Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Njaa inawapoteza sana watanzania ndio sabab upizan haina kaz......
Mtu anakuambia nimemaliza chuo 2013 sina kaz nataka niingie katka hyo business tena mwngne anakuambia nipo nyumban napokonyana remote na mdogo wangu nataka niingie katka hyo busness.!!! Kwel..!!?? Iv hyo $200 mmekosa cha kufanyia shughul ya uzalishaj wangap wanapanga karanga, maindi ya kuchoma au matunda na wanalea familia na wanasome...
Tena mtoa mada anawaambia busness hyo inaitaj kuisoma kwa kina na emotional mm naita njaa uziweke pemben sasa kwel mtaweza jamn!!?? "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Mtoa mada mm ntakua na ww bega kwa bega kuanzia kujisomea vitabu na kuhudhuria darasan ila tuweke kwanza waz wew unanufaika vip!!? Kama unaamua kuacha kikao kikubwa hvyo na kuangaika kufungua ofis $600 iv... Apa tusiwe wanafk hakuna mtanzania aliokufanyia wema adi ukajitoa kias hilo au nikubaliane na @V kwel tupu kupitia sis ww mfuko utasoma

Pil mtoa mada umeelezea pesa nje nje ktaka forex umegusa kidogo sana upande wa pil...
Jianda psychologically na wanafunz wako pia kwa risk tena big risk kama kuna mtu kasema apo nyuma upo tayar kupoteza $600 kirahis bila mawazo na ukalud tena...
Pia kama maelezo ya uzi usi qoute coz n mrefu lakn kuna vchwa panzi wameshindwa kuelewa hilo jua kuna kaz kubwa sana...

Bado tupo pamoja kuwekana sawa maana wengne hawajisomi na hawajui kama hawajisomi...
 
I love this. Sikutaka kupost trades zangu ili watu wasije wakasema natumia nguvu kuwashawishi na blah blah. Na pia sikutaka watu labda wahisi mtu anabidi awe na mkwanja mrefu ili awe trader coz account zng kdg ziko juu juu. As far as watu kama nyinyi mmejitokeza nimefurahi sana.

Safi sana boss. Tuna ule msemo wetu we don't chase money but we let money chase for us, naona unagonga tu Pips.
 
Word,ni professional biz kama zingine so its not eazy money kama wengi wanavyodhan
 
Safi sana bro, ni kitu kipya masikioni mwa watanzania wengi. Ila kadri siku zinavyokwenda wataelewa. Uzuri wa trade hakuna kuchelewa wala kuwahi. Kila siku ni mpya na opportunities zipo za kumwaga
 
Mkuu Ontaria, nimeusoma uzi huu mwanzo mwisho, umetisha. Nahitaji kuwa miongoni mwa watu hao 300 kwani nimesoma Master Degree in Finance na FOREX Trading nimesoma theoretically, I want now to do practically because I like it.
BIG UP, usinisahau mkuu.
 
Mkuu yani una masters na bado unaquote uzi mrefu hivi, na hapo mwanzo kbs nimetoa tahadhari watu wasiquote uzi ili kuepusha usumbufu kwa wanaotumia visimu.
 
Mkuu japo narukia mbele sana but pliz naomba niulize kwa mfano nikiwa nafanya hiyo biz hapa bongo then account na mambo mengine nkafungulia south africa si itakua poa ili kupunguza usumbufu wa Ku draw hela?
 
Kama umemuelewa mbona ume qoute uzi mzima wakat yeye alikataza!!??
Waz umekosa umakin katka kitu kidogo sana sizan kama hyo busness itaenda vzur!! Sikuombei njaa ila bado naludia kwa watu wote hiki kitu mmekipokea kwa urais zaid wakat wengne wamekaa ata mwaka mzima kujikita zaid.... Ol in ol I wish ol the best...
 
Yan we jamaa kinanchotia wivu wa maendeleo kwako is that we ata sio mkubwa wa kutisha.. Kumbe tumeenda wote JKT same year.. Maana baada ya huu uzi imebidi niangalie nyuzi zako ulizowahi kutuma nkakutan na ile ya ulivyotengezeza mil 19 profit for a month na kwenye ule uzi ukaahidi kua ungefundisha jinc gan unatengeneza 1.1 m kwa siku kabla ya july.. And here you are... Sio siri umenipa motisha sanaaa... Hasa nikiangalia kwamba you are still young but mambo unayoyafanya!! Dah!! I salute you.. And now i cant wait to be one among 300 people

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Ontario, Bavaria na Suleiman kwa muda na maarifa yenu mnayoyatoa. Wapo watu wanahisi labda watanzania wamaweza kupata nafuu flani hivi ya maisha hivyo roho zao kama vile zinawauma.

