John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 177
Ni timing tu. Ukifanya homework yako ukajua nini kinapanda na nini kinashuka na probability ya kipi kuwa juu ya bei gani kwa nuda gani, unaweza kuingia safely na $1,600 at $66 ukatoka na $2,400.
Thats a quick $800 risking $1,600 in a rising position.
Now, I must admit, I have had to reverse positions/ employ stop loss measures a few times, but after a few times one develops a sense of when to get in and out.
Hii kitu ikikubali raha sana. Unaona portfolio inapanda consistently.
Tatizo ukianza kunyolewa sasa.
Sent from my Kimulimuli
hakika vinavutiaJanet Yellen and the Jackson Hole bunch delivered.
A $3,800 profit today on long EUR/USD options. That's only because I was being overly cautious to protect my money, could have jacked it up to $10,000 - 15,000 profit. But you know how it goes, bigger rewards come with bigger risks.
There was a point when the EUR shot up so high so suddenly it felt like a rocket reaching for the moon.
Closing the week on a high note.
Jumapili Jion???Nawahamasisha wakuu.
Ujue kila mtu akiwa anaongelea biashara ya Forex bila hata mtu mmoja kuonyesha mafanikio yake hapa, itaonekana kama hadithi za ajabu.
Umeona zaidi ya faida ya $500 ya Jumapili jioni nimeongeza $1030 faida mpya Jumatatu asubuhi saa mbili kamili za huku?
Sasa hivi wiki hii kuanzia Jumapili mpaka Jumatatu asubuhi nishapiga faida ya $1530.
Na hapo bado Jumatatu ina masaa kibao ya kuongeza faida zaidi kama nataka kuendeleza libeneke.
Sikutishi mkuu.
Nakupa changamoto.
Sent from my Kimulimuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli vinavutia ila be careful, narudia tena BE CAREFUL, utavutwa na wewehakika vinavutia
Jumapili Jion???
Kuna harufu ya utapeli hapa... i smell tapeli here... someone PM huko... please kua mwangalifu
We all know weekend hii biashara yetu penda inakua imefungwa, na mda wa kufunguliwa wote twaujua...
Mzee pita kushoto
Nimechukua Jumapili jion kama mfanoLabda ungeuliza Jumapili jioni ya wapi ndugu yangu kabla ya kuanza kunituhumu kwa maneno ya kejeli.
Mimi naheshimiana na watu sana hapa, na sina sababu ya kuleta utapeli kwa sababu hakuna nitakachopata na zaidi roho yangu itanisuta.
Sijataka kumuuzia mtu kitu.Sijataka kumfundisha mtu kitu.
Natoamfano tu watu wajue kwamba kuna watu wanapata katika biashara hii wasife moyo kwamba hakuna anayepata.
Mambo ambayo wewe unaona yanahitajiutapeli ilikuwapo, mimi nayafanya kirahisi katika maisha yangu halisi.
Ni hivi, mimi niko North America. Saa kumi na mbili jioni East Coast US tayari ni asubuhi ya New Zealand.
Kwa hivyo, masoko ya New Zealand yakianza kufunguliwa asubuhi ya kwao New Zealand, kwetu US East Coast ni saa 12 jioni tunaangalia TV na kusubiri dinner.
Siku nyingine kabla ya kumu accuse mtu ambaye humjui uongo - neno kubwa sana hilo-, angalau uliza.
Na ukiwa wewe unakaakijiji cha Mtakuja,usifikiri kwamba dunia nzima tunaokutana hapa tunatoka kijiji chako kwamba Jumapili jioni yako ni Jumapili jioni ya kila mtu.
Ushaelewa?
Holidays & Hours
Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.
Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each market.
Huwa nachukua profit na kuzitoa kabisa kwenye portfolio some time, ku hedge against the temptation to bet it all and lose big.Hamasa nzuri hizi twashukuru.hizi umetengeneza kwa mtaji wa kiasi gani?your trading account
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumapili mfano wa nini? Umekubali kwamba hilo la Jumapili umefulia?Nimechukua Jumapili jion kama mfano
ila hata jumamos umeaziandika humo humo, jumapili humo humo.. Yaan Direct kutoka ijumaa hadi jumatatu, na pili, katika kusoma soma sijaona soko linalo funguliwa saa 12 jion au asubuhi (hili niliache hvyo hvyo manake bado naendelea kusoma)
Kuna maneno ume copy and paste direct from Astr"", hujabadili hata herufi moja
Watu wanatafuta pesa kwa tabu sana,, rudi kwenye magari yako uendelee kutapeli kule..
Gar ya mil 5 s ulikua unauza mil 10??? rudi kule... atleast hao wana pesa..
Porojo za nn kiongozi... anyway... Labda nikujibu kwa mtindo huuJumapili mfano wa nini? Umekubali kwamba hilo la Jumapili umefulia?
Jumamosi nilipoziandika wapi? Unaweza kunipaa verbatim quote hapa?
Do you even know what that is?
Katika kusoma hujaona soko linalofunguliwa Jumapili saa 12 jioni, saa 12 jioni ya wapi?
Umesomahiyo link ya NADEX? Unajua kusoma Kiingereza?
Hivi unaelewa concept ya time zones wewe?
Unaelewa kwamba Jumapili saa 12 jioni ya East Coast US tayari ni Jumatatu asubuhi New Zealand na watu wa East Coast US wanaweza kuanza ku trade saa 12 yao ya jioni kwenye mtandao kwa sababu tayari ni asubuhi New Zealand?
