Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
So kila Siku jpili,Ila hizi sijafunga mpaka zitapokuwa blue
 

Attachments

  • Screenshot_20170827-004800.png
    Screenshot_20170827-004800.png
    31.7 KB · Views: 65
Ni real mkuu, kwenye demo nilipiga mara kumi ya hivyo, nilikuwa natest zali demo kidogo kabla ya kuingia real. Ndiyo maana nikasema ningekuwa nataka kuchukua risk kubwa hata $15,000 ningetengeneza, ila Euro ilipanda sana ghafla, na mara nyingine ikipanda sana ghafla inaweza kushuka sana ghafla ikiwa inatafuta a fair middle, so nikawa skeptical.

Nafikiri wiki ijayo EUR/USD inaweza kuendeleza rally. Tutaendeleza.

vizuri sana
 
So kila Siku jpili,Ila hizi sijafunga mpaka zitapokuwa blue
Ijumaa EUR/USD imetoa sana. USD inapungua thamani kwa sasa.Ni bora kusoma support/ resistance levels, technical analysis na kwenda na economic calendar.Ukisema usifunge tu unaweza kuangalia portfolio yote inarudi mpaka 0.00.

Don't fight the trend. The trend is your friend to the end.

Soma hapa kwa habari zaidi kuhusu USD

U.S. Dollar: Going Nowhere Fast
 
Mkuu usijali tuko hapa moja kuelimishana sote.

Jitahidi kusoma vitabu recommended, ukikwama sehemu, labda hujaelewa vzr, usione tashwishwi kuuliza

Na wadau hapa watatililika. Tukishindwa baadhi ya mambo Gurus will help us out

Sent using Jamii Forums mobile app
I do like to do this, but I find it hard to analyse charts.... I can't believe you people are already doing it....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I do like to do this, but I find it hard to analyse charts.... I can't believe you people are already doing it....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajaribu Ku apply kile tulicho soma ingawa pamaweza kuwa na makosa madogo madogo kadhaa ni sehemu ya kujifunza.
Mm nimeuona huu Uzi almost 15 minutes baada ya kuwa published. I was so motivated kuanzia tarehe hiyo 26 May 2017, miezi mitatu sasa imepita.

Mwanzoni nami nilikuwa naona Cheche, nilikuwa sielewi vzr vitu hivi. Nilisoma kwa bidii sana kuhakikisha hii kitu ninaielewa. Yaani zaidi ya 50% ya muda wangu wa kila siku niliutumia kwenye forex. Masaa yangu ya kulala yalibadilika. Nilikuwa nalala mara nyingi saa 8 usiku kwa sbb ya msuli wa hii kitu. Mchana natafuta muda nikiwa kazini nakula msuli (kwa kweli hata muda wa muajili nimeuiba sana kwa ajili ya forex). My mind was completely swallowed by forex.

Hivyo it is not easy. It takes time with a lot of efforts and determination you put in it.

Nami hata sasa kuna mengi sijajua kuhusu forex. Natamani nipate nafasi ya Ku attend seminar ya ONTARIO. I am not that confident mpaka tu nitakapo attend hiyo training.

So don't loose hope, kazana kusoma na usirukie kwenye kufanya analysis kabla ya kujua basics za forex. Nakushauri soma kitabu cha my forex bible, kisha nenda kwa astroforex. At least hivi vinaanza kukuelekeza kama mtoto anayefundishwa kuanza kukaa.

Nakusisitiza usiruke kukimbilia mbele au kumaliza kitabu. Soma kwa makini hatua kwa hatua usiruke ruke, hutaambulia kitu ukifanya hivyo.

Ukizingatia hayo, with time utashangaa unaanza kuona mwanga na kuelewa kinachoendelea

Pamoja mkuu.

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Why the majority Fx traders lose consistently?
  • Why the minority Fx traders(experts) win consistently?
  • Do you blame the trading system for your losses?
  • What is the cycle of doom?
  • How do you break the cycle of doom?
"They who wish to sing always find a song"
 
  • Why the majority Fx traders lose consistently?
  • Why the minority Fx traders(experts) win consistently?
  • Do you blame the trading system for your losses?
  • What is the cycle of doom?
  • How do you break the cycle of doom?
"They who wish to sing always find a song"

Excelent recap,

Only one answer I know, Money mgt and Risky management
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom