Labda ungeuliza Jumapili jioni ya wapi ndugu yangu kabla ya kuanza kunituhumu kwa maneno ya kejeli.
Mimi naheshimiana na watu sana hapa, na sina sababu ya kuleta utapeli kwa sababu hakuna nitakachopata na zaidi roho yangu itanisuta.
Sijataka kumuuzia mtu kitu.Sijataka kumfundisha mtu kitu.
Natoamfano tu watu wajue kwamba kuna watu wanapata katika biashara hii wasife moyo kwamba hakuna anayepata.
Mambo ambayo wewe unaona yanahitajiutapeli ilikuwapo, mimi nayafanya kirahisi katika maisha yangu halisi.
Ni hivi, mimi niko North America. Saa kumi na mbili jioni East Coast US tayari ni asubuhi ya New Zealand.
Kwa hivyo, masoko ya New Zealand yakianza kufunguliwa asubuhi ya kwao New Zealand, kwetu US East Coast ni saa 12 jioni tunaangalia TV na kusubiri dinner.
Siku nyingine kabla ya kumu accuse mtu ambaye humjui uongo - neno kubwa sana hilo-, angalau uliza.
Na ukiwa wewe unakaakijiji cha Mtakuja,usifikiri kwamba dunia nzima tunaokutana hapa tunatoka kijiji chako kwamba Jumapili jioni yako ni Jumapili jioni ya kila mtu.
Ushaelewa?
Holidays & Hours
Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.
Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each
market.