex,develop ur system,perfect it,that's what i do with little success here and there,but give me one year am gon b a pro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Nakusisitiza usiruke kukimbilia mbele au kumaliza kitabu. Soma kwa makini hatua kwa hatua usiruke ruke, hutaambulia kitu ukifanya hivyo.

Ukizingatia hayo, with time utashangaa unaanza kuona mwanga na kuelewa kinachoendelea

Pamoja mkuu.

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app

Uliyofanya, ndiyo ninayofanya, bahati mbaya nina mke and she doesnt understand what im doing japo hunipa time nisome, bado nasoma basics, and now niko kipengele flani cha fibonacci series.... Cjajua kama ntakiapply vp lakn najua ntakielewa tu

Soma kitabu kinaitwa naked forex,hutajutia and don't try to master all trading systems,u must find one that suits u,practice it and u'll be okay,u can't understand kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliyofanya, ndiyo ninayofanya, bahati mbaya nina mke and she doesnt understand what im doing japo hunipa time nisome, bado nasoma basics, and now niko kipengele flani cha fibonacci series.... Cjajua kama ntakiapply vp lakn najua ntakielewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
779cd53d2f8877132895ba1a46d396cf.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseh Naona Kenya imeshika kasi wameshafungua hadi page na training zinaendelea tu , Mm nakomaa hivyo hivyo , Nafata Msemo wa JK ukitaka kula lazima uliwe nawasoma hawa jamaa wa Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla wiki haijaanza watu tushaanza kujiweka vizuri. Jumapili jioni unaangalia TV huku hela yako inakutengenezea hela

Hili linaashiria wiki nzuri.

US $500 new profit on long EUR/USD options on NADEX in just under an hour.

Could have easily been $1,000, but as always, I like to be understated in my expectations in order to manage risk better.

EUR/USD inaendelea kutoa (currently adjusting downwards though). Just read the analysis and know your levels, (resistance/ support), money management, risk management etc.
 
wakuu kwa mtu aliepo mwanza au musoma nahitaji msaada wa hii kitu nimesoma vitabu vizuri na ninajua abc za forex lakini nashindwa kuitumia demo account kufanya trading yaani jinsi ya ku buy and sell, na jinsi ya kuweka stop loss, leverage nk japo hivi vitu nimevisoma theotetically so naombeni msaada wakuu hasa kama kuna mtu anakaa musoma!

A-watan utatuuwa na presha mkuu hope tutafika lakini
 
wakuu kwa mtu aliepo mwanza au musoma nahitaji msaada wa hii kitu nimesoma vitabu vizuri na ninajua abc za forex lakini nashindwa kuitumia demo account kufanya trading yaani jinsi ya ku buy and sell, na jinsi ya kuweka stop loss, leverage nk japo hivi vitu nimevisoma theotetically so naombeni msaada wakuu hasa kama kuna mtu anakaa musoma!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nakushauri download MT4 user guide itakusaidia sana...
 
Kabla wiki haijaanza watu tushaanza kujiweka vizuri. Jumapili jioni unaangalia TV huku hela yako inakutengenezea hela

Hili linaashiria wiki nzuri.

US $500 new profit on long EUR/USD options on NADEX in just under an hour.

Could have easily been $1,000, but as always, I like to be understated in my expectations in order to manage risk better.

EUR/USD inaendelea kutoa (currently adjusting downwards though). Just read the analysis and know your levels, (resistance/ support), money management, risk management etc.
Unatutisha boss

Xmass Boy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom