Hakuna biashara iliyo last more than two hrs hapo kiongozi
Muda unaokua recorded hapo n muda ambao biashara imekua closed
Yaan pale unapo close position ndio faida/hasara uliyopata inakua recorded pamoja na muda, kumbuka ule n upande wa history
hizo biashara hazikwenda kwa wakati mmoja zote, alifanya nyakati tofaut tofaut
Na kilichofanya ana close akiwa na Faida ndogo namna hiyo n kwasababu ya uoga unaochangiwa na ugeni wake ama it's either haiamn analysis yake ama wakati mwingine anafanya hata kwa kuotea, once anapoona rangi ya blue ana close position hapo hapo, hathubutu kuacha trade ikapumua hata kidogo, anakua na wasiwasi mno endapo ikirud kwenye red inaweza isigeuke
Na pia swala jingine n kama alivyosema jamaa wakat anamfafanulia kuhusu TP na SL
Nyongeza kwako
WAKATI UNASOMA, MAWAZO YA KITABU YAWE MBELE, KIRUHUSU KITABU KIKUPE KNOWLEDGE, USISOME KWA NIA YA KUCHUKUA KITU KIDOGO KAMA KWAMBA SEHEMU KUBWA UNAIFAHAMU TAYARI, NA PALE UNAPOJIHISI KUCHOKA N BUSARA ZAID ENDAPO UKIWEKA KITABU PEMBEN, n hayo tu kiongozi