Stop loss: amount unayoweka ambayo kama market itaenda tofaut ikifika hapo inaclose position, mf unabuy, bei ya market ni 1.8524 ili kupata faida bei yatakiwa kupanda, so unaweka stop loss chn ya hapo, say 1.8514. Kama bei itakuwa inapungua, ikifika 1.8514 itaclose position hvyo kukuepusha kupata hasara.
Trailing stop loss: ni stop loss ambayo huwekwa na inacalculate distance kutoka buying au seling position, mf. Unabuy kwa 1.8524 ukaweka trailing stop loss katika 1.8514, kama bei ya kubuy inapanda kwa point 20, mpk 1.8544 na stop loss nayo inapanda kwa point 20 hadi 1.8534. Hii ikipanda hubaki hapohapo, kwahyo bei ya kubuy ikishuka na kufika 1.8534 itaclose position. Trailing stop loss inatumika kuzuia hasara, na pia kulinda faida ambayo unakuwa umeipata unapotrade
Sent using
Jamii Forums mobile app