Lakini pia haya maisha hakuna kitu hata kimoja ambacho sio risk, narudia tena kila kitu ni risk au mtihani kwa lugha nyepesi. Vyakula tunavyokula ni risk ndio maana tunavipika vyema na tunanawa mikono kabla na baada ya kula, wake tunaowaoa ni risk sana, au waume ni risk pia. Ndio maan tunakuwa very selective.

Watoto tunaozaa ni very risk, wengine wanakuwa majambazi wa kibiti, wengine makahaba na mashoga, wazazi wanadiriki kusema bora nisingepata mtoto..why? Ame take risk kuzaa akitegemea atanufaika kumbe amezaa kizaazaa.

Ni kitu gani kinachotufanya tushindwe kuona hii ni risk kama nyingine hivyo tuingie kama tulivyoingia kwenye ndoa na kuzaa watoto. Tuingie na tukusudie kukabiliana na hizo risk iwe usiku iwe mchana. Ukipoteza ni njia ya kujifunza na ukipata ni vyema na manufaa kwako.

Wengi humu viherehere sana. Ontario ameshasema kwa sasa anakamilisha utaratibu wa vibali na akiwa tayari ndio hao watu 300 watafuata na mafunzo yataanza. Kwa uangalizi wake hakua kwa hatua na huko aliko yeye ndiko hao 300 (na mm nikiwemo [emoji23][emoji23]) watapelekwa. Hivyo homework yenu ni kusoma hivyo vitabu ili upate a b c.

Ramadhan kareeem
 
Shukrani mkuu niliwahi kusoma makala moja nikahisi ni utapeli lakini kadri ninavyozidi kusoma siku hadi siku nazidi kuelewa zaidi. Barikiwa sana
 

Nimeheshimu uchambuzi wako, hayo maneno kwenye BOLD ungeyatafutia MBADALA wake ingekuwa one of the best advice. And this is what I actally see badala ya WAKUBWA kuja na maneno lainiiiiiii ambayo mimi nayaita tutakuja lia
 
Moja ya thread makini sana hongera Boss, twende hatua kwa hatua
 
Huu Uzi ni mzuri sana katika kuwafundisha watu juu ya biashara ya FOREX

Binafsi Nina uzoefu wa hii biashara, kwa hiyo napenda kushare machache humu ili watu watambue faida na risk zake..

Kwanza kifupi ni kwamba hii biashara sio rahisi kama wengi wanavyodhani, ina hitaji umakini wa hali ya juu maana unakuwa umekubaliana na mambo mawili. Profit au loss.

Hatua ya kwanza kabisa inabidi uchague broker (hapa pia panahitaji umakini).. Baada ya kuchagua broker inabidi umstudy kwa kina maana kumbuka kwamba wewe unahitaji profit na broker nae anahitaji profit kupitia ku-loose kwako au kuwin (hapa ni brokers wachache)

Kifupi ni kwamba unahitaji kupata uzoefu kidogo kwa kuangalia trend ya biashara kwenye FOREX lakini pia kupitia mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara FOREX (hapa itabidi upate mkweli)

Jambo lingine LA msingi ni kufahamu risk ambazo utakumbana nazo katika hii biashara, tambua kwamba kila mtu anahitaji faida kupitia hii biashara, kwa hiyo kupata kwako loss ndio faida kwa mwingine (kwa lugha nyingine naweza kusema ni struggle for the fittest)

Nirudi kwa mtoa mada, kwanza nimpongeze kwa kujaribu kuelezea kwa ufupi uhalisia wa biashara hii lakini kuna Vitu ametazamia kwa lengo la yeye kujiongezea kipato (japokua kihalali) kutoka wa watu watakao kuwa tayari kuianza biashara hii..

