Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naomba akapimwe mkojo
Forex sunday???
Sawa mi kilaza ila kwa hapo [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwamba Sunday ya kwenu ni Monday ya sehemu nyingine dunia hii hii moja?

Na Monday ya kwenu kwa watu wengine ni Sunday? Wakati huohuo mmoja. Unaelewa hilo?

Na kwenye mtandao hatuna mipaka?

Umesoma na kuelewa post [HASHTAG]#7473[/HASHTAG] ?

Kwa taarifa yako sehemu nyingine Sunday watu wanapiga mambo vizuri sana tu, labda kama wewe hujafahamu.
 
Awaiting NZDJPY to go south
 

Attachments

  • NZDJPY.PNG
    53.4 KB · Views: 44

Kaka naona una darasa la Jiografia 🙂. Let them breathe and figure out by themselves
 
Kaka naona una darasa la Jiografia 🙂. Let them breathe and figure out by themselves
Nimerudi kuangalia katika mitego yangu nitegeshe wapi saa hizi.

$1030 faida kwa siku hazijanitosha bado nataka kurudi live niangalie pair ipi inatoa.

Hawa watoto walio na utapiamlo wa elimu wasiojua tofauti ya "time zone" na "time travel" ni makosa ya wazazi wao na serikali zao kukosa elimu, kwa hiyo siwezi kujivika kazi ya ualimu wakati kuna maelfu ya USD yananingoja kuzipiga hapa.
 
mkuu tunaomba ka'screenshot kama hutojali
 
mkuu tunaomba ka'screenshot kama hutojali
Nilitegemea mtu anayebisha kwa tija kukataa matapeli aniulize swali kama lako.

Lakini hajauliza, kaishia uzushi tu.

Mimi walii, ukiniomba kitu nina uwezo nacho, kitu hakina haramu, kitu cha kukuhamasisha, kwa nini nikunyime?

Hapa ni baada ya kuchukua profit nisije ku bet all on the wrong horse, nimeanza upya about 3 weeks ago na $2,000.

Hii hapa

Bado kuna mtu atataka kubisha kama alivyobisha kwamba huwezikufanya trading Sunday 6 PM US ET.

Halafu katika hesabu niliyopanga hapa naona bado sana natambaa, kama nimeweza kupiga $3,800 Ijumaa tu (by the way previously nishapiga mpaka $5,200 kwa siku moja) na hiyo yote ni kwa sababu ya kuwa conservative sana kutotaka ku risk sana, hii ngoma kuipeleka $100,000 - $200,000 katika miezi kadhaa si ndoto za mbali sana.

 
Watu wanapiga kelele humu wakati hata material ya kutusaidia hawajawahi kutupatia.
Hata signals basi.
 
Wakuu kwa huo mjadala uliopita kuhusu Time Zones nafikiri Lugha ya Kiingereza watu wengi inawapiga chenga.

Ni dhahiri tuna safari ndefu ya kufikia mafanikio, moja ya jambo muhimu hapa si kusoma na kumaliza vitabu bali ni kusoma na kuelewa neno kwa neno katika vitabu vyote tulivyopewa.

Tuzingatie Time Zone na tuzielewe sana kwa mfano Sisi Tanzania na Uingereza tumepishana masaa ma3 kwa maana hiyo kama Uingereza ni saa 1:30 asbh basi Tanzania ni saa 4:30 asbh kuna maeneo mengine tumepishana hadi masaa 11, jamani tujitahidi kuyaelewa masaa haya.

Nakumbuka wakati wa mechi za Kombe la Dunia kule Korea sisi tulikuwa tunaangalia Mpira wakati mwingine saa 2 asbh lakini kwa wenzetu Korea ni jioni ya saa 10. Tusione aibu tujifunze Jiografia vizuri.

Nawasilisha.
 

Kitabu kimeongelea yote hayo.

Wangapi wamesoma na kuzingatia?

Hesabu za time zone katika Forex ni muhimu sana. Ni muhimu sana. Narudia, ni muhimu sana.

Kwa sababu, unaweza kushangaa hela fulani inapanda ghafla tu, au inashuka ghafla tu.

Kumbe muda huo hujajua kuna market fulani imeanza kufanya kazi, wanaojua wametegeshea, wewe hujui time zones umeingia kichwa kichwa portfolio yako inasogea 0.00 by the second.

Kwa sababu kuna habari zimetokea, market fulani ikianza kuingiza volume yake ya trading, currency fulani itaanza kushuka sana au kupanda sana.

Mtu anayetaka kufanya biashara ya Forex wakati hajui time zone ni nini, market gani inaanza wakati gani, na hilo lina maana gani kwa bei za currencies gani,anatafuta kusafishwa portfolio yake awe "donor".
 
mkuu tunaomba ka'screenshot kama hutojali


hahahhaa mimi pia nilikuwa nafikiria kwanini mkuu asilete angalau hizo screen shot za pesa alizopiga ili kumaliza malumbano au clear jina kwakuwa kazushiwa kuwa tapeli.very simple ,shut them mouth kwa kuprove them wrong with evidence
 
hahahhaa mimi pia nilikuwa nafikiria kwanini mkuu asilete angalau hizo screen shot za pesa alizopiga ili kumaliza malumbano au clear jina kwakuwa kazushiwa kuwa tapeli.very simple ,shut them mouth kwa kuprove them wrong with evidence
Then mkuu upige mpunga $2000 uendeleze ligi isiyo na msingi. Mimi sinyweswi chai kitahisi[emoji23]
 
unaelewa hata binary ni nini?