Unaelewa kwamba dunia yote haiendi kwa saa moja?
Hayo maneno niliyo copy paste from Ast yako wapi? yaweke hapa tuyaone na tupelink ya Astr tuone unachosema kama nikweli.
Ukishindwa kufanya hivyo niombe radhi, ama sivyoumeniruhusu kukuita mzushi popote nitakapokuona hapa.
Kwenye magari wapi? Sijawahikuuza gari maishani mwangu.
Unanichanganya na nai?
Au una chuki na watu wanaotengeneza hela ambazo wewe unaziona kama ndoto tu?
Hahaaa,Porojo za nn kiongozi... anyway... Labda nikujibu kwa mtindo huu
Tanzania na Newzland tumepishana kati ya masaa tisa au kumi hvi
Ni kwann sasa, siku ya jumapili soko huku kwetu lisiwe open muda ambao Newzland kwao tayari n open(Naongelea Online hapo)
Ama Australia.. kule n jumanne mchana saaa hv,, n Kwann basi, soko lao linapofunguliwa hiyo usiku huku kwetu bado linakua ziii (Naongelea Online hapo)
Nikwann huko unakodai upo saiv time zote yenu iingiliane na time zote ya sehemu nyingine ????
NB. Huko kwenu mmepishana masaa 12
Nimekuuliza swali dogo kiongozi.. ambalo jibu lako lingeondoa doubt niliyo nayoHahaaa,
Wewe kabla ya kujiingiza katika Forex soma jiografia kwanza ujue time zones zimeendaje.
Unaniuliza kwanini Jumapili jioni Tanzania soko lisiwe open kwa kuangalia New Zealand, unajua Jumapili jioni ya Tanzaniani ni saa ngapi New Zealand na ni saa ngapi US East Coast?
Hii ramani inayoonyesha time zones unaielewa?
Nimekuuliza swali dogo kiongozi.. ambalo jibu lako lingeondoa doubt niliyo nayo
Kwa maelezo mwenyewe umesema mnatofautiana msaa 12, asubuh yao n jion kwenu, sie twatofautiana masaa 8..
ni Kwann wewe uweze litumia saa 12 mtu wa Tanzania ashindwe litumia saa mbili???
N kwanni la Australia lipofunguliwa, hiyo night.. mtu wa Tanzania bado linakua limefungwa??? Kama Time zone zingeweza ingiliana namna hiyo.. that mean pale Australia likifunguliwa, jumapili asubuhi huku kwetu mtu angeamkia kwenye laptop ama simu yake akaendelea na trade zake.. ama kwa lugha nyepes, isingekua biashara ya siku 5 tena kwa wiki, kuna maeneo ingekua siku sita... sijui unapata wasiwasi wangu ulipo lakn
Swali ndio likaja
Huku kwenu inawezekana vipi hili?? hapo tu ndio nataka ufafanuz, baada ya hapo, Nitatengua kaul yangu ya awali kwamba i smell tapel
ukurasa upi mkuu?Pitia vizuri huo ukurasa wa facebook wa Wakenya, kuna demo za kutosha Mkuu. Usinisahau kwenye Ufalme wa Ukwasi wako!!
Boss hiyo ni real account ama demo tujue kabisa, maana trading demo na real account ni experiance mbili tofauti kabisaThe USD is going down. This Hurricane Harvey sealed that at least for the short term.
Why are you shorting EUR/USD?
I made $500 yesterday going long on EUR/USD
I made $1030 today morning going long on GBP/USD and AUD/USD.
That means all these currencies are rising against the USD.
I was reading that even the JPY is rising against USD
Are you reading the analysis even in summary?
Check the advisories at www.investing.com before shorting.
Sent from my Kimulimuli
Nimeshaulizwa swali hili awali na nimelijibu, na nalijibu tena.Boss hiyo ni real account ama demo tujue kabisa, maana trading demo na real account ni experiance mbili tofauti kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Binary option hiyo ama?Nimeshaulizwa swalihili awalai na nimelijibu, na nalijibu tena.
Hiyo ni realaccount, habari yoyote nitakayoiweka hapani ya real account.
Sitakaa kuzungumzia habari ya demo hapa.
Kama habari ya realaccount tu watu wanataka kupasukaroho kwa chuki za ajabu na kijinga, nikiweka demo account ambayohuwa nafikisha mpaka $100,000 na zaidi, naweza kuwapa ugonjwa wa moyo wakafarikibure.
Real account boss, faida ya about US $ 10,300 in about 3 weeks.Nimeitoa $2,000 nikaenda nayo, kuna sehemu nilipoteza kidogo nikaangalia kubadili gia angani,weekend hii imenipaisha sana Ijumaa nimepiga $3,800, Jumapili jioni nimepiga $500 na leo Jumatatu asubuhi nimepiga $1030.
Hizi figures ni kwa sababu nimetakakuwa "risk averse", lakini kama Ijumaa nilikulaEUR/USD, kama ningekuwa mroho siogopi risk ningeweza kupiga profit hata ya $15,000. Nilikuwa na hela ya ku call those long positions, lakini ukifanya hivyo halafu position ika backfire una lose big time pia. Nikaamua kuwa conservative kidogo.
One thing to note, this is not straight up Forex trading, this is options trading using Forex. There is a difference.
I am using NADEX, you can create a demo account and see how it works if you want.
Yeah, thats it.