Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu kwa sisi tunaotumia tunaweza fanya trading?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unaweza ku trade ukiwa na trailling SL, ila ujue inafanya kazi upande wa client na sio upande wa broker kama ilivyo normal SL!
kwa mfano mimi natumia mt4 kwa android ila naona kama vitu vinapungua kama trailing stop loss nk, au sijui labda ya kuweka?
Sio kila broker ana option ya TSL!
 
Umeelewa. Kuna brokers wengi. Mfano kuna anaitwa easy market ( Trade Forex | CFDs Trading | Options | Easy Forex | easyMarkets ) huyu ana platform yake (app yake ya kutrade), ambayo ina trailing stop, na pia unaweza kucancel open kama waona inaenda vibaya, within 1hour.

Nlichomanisha n kwamba, broker ambaye ana trailing stop loss anakuwa na app yake ya kutrade, mana MT4 haina option ya trailing stop loss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Nimeelewa mpaka nkapitiliza yani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How can u manage risk ukiwa na capital kubwa? Mana nahc ukiluz una luz amount kubwa zaidi, au?



Sent using Jamii Forums mobile app
Chukulia mfano mtu mwenye capital ya 5000usd na mtu mwenye 500 usd, wote wakifungua position yenye size ya 0.5 ambayo 1pip equates to 5usd, alafu waka loose 10 pips ambayo ni -50usd hivyo mtu mwenye capital ya 5000 usd atakuwa kaloose 1% ya capital yake wakati huo mtu mwenye 500usd atakuwa kaloose 10% ya capital yake.
Hivyo basi ukiwa na capital kubwa ni rahc kumanage risk haimaanishi uta loose zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia capital kubwa inakupa ujasiri wa kutrade bila hofu.Ila mpaka hapa nilipoifatilia forex naweza sema forex is not for everyone. Namanisha usitrade forex ili kupata fedha ya kutatua matitizo yako kifedha.Sababu forex inataka utumie maarifa na taarifa ulizonazo kutrade pia uwe vizuri kiuchumi.

Sent using Iphone 7+
 
Asante sana kaka ....umefanya vyema.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo mkuu forex kwani inabidi nianze na mtaji wa kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini pia ili uwe best trader ni vizuri kuanza chini yaani unadunduliza kidogokidogo mpka unakua na mtaji mkubwa au mnasemaje wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri.

Shukrani sana naomba nisaidie kuhusu "margin Balances"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hapa mkuu unataka kumaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini pia ili uwe best trader ni vizuri kuanza chini yaani unadunduliza kidogokidogo mpka unakua na mtaji mkubwa au mnasemaje wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ila takwimwi zinaonesha 85% wame give up ila 15% wanaendelea na mitaji yao kutengeneza pesa so ni ww kujiuliza utakuwa kundi lipi?Hakuna kinacho shindikana.

Sent using Iphone 7+
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…