Moja kati ya vitu Al_watan umekosea, ni kumtusi mwenzako kabla hujamfunza kuhusu time zones.
Ni jambo la msingi kutambua kuwa co wote humu walisoma, au wanafahamu jiografia vizuri. Nadhani ulipaswa kumuelekeza kwa staha na heshima, ili hata wengine wasiofahamu wajifunze kupitia kwenu..
Danpol tatizo lako ni kama langu, kudhan yeyote anayepiga hela ananidanganya, lakn hukuuliza kistaarabu ili kupata ufafanuzi, ni kweli, ishu ya tofauti ya masaa ni ngumu kuielewa, lakn ninaamin taratibu tutafika... Ningeshauri, uulize maswali kistaarabu ili kupata majibu yanayojitosheleza..
Maoni yangu ni mali yangu, lakn naamini kuwa kuna watu wazma wanafuatilia uzi huu, ambao hawapend lugha za matusi na kejeli, sbb wamesubscribe hapa kujifunza forex, co matusi...
Kama nko sahh, 12jion ni ucku mnene kwa tz (kama 8 ucku, ambayo ni j3, nahc) so danpol, waeza jarb kuamka muda huo, ukiwa na app ya NADEX na kujarb kutrade uone...
Zaidi sana, naombeni tuwe wastaarabu...
Samahanini kwa kuingilia ugomvi wenu...
Sent using
Jamii Forums mobile app