OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Sasa hapa mkuu ni kwa namna gani una set? Stop? Mwenyewe....naomba kwa hapo nisaidie ...
Kwanin wana give up mkuu?Ni kweli mkuu ila takwimwi zinaonesha 85% wame give up ila 15% wanaendelea na mitaji yao kutengeneza pesa so ni ww kujiuliza utakuwa kundi lipi?Hakuna kinacho shindikana.
Sent using Iphone 7+
Sababu ni nyingi mkuu moja mitaji midogo pia mtaji wako unapokata unashindwa kupata mwingine wa kurudi tena kwenye biashara,Pia tatizo lingine ni broker sio wote wakweli hawakwambii ukweli kuhusu vitu vingi sana mfano unapotaka Ku withdraw faida yako inachelewa,Pia watu wanajiunga na broker pasipo kusoma regulation,Pia hizi platform unapofanya trade mfano una weka stop loss platform haiko vile ulivyoweka ww,Kingine ni kwenye platform pia unapotaka Ku buy au Sale unapo click usipokuwa makini unakuta imepanda kidogo au kushuka pasipo ulipokusudia yote haya ni malalamiko kwa wengi wao ila nadhani ni kutokana na mitaji midogo ukiwa vizuri vitu vidogo vidogo utavipotezea na kutengeza hela.
So mkuu ni kwa mtaji wa ela ngap natakiwa kuwa nao ili kuweza kuwa huru zaid? Na suala la brokers wasio faa ni kwa nmna gani kuwakwepa?Sababu ni nyingi mkuu moja mitaji midogo pia mtaji wako unapokata unashindwa kupata mwingine wa kurudi tena kwenye biashara,Pia tatizo lingine ni broker sio wote wakweli hawakwambii ukweli kuhusu vitu vingi sana mfano unapotaka Ku withdraw faida yako inachelewa,Pia watu wanajiunga na broker pasipo kusoma regulation,Pia hizi platform unapofanya trade mfano una weka stop loss platform haiko vile ulivyoweka ww,Kingine ni kwenye platform pia unapotaka Ku buy au Sale unapo click usipokuwa makini unakuta imepanda kidogo au kushuka pasipo ulipokusudia yote haya ni malalamiko kwa wengi wao ila nadhani ni kutokana na mitaji midogo ukiwa vizuri vitu vidogo vidogo utavipotezea na kutengeza hela.
Sent using Iphone 7+
I presume dollar will gain strengthHello wanajukwaa
NFP inakuja leo @15:30, any thoughts?
Sawa mkuu.Samahani kama hutojali soma kitabu kinaitwa the fx bible kina majibu yote ya maswali yako bila kusoma hakika fx ni ngumu sana unahita muda wa kusoma na kuganya mazoezi bila kuchoka vinginevyo utatoka mdogomdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu wa kukuchagulia kiasi cha mtaji wa kuanzia mkuu inabidi ujifanyie tathmini ww coz uta trade ww.Ila usisahau mtaji mdogo unahitaji maarifa mengi kuukuza it's not easy.Kuhusu Broker njia pekee kabla ya kujiunga naona ni vema kuwauliza waliokutangulia kuingia ktk biashara hii wakupe maoni yao anaonaje huduma za broker wake.So mkuu ni kwa mtaji wa ela ngap natakiwa kuwa nao ili kuweza kuwa huru zaid? Na suala la brokers wasio faa ni kwa nmna gani kuwakwepa?
Nisaidie mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss! hizo M1, M5...ni time frame tu na hazimaanishi kwamba ni muda ambao position yako itadumu au inatakiwa kudumu kama ulivyosema..... yani kwa kifupi ukiwa kwenye M1 time frame inamaanisha kila candlestick inaonesha price range ndani ya dakika moja. Halikadhalika ukiwa kwenye M15 time frame inamaanisha kila candlestick inawakilisha bei ilivyobadilika (kushuka na kupanda) ndani ya huo muda (15 minutes). I hope umepata kitu.Naombeni msaada... Nimegundua kwamba graph zko tofauti sana ukiangalia kwa M1, M5, M15, M30,H1, H4, D1, W1 na MN.
Same graph lakn inakuwa tofaut tofauti sana.
Swali laja, kama nimetumia graph ya M5 na nkaopen position, je, position hyo yapaswa kukaa kwa Dk 5 pekee? M15 na nyngnezo hali kadhalika? Au inakuwaje?
<> semper fi <>
Kama unatumia Japanese candlesticks chart maana yake kama umefungua in M5 kila candlestick inakuwa completed baada ya dakika 5. The same applies to M15,M30 etc.Naombeni msaada... Nimegundua kwamba graph zko tofauti sana ukiangalia kwa M1, M5, M15, M30,H1, H4, D1, W1 na MN.
Same graph lakn inakuwa tofaut tofauti sana.
Swali laja, kama nimetumia graph ya M5 na nkaopen position, je, position hyo yapaswa kukaa kwa Dk 5 pekee? M15 na nyngnezo hali kadhalika? Au inakuwaje?
<> semper fi <>
Kama unatumia Japanese candlesticks chart maana yake kama umefungua in M5 kila candlestick inakuwa completed baada ya dakika 5. The same applies to M15,M30 etc.
Kwenye smaller time frame like M5, M15, M30 kunakuwa na a lot of noises, so they are not that useful kwa kufanya analysis. Na ndio sababu unaweza kuta in D1 or H4 time frames chart ina trend upward. Ukija kwenye lower time frame of the same pair ina trend downward
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss! hizo M1, M5...ni time frame tu na hazimaanishi kwamba ni muda ambao position yako itadumu au inatakiwa kudumu kama ulivyosema..... yani kwa kifupi ukiwa kwenye M1 time frame inamaanisha kila candlestick inaonesha price range ndani ya dakika moja. Halikadhalika ukiwa kwenye M15 time frame inamaanisha kila candlestick inawakilisha bei ilivyobadilika (kushuka na kupanda) ndani ya huo muda (15 minutes). I hope umepata kitu.
May all the pips be with you
Endelea kusoma vitabu na kufanya demo with a lot of determination, mwanzoni utakuwa ukifanya makosa na hakikisha for every winning or losing trade unajifunza why you either win or lose. Utashangaa unaanza kuelewa na kurekenisha makosa yako.That was what I was thinking... Kwamb ukifanya analysis ya D1 ukaona unatakiwa kwenda long, unaweza kuta katika M15 same time unatakiwa kwenda short....
<> semper fi <>