Wadau nashukuru Sana kwa challenge ila Mimi natembea na screen yangu pindi Nikiwa nimefanya position stegemei kuloose maake nataka nitambae na hii mpaka kieleweke SL na TP nitaapply baadae sana nikiwa sawa ila kwa sasa acha nitembee na screen yangu
Asante sana Mwali.RCT .Scalpers na wadau wa 1min & 5min Time frame huwa hawatumii au hawaitaji SL au TP
Ni kawaida sana kwa scalpers maana yeye anacheza na Support and resistance tu, ana_buy au Sell pindi mwelekeo unapo badilika, Ndio sababu kwenye screenshort ana blue colour pekee
Ukiangalia vyema screenshot yake utaona
- Ame shikilia trade kwa 1min, 10min na 20minutes
- Na amechukua faida yake (Kwa ku_exit trade) mapema baada ya Red kuwa Blue katika position zake
Kwa trading strategy anayotumia ataendela kuwa na sell & buy position kwa faida bila hasara yeyote.
TP ni muhimu sana, haufanyi scalping.
Ni kawaida sana kwa scalpers maana yeye anacheza na Support and resistance tu, ana_buy au Sell pindi mwelekeo unapo badilika, Ndio sababu kwenye screenshort ana blue colour pekee
Ukiangalia vyema screenshot yake utaona
- Ame shikilia trade kwa 1min, 10min na 20minutes
- Na amechukua faida yake (Kwa ku_exit trade) mapema baada ya Red kuwa Blue katika position zake
Kwa trading strategy anayotumia ataendela kuwa na sell & buy position kwa faida bila hasara yeyote.
Mkuu unatumia pending order?mmm,!!msema ukweli mpenzi wa MUNGU ata ninapopga mbishe zangu cijawai tengeneza hii pesa ata kwa cku.... .ila pande hz unabukua then unajidownloadia pesa zako .... Special thanks to Ontario . ....Members wako TMT.. twakusubiria.. endelea kupambana mkuu. View attachment 581312
mkuu karibu sana..humu utalainishwa pole pole kama ukiwa tayari..kwanza kabisa wacha hako kalugha ka mtaani..tyuu->tu..(natania[emoji23] [emoji23] )...pili kuna madini ya kutosha yamewekelewa kwenye meza kuu ya lishe iliyomo ndani ya uzi huu..anza kuyadadavua bila haraka..tatu,huu uzi kuna uhuru wa kuuliza chochote kilicho kwenye anga za foreksi..uliza tu yeyote mwenye uelewa atakujibu.una muda wa kutosha usibabaike kwamba wengine wako mbele sana.ndani ya muda fulani utakuwa ukitambaa kwa spidi zao..karibu!Mimi sijaelewa chochote naona malue Lue tyuu Sasa kwann usielez kwa kiswahili fasaha mara unamix Na English mara withdraw mara fixed yaani duuuh mfano mm naitaj kufany iyo naanzaje kwa kutumia simu za kutachi sio kompyuta
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usiwe hivyo..wenzio tunajiandaa kwa ajili ya training ya kufa mtu wewe unaiita katraining?..wacha masihara basi!..[emoji30] [emoji30] [emoji30]Jamani hivi kale ka training bado time table haijatoka!? Humu naona siku hizi wapo wakongwe wa hii bizinesi beginners kama mimi tunaishia kukodoa macho tu! Information please, kwa siku kadhaa sikutembelea hapa na kurasa zimefika mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya unavyokosea ni kujiita beginer na kuita wenzio wakongwe, hafu unasubr training, wakati hao unaowaita wakongwe wamepata ukongwe kwa kujituma kusoma.Jamani hivi kale ka training bado time table haijatoka!? Humu naona siku hizi wapo wakongwe wa hii bizinesi beginners kama mimi tunaishia kukodoa macho tu! Information please, kwa siku kadhaa sikutembelea hapa na kurasa zimefika mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu siyo pending order ni market execution but ni demo!!Mkuu unatumia pending order?
All men are self made [emoji123]
Duuh...kwaiyo unakua upo kweny screen una monitor sindio?hapana mkuu siyo pending order ni market execution but ni demo!!
