Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
I am in boss
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Mnaboa mnao quote uzi mrefu hivi halafu mnaandika tumaneno tuwili.....
Kwanini msistaarabike mkaandika comment zenu tuu!!!

Mnawatesa wanaotumia Jf app na vifaa vidogo bhana!! [emoji16] [emoji36] [emoji36]
 
Mkuuu ahsante sana kwa kutupa ufahamu ambao wengi tulikuwa bado hatujalijua hili swala.vp watu wa mikoani tunawezaje pata semina na elimu zaid juu ya hii kitu

Sent from my HTC Desire 510 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana, Ngoja nikitulia niisome tena hii kitu. Am in.
 
Ndiyo maana kuna kampuni nyingi za clearing and forwarding(C&F) zilizofilisika. Inabidi kabla kukurupuka kwa ushauri inabidi ujue kama hiyo kampuni hiko recognised, reliable na inafanya kazi ethically. Makampuni mengi ya C&F yalikuwa ya wizi mtupu bongo, mengi sasahivi ni mufilis tangu Magufuli aliposhugulikia bandarini. Kuhusu, kuagiza gari Japan wala sihitaji C&F company...naweza agiza mwenyewe direct from Japan.

Mimi nakubali kwamba hii FX trading ni nzuri na it can be a lucrative way to make money. Lakini wabongo wengi nimegundua tuna pupa na hatuulizi the right questions badala yake tunafwata mkumbo (following the crowd)

Huyu ndugu Ontaria ametoa maelezo mengi ambayo ni mazuri tu, lakini hajatuambia alitumia website gani ya Forex Trading kutengeneza hizo pesa. Badala yake, ameongelea mambo ya kufungua ofisi, training and so on ili apate wateja kutengeneza pesa.

Sisi tunataka atueleze kwa ufupi kwamba alitumia website hipi, account au bank card ya namna gani kuendesha hiyo FX Trading na atupatie statement inayo onyesha earning zake katika trading. Pia ikiwezekana, siyo lazima, atupatie ka background kake kadogo with evidence.
 
Angalizo zuri mkuu

Hapa hatupingani na Ontario

Binafsi mimi ni mjasiriamali

Hakuna swali la kijinga

Ili watu waelewe inabidi waulize maswali, waonyeshe wasiwasi wao, wajue mambo bayana

Hahaaa ukisema hivi wadau wanakulaani, wanakuona hater.

Ni tofauti kabisa na ukweli
 
Na pia mpk sasa imemuingizia millions ngapi za $ .... maana yule dogo wa SA N bilioner.. Je Ontario n billioner au millioner au ndo ku make $500 au $ 7000 ndo ku win life...?
 
Huyu ndugu Ontaria ametoa maelezo mengi ambayo ni mazuri tu, lakini hajatuambia alitumia website gani ya Forex Trading kutengeneza hizo pesa. Badala yake, ameongelea mambo ya kufungua ofisi, training and so on ili apate wateja kutengeneza pesa.
- Alikwisha sema hizi hapa: 1. XM na 2. JPmarket, na screenshot alituwekea
- Fuatilia thread zake za awali kabla ya hii.
 
No mkuu, hatupingani naye hata kidogo na Ontario. Kwanza amefanya vizuri kuanzisha huu uzi ili tujifunze. Ili maswali kuuliza ni muhimu ili tuwe satisfied. All we need is more information and transparency!
 

Boss siwezi nikaongea mengi sana lkn cha msingi ni kwamba huwezi ukawa infant trader afu ndani ya siku 1 ukajua kila kitu. Yani kuna details nyingi siwezi kuzitoa kuepusha watu wanao kurupuka.

Ukitaka kujua ulivyo na pupa rudi kwenye post yangu, utaona nimeweka hata visa card ya broker wng, sasa sijui unaongea nini kwamba naficha information. Ungekua japo uko smart wala usingelalamika kua natumia platform gani kutrade.

Afu katika vitu ambavyo nimekushangaa ni kua unataka nikwambia kiasi nikichovuna. Boss! Hatujisifii pesa ama utajiri, ni mtu aliyebahatisha kua na pesa ndio utaona anatangaza utajiri wake, tunakua proud kwa knowledge tuliyonayo si pesa boss. Am not here to sell dreams my boss, am here to transform knowledge into wealth. Ukiona mtu anasujudia pesa jua hana knowledge.
 
Nipe habari mkuu..

Mara nyingi huwa sipati wasaa wa kupitia notifications mkuu..
Sawa mkuu, naomba uje inbox nikueleze kwa mapana zaidi sababu hapa sio mahala pake tutaharibu Uzi..
 
Fx ni speculative process hii haipingiki. Kwa hiyo si investment nzuri.

Maana ya volatile market ni rahisi tu.

Kwa muktadha wa hii Fx mara nyingi retail traders wanapoteza.

Nilitumia neno "kupigwa" si kwa maana ya kuibiwa (japo hii inawezekana). Bali kupoteza kwa kuwa na uelewa mdogo.

Yes kila business ina speculation lakini hii ya Fx ni level nyingine.

Formula ni moja tu "usiingie kwenye business usiyofahamu"

Na bahati mbaya inaonyesha wengi watamezwa hapa

Unasema bila nyie brokers retail traders wangeshindwa kufanya international transactions?

Upo sahihi lakini hapa broker amechagua "namna nzuri" kutengeneza chapaa

Hana wasiwasi wakupoteza

Ni taarifa muhimu wateja wako wajue.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…