Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwanin wana give up mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ni nyingi mkuu moja mitaji midogo pia mtaji wako unapokata unashindwa kupata mwingine wa kurudi tena kwenye biashara,Pia tatizo lingine ni broker sio wote wakweli hawakwambii ukweli kuhusu vitu vingi sana mfano unapotaka Ku withdraw faida yako inachelewa,Pia watu wanajiunga na broker pasipo kusoma regulation,Pia hizi platform unapofanya trade mfano una weka stop loss platform haiko vile ulivyoweka ww,Kingine ni kwenye platform pia unapotaka Ku buy au Sale unapo click usipokuwa makini unakuta imepanda kidogo au kushuka pasipo ulipokusudia yote haya ni malalamiko kwa wengi wao ila nadhani ni kutokana na mitaji midogo ukiwa vizuri vitu vidogo vidogo utavipotezea na kutengeza hela.

Sent using Iphone 7+
 
So mkuu ni kwa mtaji wa ela ngap natakiwa kuwa nao ili kuweza kuwa huru zaid? Na suala la brokers wasio faa ni kwa nmna gani kuwakwepa?

Nisaidie mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu mwenzenu kila saa mimacho kodo kodo JF.

Nasubiri updates, so far I know launching is tomorrow na Jangid plaza najua ipo A H Mwinyi Rd.

Sema sijui ofisi yetu ipo flow ipi? Muda wa uzinduzi?
 
So mkuu ni kwa mtaji wa ela ngap natakiwa kuwa nao ili kuweza kuwa huru zaid? Na suala la brokers wasio faa ni kwa nmna gani kuwakwepa?

Nisaidie mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu wa kukuchagulia kiasi cha mtaji wa kuanzia mkuu inabidi ujifanyie tathmini ww coz uta trade ww.Ila usisahau mtaji mdogo unahitaji maarifa mengi kuukuza it's not easy.Kuhusu Broker njia pekee kabla ya kujiunga naona ni vema kuwauliza waliokutangulia kuingia ktk biashara hii wakupe maoni yao anaonaje huduma za broker wake.

Sent using Iphone 7+
 
Jamani hini hivi utaratibu wa training ya jumatatu Mr. Ontario kashatoa utaratibu? Au mimi peke yangu ndo sina information? Naom
 
Naombeni msaada... Nimegundua kwamba graph zko tofauti sana ukiangalia kwa M1, M5, M15, M30,H1, H4, D1, W1 na MN.
Same graph lakn inakuwa tofaut tofauti sana.

Swali laja, kama nimetumia graph ya M5 na nkaopen position, je, position hyo yapaswa kukaa kwa Dk 5 pekee? M15 na nyngnezo hali kadhalika? Au inakuwaje?

<> semper fi <>
 
Boss! hizo M1, M5...ni time frame tu na hazimaanishi kwamba ni muda ambao position yako itadumu au inatakiwa kudumu kama ulivyosema..... yani kwa kifupi ukiwa kwenye M1 time frame inamaanisha kila candlestick inaonesha price range ndani ya dakika moja. Halikadhalika ukiwa kwenye M15 time frame inamaanisha kila candlestick inawakilisha bei ilivyobadilika (kushuka na kupanda) ndani ya huo muda (15 minutes). I hope umepata kitu.

May all the pips be with you
 
Kama unatumia Japanese candlesticks chart maana yake kama umefungua in M5 kila candlestick inakuwa completed baada ya dakika 5. The same applies to M15,M30 etc.

Kwenye smaller time frame like M5, M15, M30 kunakuwa na a lot of noises, so they are not that useful kwa kufanya analysis. Na ndio sababu unaweza kuta in D1 or H4 time frames chart ina trend upward. Ukija kwenye lower time frame of the same pair ina trend downward

Kwa hiyo kama unafanya analysis its much better ukafanya kwenye higher time frame kama D1 na H4 na uka enda kwenye H1 time frame kuidentify your entry price. Kisha utatumia M30 na M15 Ku monitor your positions.
This has been working for me, you make give it a try and see if it will also do the same for you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kuna watu wamepigwa na NFP maana dollar ime lose its strength kisha ika regain again so in almost 15 minutes it went up and drop again sharply

I gained about 32$. Niliclose faster maana nilihisi kwa level ambayo EURUSD ilikuwa imefikia ni ngumu ikabreak the long ago established resistance.

492be6d2673c3014aabd4db6c80d1d2a.jpg

50d4d4ad03603473ad9c9d6e3d2fc465.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unatumia Japanese candlesticks chart maana yake kama umefungua in M5 kila candlestick inakuwa completed baada ya dakika 5. The same applies to M15,M30 etc.

Kwenye smaller time frame like M5, M15, M30 kunakuwa na a lot of noises, so they are not that useful kwa kufanya analysis. Na ndio sababu unaweza kuta in D1 or H4 time frames chart ina trend upward. Ukija kwenye lower time frame of the same pair ina trend downward

Sent using Jamii Forums mobile app

That was what I was thinking... Kwamb ukifanya analysis ya D1 ukaona unatakiwa kwenda long, unaweza kuta katika M15 same time unatakiwa kwenda short....
Boss! hizo M1, M5...ni time frame tu na hazimaanishi kwamba ni muda ambao position yako itadumu au inatakiwa kudumu kama ulivyosema..... yani kwa kifupi ukiwa kwenye M1 time frame inamaanisha kila candlestick inaonesha price range ndani ya dakika moja. Halikadhalika ukiwa kwenye M15 time frame inamaanisha kila candlestick inawakilisha bei ilivyobadilika (kushuka na kupanda) ndani ya huo muda (15 minutes). I hope umepata kitu.

May all the pips be with you

<> semper fi <>
 
That was what I was thinking... Kwamb ukifanya analysis ya D1 ukaona unatakiwa kwenda long, unaweza kuta katika M15 same time unatakiwa kwenda short....

<> semper fi <>
Endelea kusoma vitabu na kufanya demo with a lot of determination, mwanzoni utakuwa ukifanya makosa na hakikisha for every winning or losing trade unajifunza why you either win or lose. Utashangaa unaanza kuelewa na kurekenisha makosa yako.

Nimejifunza kuna asilimia kubwa ya mafunzo unayapata ukiwa una trade moja kwa moja.

Cha kufanya ukijifunza trade strategy moja go kwenye demo yako look where charts displayed fit your strategy setup, kisha open positions and stick to the rule. You will continue to learn and adjust from the strategy to fit your pasonality and you move on

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom