Boss! Naomba nisiongee mengi, humu kuna traders wachache nimeona wamejitokeza, nao watatoa maoni yako lkn kwa nilivyokusoma yani unagoggle vitu ambavyo hata huna uhakika navyo. Kwanini nasema hivi?!
Unang'ang'ania kuwa forex ni speculative na retail trader hawezi kufanikiwa. Ni kama huelewi nini unamaanisha, as in naomba uniambie ni nini utafanya ambacho si speculative: stock, commodities, cyptocurrencies, indices, futurs, metals yani kila kitu ni speculative. Unajua maana ya technical analysis?! Unasema unaspeculate hadi unachoka? Nini sasa kazi ya market analysis. Biashara gani utafanya bila analysis. Hata ukifungua saloon ya kunyoa. Hahaa.
Kitu ambacho nimeshangaa unakisema ni kwamba volatility inadababisha trader apigwe. Yani sijui boss wng unamaanisha nini. Kwa sisi traders tunatamani muda wote volatility iwe juu ili kutrade bila market noise.
Napingana na wewe kwa fact kua broker anatoa deal... deal gani unaizungumza. Broker hakusaidii chochote wala hatrade kwa niaba yako, hio haipo. Broker anakupa 'spreads' yani tuseme bei za kuuza na kununua, wewe baada ya kufanya analysis zako ndio unaamua kuexecute trade. Ukiexecute trade kila kitu unakicontrol wewe hadi utakapoamua kuexit trade. Sasa broker anawezaje kumanipulate trades zako. Hakuna speculation anayoleta broker km unavyosema everything is speculative.
Unasema kua broker anatamani pesa yako. Hapa ndio nimeamini kua either wewe bado unajifunza ama unagoogle. Unajua aina mbalimbali za brokers?! Rudi kwenye post yangu then soma, nimegusia kidogo. Ama ingia Google then tafuta kitu ECN broker.
Kwanini broker hawatrade... unajua maana ya hedge fund? Unajua maana fund/account management? Zote hizo brokers wengi wanafanya. Brokers wanatrade vibaya mno, watu kama market markers muda wote wapo sokoni wanagonga nyundo, brokers wanatrade kuliko retail traders hizo commission ni 1 tu ya source yao - na unadhani kama brokers wasingekuopo sisi retail traders tungewezaje kutrade soko la kimataifa.