Unajua kusoma?

Unajua time zone nikitu gani?

Umekubalikwamba NADEX wana trade 6 PM Sunday?

Unajua 6 PM Sunday ni muda gan?

Umeshapost nilipo copy Ast hapa?

Moja kati ya vitu Al_watan umekosea, ni kumtusi mwenzako kabla hujamfunza kuhusu time zones.

Ni jambo la msingi kutambua kuwa co wote humu walisoma, au wanafahamu jiografia vizuri. Nadhani ulipaswa kumuelekeza kwa staha na heshima, ili hata wengine wasiofahamu wajifunze kupitia kwenu..

Danpol tatizo lako ni kama langu, kudhan yeyote anayepiga hela ananidanganya, lakn hukuuliza kistaarabu ili kupata ufafanuzi, ni kweli, ishu ya tofauti ya masaa ni ngumu kuielewa, lakn ninaamin taratibu tutafika... Ningeshauri, uulize maswali kistaarabu ili kupata majibu yanayojitosheleza..

Maoni yangu ni mali yangu, lakn naamini kuwa kuna watu wazma wanafuatilia uzi huu, ambao hawapend lugha za matusi na kejeli, sbb wamesubscribe hapa kujifunza forex, co matusi...

Kama nko sahh, 12jion ni ucku mnene kwa tz (kama 8 ucku, ambayo ni j3, nahc) so danpol, waeza jarb kuamka muda huo, ukiwa na app ya NADEX na kujarb kutrade uone...

Zaidi sana, naombeni tuwe wastaarabu...

Samahanini kwa kuingilia ugomvi wenu...
Kwahyo n Binary??? ok, mtanzania bana

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimfunze time zones? Whats next? Nimfunze spelling na kuchamba akimaliza kunya?

Sikiliza wewe.

Kuna wanaotaka kufundishwa na wanaotaka uzushi.

Na usinifanye mimi mjinga sijui tofauti.

Ushanielewa?

Tafadhali sana naomba uniheshimu na usije na judgement zako nimekosea kumsema maaluni huyu mwenye ugonjwa wa akili wa "oppositional defiance disorder".

Mimi naheshimiana na watu sana hapa.

Lakini akija mtu maaluni akitaka kuniletea umaaluni atajua Al-Watan mtoto wa Kariakoo haswaaa.

Nina mizizi tangu misheni kota mpaka Mchikichini.

Akitaka uungwana atakutana nao tele, akitaka matusi na kejeli pia kwelea kwele.

Kwa nini unampa nafasi sawa maaluni huyu ambaye kanizushia uongo halafu kakataa hata kuniomba radhi hapa?

Sent from my Kimulimuli
 
Nlishaomba samahani kwa kuingilia magomvi yenu, kama yapo ya kujifunza kwako, ntauliza, mara ntakapopata shda na vitabu nasoma, lakn labda unsaidie, n kipi ni rahc zaidi kutrade, kati ya forex na binary..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlishaomba samahani kwa kuingilia magomvi yenu, kama yapo ya kujifunza kwako, ntauliza, mara ntakapopata shda na vitabu nasoma, lakn labda unsaidie, n kipi ni rahc zaidi kutrade, kati ya forex na binary..

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe mkuu wangu ni wale watu tunaowaita "a scholar and a gentleman".

Unaweza kuingilia ugomvi wa watu wanachomana visu wakakuchoma wewe kwa sababu huamini katika tabia ya kugombana tu.

Watu kama wewe ni muhimu. Ila ukimuweka huyo maaluni ambaye anaonekana nia yake ni kubisha tu awe sawa nami, au unipe makosa mimi kwa sababu yeye hajui time zones, nitakushangaa.

Tukirudi kwenye swali lako, inategemea uwezo wa mtu.

Kama huna uwezo wa kusoma analysis ujue kwa mfano katika muda fulani bei ya hela fulani utakuwa wapi, huwezi kufanya binary. Kwa sababu binary ina specific time limitation.

Kwa mfano. Naweza kuangalia technical levels, support and resistance, nikatabiri EUR/USD itakuwa hapa within 30 minutes/ 1 hr 3 hrs etc. Kama naona probability ni kubwa na mtu anauza position bei ndogo, nanunua.

Ku deal na Forex per se huna time limitation kwa hiyo ni nzuri kwa watu ambao hawataki ku deal na headache za time limit.

Binary unalipa zaidi though. The risk are higher due to the time limitation therefire the rewards are higher too.

Nikishatoa lunk moja nzuri sana inaelezea kifupu tofauti vizuri zaidi yangu.

Ngoja niutafute tena.



Sent from my Kimulimuli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…