Nafkiri zitatoka kwa Tzsh...Wadau, polen na majukum!! Ukiivuta fedha toka Skrill in term of US dollar kwenda payoneer na ikitaka kuzi with draw kwa payoneer mastercard kwa ATM zetu hizi mathalan ukatumia NMB ATM, hivi zile fedha zitatoka in term of USdollar au Tsh,
Naombeni msaada hapa wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
in tz sh,ila kwa rate nzuri,tofauti na za local benkiWadau, polen na majukum!! Ukiivuta fedha toka Skrill in term of US dollar kwenda payoneer na ikitaka kuzi with draw kwa payoneer mastercard kwa ATM zetu hizi mathalan ukatumia NMB ATM, hivi zile fedha zitatoka in term of USdollar au Tsh,
Naombeni msaada hapa wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
yeeah!!mkuu kama hvi......i wish ingekua real..maan lots size za demo zinantia wazimu..Duuh...kwaiyo unakua upo kweny screen una monitor sindio?
All men are self made [emoji123]
Mkuu, Scalping waielewaje weweLabda mimi celewi vizuri, Mwl unambie.
WAVE HUPANDA NA KUSHUKA.
Tunabuy inapopanda.
Tunasell inaposhuka.
Sasa huyu jamaa kabuy saa 12:01, 12:20, 13:21.
Inaonekana graph ikapanda sana. Wakati inarudi chini, jamaa hakuclose position badala yake akaanza kusell, saa 14:04 na saa 14:14.
Ndo mana sell ya 14:04 ina faida kubwa kuliko saa 14:14 sababu graph bado inashuka.
Sasa kama kasell mpaka saa 14:14 tangu 14:04 na kapata value zote hzo, kumaanisha graph imedrop katika opposite direction ya kubuy, je wakati alipobuy alifikisha faida gani ambayo kailuz kwa kutotake profit?
Sijajua lakini, mana scalping mi siijuagi, lakini naamini haiwezagi kuhold position kwa 2hours.
Ila bado naamini alichokifanya ni makosa.
View attachment 582083
NB: Tazama time za kubuy, na kusell, na ujue kuwa amount inayoonekana katika kuseli imepungua katika upande wa kubuy, mana ni graph inashuka toka kwa resistance kurudi kwa support...
Ni value ambayo angekuwa ame make kama angetake profit (close buy position) katika resistance kabla ya kusell wakat graph inaanza kurudi katika support...
Nipo tayari kurekebishwa.
<> semper fi <>
mkuu vp umepitia vtabu?? kama bdo nakushaur upitie uko ndo kuna diff strategies za kujua upi wakat itashuka au itapanda, koz hata nkisema nakuelewesha nahc ka hutanielewa kama bdo hujapitia vtab kujua abc.... otherwise ol the best bro... kama unahtaji vtabu sema wadau watakutumiaWakuu kwema? Naomba kujua namna ya kupata taarifa mbali kuhusu pair nnazo trade ..mfano niki trade EURUSD nawezaje kujua kuwa EUR itashuka/itapanda baada ya mda fulani? Naomba msaada wenu wakuu. .
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU mimi hizi mavitu apa zinanichanganya sometime ...labda bado sijazoea ..mfano apo bei ya kununulia ni ipi na bei ya kuuzia ni ipi? Naomba msaada mkuumkuu karibu sana..humu utalainishwa pole pole kama ukiwa tayari..kwanza kabisa wacha hako kalugha ka mtaani..tyuu->tu..(natania[emoji23] [emoji23] )...pili kuna madini ya kutosha yamewekelewa kwenye meza kuu ya lishe iliyomo ndani ya uzi huu..anza kuyadadavua bila haraka..tatu,huu uzi kuna uhuru wa kuuliza chochote kilicho kwenye anga za foreksi..uliza tu yeyote mwenye uelewa atakujibu.una muda wa kutosha usibabaike kwamba wengine wako mbele sana.ndani ya muda fulani utakuwa ukitambaa kwa spidi zao..karibu!