Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Jana nilianza mdogomdogo Leo tena. Nikipigwa mrejesho utakuja tu usijali mkuu
Kama ni real account, mkuu hongera sana!

Pia jitahidi sana KABLA HUJA OPEN POSITION UWE NA SABABU YA KUFUNGUA!! usifungue tu ilimradi umefungua! Pia jitahidi sana kutumia SL, zaidi ya yote kua makini sana na economic news releases, jua mda gan event gan inatokea! maana unaweza ukajisahau ikatokea economic event ukashangaa salio liko zero!! do not over trade, do not be greedy!!

All in all congrats comrade, its a positive progress!!
 
Sawa mkuu ila hyo style yako....muhenga mkuu aliitoleaga angalizo siku moja na ni hatari kweli kweli.
Nadhani unaongelea currency correlation!! alichofanya jamaa hakina makosa unless kama alizifungua hizo positions all at once! hapo ndio ingekua balaa!!

Ila kama ali-sell alafu akafunga position then akafungua ingine ya ku-buy hapo hamna tatizo mkuu!! tatizo ni kama ukifungua EURUSD position mbili at once zenye sell na buy!!!

Cc AMLIGHT
 
Kwa trading strategy anayotumia ataendela kuwa na sell & buy position kwa faida bila hasara yeyote.

TP ni muhimu sana, haufanyi scalping.
Mkuu wangu, with all due respect...SL ni muhimu sana, ni kweli wengi hawatumii kwa sababu wanatumia small time frame ila kikanuni na kiusalama ni muhimu iwepo!!

Mfano you are doing scalping, lafu ghafla pakatokea news release, alafu ikawa against you, do you think utabaki salama?

I agree with you wengi hawatumii ila kiusalama ni muhimu ikawepo!
 
Mi niko kwenye live acc, uzoefu wangu with live account ni kwamba every trade must be set with SL but not necessary with TP, however (with high time frame eg H1 or H4 instead set your trailing stop loss with 30-40 pips), you should learn behaviors of any pair regarding its volatility. For me, any pair with USD, AUD and JPY is most dangerous if you cannot set your SL...and that will cause you unnecessary tensions while on position.


 
Wadau nashukuru Sana kwa challenge ila Mimi natembea na screen yangu pindi Nikiwa nimefanya position stegemei kuloose maake nataka nitambae na hii mpaka kieleweke SL na TP nitaapply baadae sana nikiwa sawa ila kwa sasa acha nitembee na screen yangu

(Hapo kwenye bold...)
Umenisikitisha sana mkuu wangu! Sipendi upitie niliyopitia kipindi hicho! Ki uhalisia you may lose, ila usiji expose kiasi hicho!

Huwezi kusema hutegemi ku-loose, there's no such a thing my friend! Forex market is not mbuyuni or kariakoo market, you can not be so certain (so sure)...no not to that extent!

Unachofanya wewe ni sawa na dereva wa boda boda anaendesha pikipiki bila helmet(kofia) na akafika sehem anayoenda alafu anaanza kujisifia, jua huyu dereva siku akipata ajali ana uwezekano mkubwa sana wa kupoteza maisha au kujeruhiwa vibaya sana tofauti na angekua amevaa helmet!!

Huu ni ushauri wangu...​

Jitahidi sana kutumia SL, jitahidi kufanya analysis kabla huja open any position!
 
I concur with you!
 
MKUU mimi hizi mavitu apa zinanichanganya sometime ...labda bado sijazoea ..mfano apo bei ya kununulia ni ipi na bei ya kuuzia ni ipi? Naomba msaada mkuu View attachment 582180

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bid price iko on your left hand nayo offer iko on your right hand..brokers wengine wanaziweka prices hizi moja juu ya nyingine..iliyoko juu ni ask na ya chini ni bid price..sasa unapotaka kuuza,unatumia the bid price...ukitaka kununua ni ask price..
 
Wakuu kwema? Naomba kujua namna ya kupata taarifa mbali kuhusu pair nnazo trade ..mfano niki trade EURUSD nawezaje kujua kuwa EUR itashuka/itapanda baada ya mda fulani? Naomba msaada wenu wakuu. .

Sent using Jamii Forums mobile app
Good question. Ila kuna kitu kinaitwa ANALYSIS! na katika analyisis tuna TECHNICAL NA FUNDAMENTAL NA SENTIMENT ANALYSIS, kwa kutumia moja wapo au zote ndio unaweza jua kwamba at this time EURUSD (or any other pair )might go north or south (itapanda au itashuka)!
 
approach nzuri ni kutumia zote ili uwe na a broader picture
 
Hongera mkuu lodrick, nimekuelewa vyema pale ulipomielewesha jamaa maana ya PIP na POINT.
Kumbe sometime unaweza kusoma kitabu ukaelewa tofauti kabisa na kilicho kusudiwa labda nikutokana na kigugumizi kwa hii ligha ya wenzetu.