Nafafanua kidogo:-
1. Mtoa mada amesema ana mpango wa kufungua office na kutoa train kwa watu 300 bure kwa kushirikiana na brokers alioingia nao ubia (ni wazo zuri)
Naamini train hiyo itakuwa inamzungumia broker (aliyeingia nae ubia) jinsi anavyofanya kazi, offer zake na faida kwa mtu atakayejiunga kupitia huyo broker...
Kwahiyo baada ya train hao watu 300 watajiunga na kuwaambia wengine kujiunga kupitia broker aliyewapa train (na hapa ndipo anapopata faida kupitia watu wanaomtumia broker aliyeingia nae ubia.. Kwahiyo hapo wewe pamoja na broker your fighting for profit... kwahiyo mmoja aki-lose ndio faida ya Mwingine).. Ndio maana nasema hapa inahitaji umakini mkubwa sana.

2. Kama lengo LA mtoa mada ni kugain profit kupitia ubia wake na broker na watu watakaojiunga. Basi naamini katika training atajikita zaidi kuelezea benefits zaid kuliko risks maana target yake ni kuku-win wewe, kwa mantiki hiyo hawezi kujikita zaidi katika risk maana anajua utaogopa atakukosa.

Ndio maana Jambo la msingi unapaswa kujiuliza ni kwanini mtoa mada amekubali kuingia gharama zote hizo kuleta mentors?? (Usifikiri in positive ways pekee yake, check on both side +ve & -ve)

Pili kwanini sahivi anataka kufungua office?? Kwanini asingetengeneza Whatsapp group akatoa elimu bila kusubiri apate office ili atoe fursa kwa watu wa mikoani??

Maana me naamini kumpatia mtu juu ya hii elimu haihitaji uwe na ofisi wala uwe nae ana kwa ana (me niliipata hii elimu kupitia internet pamoja na kusoma vitabu, lakini sahivi nafanya vizuri)

Mwisho nawashauri ni vizuri mkawa makini sana na kujiridhisha kwa kina kabla ya kufanya maamuzi.

NB: hayo ni mawazo yangu kulingana na uelewa wangu na uzoefu wangu juu ya biashara ya FOREX, sijatoa kwa lengo LA kum-criticise mtu bali kwa lengo la kuelimisha zaid.
 

I was about to quit replying nonsensical posts from ill-informed slowpoke duffer like you but this one gets too high and it needs to be confuted accordingly.

Dude, if I may join you in your ludicrous advice since you sound like ancient humans who were continually mystified by science. Yes you should serve it for your own future generation and not for our generation, since you currently still wallow in backwardness don't force others to be like you by having same old stone age mentality.

I know a lot about this lucrative business, having spent some months researching on it so there is nothing you can tell me about that I don't have a clue with. I know what I am saying here so get this in your fvcking head. The idea is not idealistic for you and it's because of your cluelessness.

Umenipa exchange ya somalia against ya Tanzania hili niifanyie nini!? Hivi unajua hata kusoma na kuelewa au unasoma tu lakini huelewi!? Wewe una kichwa kigumu sana mkuu, nimeonyesha kuwa biashara hii ni ya kuuza pesa na kununua pesa kwa njia ya mtandao yaani kila kitu kinafanyikia online, na ukishagusia thamani ya pesa fulani tayari moja kwa moja inakuwa umegusia uchumi wa nchi husika. Kwa hiyo hapo hapo moja kwa moja unachofanya ni kucheza na economy state ya nchi husika kama umepanda au umeshuka. Sasa kama mtu ana deal na uchumi wa Australia na Japani pekee. Huu uchumi wa bongo ataugusa saa ngapi!?

Huo mfano mbuzi wa exchange rate kati ya SOS naTsh. Nimeulewa sana ila namimi nimejaribu kukutoa gizani kwa kukuonyesha hata huo mfano wako ni mfano mfu kwa sababu hauna relevance yoyote kwa hichi nnachokiongea. Na pia kingine wewe mchumi unasema kuwa "currency exchange rate" haiwezi kuwa translation ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania dhidi ya uchumi wa Somalia... Hebu nipe Maelezo ya kina hapa una maanisha nini hasa!.

Cha mwisho unaonekana bado unaishi karne ya 17, na kushauri uwe una tabia ya kufuatilia recent publication about latest technological changes, at least you will develop curiosity and eventually get rid of pigheadedness.
 
Boss natamani kua mmoja wa hao free to join
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…