Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Hapo kwenye USD na XAU kuwa makini. Maana jana XAU iligonga nine months highest level, huku USD ikijikomboa kutoka several months lowest low ambapo ilifikiwa juzi.
 
Habarini wakuu!
any new information from the boss?
niko nyuma ya dunia naachia chombo cha watu dk 2 toka sasa
mrejesho wadau
 
Habari ya Leo wandugu? Nimesoma vitabu na naamini nimeelewa vema, nimefungua demo acc na Tickmill, lakini siajelewa jinsi ya Ku trade! Msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app

Mhhh, Mbona ni sentensi zinazojichnganya zenyewe.? Unasema umesoma vitabu na umeelewa vyema, Yet unasema hujaelewa namna ya kutrade. katika kutrade hujaelewa nini haswa, na katika huko kusoma vitabu ulielewa nini haswa.? Tuanzie hapo kwanza.
 
Theory done, Ndo naanza Ku practice... To be specific, how to navigate and get where I can click and "stop loss" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh, Mbona ni sentensi zinazojichnganya zenyewe.? Unasema umesoma vitabu na umeelewa vyema, Yet unasema hujaelewa namna ya kutrade. katika kutrade hujaelewa nini haswa, na katika huko kusoma vitabu ulielewa nini haswa.? Tuanzie hapo kwanza.
kuhusu hili gharika la Texas-Lousiana kuna ambavyo limeadhiri mwelekeo wa dollar??manake naona mji wa Houston umeathirika sana.
 
Naomba msaada wa namna ya kufungua demo account na jinsi ya kuwapata hao brokers
 
kuhusu hili gharika la Texas-Lousiana kuna ambavyo limeadhiri mwelekeo wa dollar??manake naona mji wa Houston umeathirika sana.

Boss kwa hilo la mafuriko sidhani kama lina impact kubwa sana katika pesa ya marekani. Mambo ambayo yanakuwa na influence ya moja kwa moja katika pesa ya nchi husika ni kama vile tishio la vita, Vikwazo vya kiuchumi, vita baridi, siasa za nchi (uchaguzi), sera za nchi n.k Na huwa inakuwa hivyo kutokana na kwamba katika nyakati hizo mitaji ya wafanyabiashara huwa hatarini kupotea kutokana na vitu kama hivyo kwa kuwa hakuna anayehitaji kuwekeza katika unstable situation kwani itahatarisha mtaji wake . And fnally ni supply and demand controls the market.

Kwa kifupi ni kwamba kujua kwamba ni fundamental analysis ipi yenye influence ya kutikisa currency ya nchi husika, just aangalia tuu ni kwa namna gani hiyo fundamental analysis itaaffect sheria ya supply na demand ya nchi husika katika pesa yake. This is one of the golden concepts in this game.
 
Stop loss ni ile sehem yenye SL. Kuna alama ya + na - (nkiamini unatumia MT4)

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah...nime click + ikaniletea currencies option ya Ku add , e.g USD/ZAR etc...still hakuna any sign ya SL!
View attachment 578123View attachment 578124

bila kusahau riba, ajira, mfumuko wa bei na uzalishaji viwandani pia vna impact kubwa sana kwny currency

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…