Umedadavua vzr sana much respect to you mkuu.

Ombi langu naomba uongelee kwa mapana kidogo hii yakuitwa ANALYSIS namna ya kuitumia pamoja na aina zake TECHNICAL, FUNDAMENTAL NA SENTIMENTAL.

natumai utatudadavulia vzr, na hii itakua ni faida kwa sisi wenye vigugumiz kwa lugha hiyo mama.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu kama mnavyoona screen shot hii, japo elim yangu std7 ile lugha mama pendwa inanitesa sana ila sikati tamaa IPO siku tu nitaelewa. Mfano fx wengi tulikuwa hatuijui ni kitu gani, buy&sell nilikuwa sijui, bar chart, candlestick nilikuwa sijui, jinsi ya ku'take new order/close position/modify price nilikuwa sijui! How to set SL&tp nilikuwa sijui! Na vingine Vingi! Mikakati yangu huwa naanza kwanza kuiChambua pair husika kuanzia D1,H4, m30, m15, m5, m1. Nikiona soko liko vizuri naingia mazima. Ila sasa shinda iko kwenye SL&tp, natamani kutumia sana SL tp japo na'go short ila kila ninapoweka lazima nipate hasara yani unakuta pair inajiclose wkt haijatick blue(-). Ila nikienda bila SL&tp lazima nivune faida. Nimejaribu kuomba msaada kwa grps wengi wananiambia nikasome vitabu kwamba nielewe surpot &resistance asa kila napojaribu kujielewesha hapo nakwama kabisa wadau nisaidieni kipengere hicho nikivuke. Yani nikiweka take profit nilenge sehem husika nisiangukie kwenye negative. ASANTENI
 
Nashukuru sana mkuu wangu!

Kuna kipindi nilishaletaga mada kuhusu technical na fundamental kwenye huu uzi siwezi kumbuka ni page gani ila kwa kifupi...

Technical analysis unaangalia market movement basing on price...unaweza tumia tools/indicators kama fibonacci tracement, moving average, RSI an nyingine nyingi kama hizo! Japo ina mapungufu yake ila ni moja ya njia zinazotumika sana kuangalia at what point uingie/ufungue position au muda gani ufunge position! as I said, ina mapungufu yake...

Kuna ingine inaitwa naked forex trade.... hii inatumia price tu, hamna indicators (kasome naked forex trader imeelezewa njema sana)

Fundamental...hii ndo yenyewe na ina impact kubwa sana katika currency husika, both in long and short term! sasa hapa tunaangalia matukio kama wars(refer tension kati ya Kiduku na Trump), terrorists attacks, elections(refer kipindi cha kampen za akina trump na uchaguzi wa UK...terresa May), employment data (refer payrow, NFP), natural calamities (refer mafuriko kule USA na impact yake kwenye bei ya oil) na kubwa zaidi ni interest rates znazotangazwa na bank kuu za nchi fulani mfano benki ya Euro(ECB), Banki kuu ya USA (Fed), banki ya UK na nyingine nyingi!!

Ukitaka kupata fundamental data unaweza tumia hizi web...
Forex Trading News & Analysis
Investing.com - Stock Market Quotes & Financial News

Sentiment analysis...hii imebase sana kwenye mood ya soko au how investors feels about currency movement!! Japo haitumiki sana ila ina inatoa mwelekea wa soko mfano kwa kutumia technical analysis unaweza dhani soko liko hivi kumbe kwa kutumia sentiment analysis unakuta soko liko vingine kabisa....(hapa wadau watailezea zaidi maana sina uzoefu nayo sana mkuu)!!

Ila nakushauri sana upitie kitabu cha astrofx na forex bilbe zimeelezewa vizuri sana humo...

NB: Ni vyema uka tumia analysis zaidi ya moja kujua price movement....
Karibu!!
 
mkuu sclaping si kuvizia au?? you go short mifano dk 1,5,&15
Nahisigi hvyo, lakn hili la kubuy then unasell SAME PAIR kwa kutegemea kumaximize faida ndo lanchanganya

<> semper fi <>
 
.......tatizo ni kama ukifungua EURUSD position mbili at once zenye sell na buy!!!

Cc AMLIGHT

Huyu jamaa ndo alivyofanya, ndo nasema alikosea, wakuu wanasema anafanya scalping... Mi naona wananivuruga... Mana hata kaelimu kangu kananambia kama kwenda juu ni kujumlisha kurudi chni inakuwa kutoa, sa jamaa kabuy na kusell SAME PAIR YA CURRENCY. anapataje faida?

Ndo nasubiri maelekezo.


<> semper fi <>
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…