Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Jaman mnitag training ikitua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri uanze na self training yani uchukue jitihada za ziada kusoma na kuelewa vitabu ili upate a strong foundation ya what is fx and how its get done kwa sababau hata training ikianza vigezo vya kuingina kwenye training ni uwe unafahamu basics za hiii biashara it is possibly kutakuwa na interview or some sote of entry examination so you better prepare yourself. When the going get tough only the tough will get going.
Welcome to the game of PIPs
 
Kama ni real account, mkuu hongera sana!

Pia jitahidi sana KABLA HUJA OPEN POSITION UWE NA SABABU YA KUFUNGUA!! usifungue tu ilimradi umefungua! Pia jitahidi sana kutumia SL, zaidi ya yote kua makini sana na economic news releases, jua mda gan event gan inatokea! maana unaweza ukajisahau ikatokea economic event ukashangaa salio liko zero!! do not over trade, do not be greedy!!

All in all congrats comrade, its a positive progress!!
Mkuu, nakumbuka wakat fulan hv ulifungua real account, mrejesho mambo yalikuaje huko? experience?
 
Huyu jamaa ndo alivyofanya, ndo nasema alikosea, wakuu wanasema anafanya scalping... Mi naona wananivuruga... Mana hata kaelimu kangu kananambia kama kwenda juu ni kujumlisha kurudi chni inakuwa kutoa, sa jamaa kabuy na kusell SAME PAIR YA CURRENCY. anapataje faida?

Ndo nasubiri maelekezo.

<> semper fi <>
Hakufanya hvyo, wewe ndio umehisi kafanya hivyo
 
Amefanyaje? Kwa mujibu wa hyo screenshot

<> semper fi <>
Lodrick kakujibu vzuri huko juu

pitia maelezo yake

tatizo lako n moja, lile unalo lijua wewe ndio unahisi jamaa kafanya hvyo, sio
 
Safari imeiva sasa. Road trip, kama mtu alienda mpaka South Africa kufata knowledge zaidi ya mara moja sembuse mimi wa Tanzania humuhumu nishindwe kusafiri kuja Dar kweli. Ziwezi kufanya huu uzembe aisee. (talking to myself)
 
Lodrick kakujibu vzuri huko juu

pitia maelezo yake

tatizo lako n moja, lile unalo lijua wewe ndio unahisi jamaa kafanya hvyo, sio
Tatizo langu ni ugumu wa kuelewa... Kwamb scalping ni less than 10 saa hapo nasoma more than 2 hours na kwenda both direction... Buy and sell.

Ila wacha niridhike tu,
Mana hakuna namna.

Hakuna biashara iliyo last more than two hrs hapo kiongozi

Muda unaokua recorded hapo n muda ambao biashara imekua closed

Yaan pale unapo close position ndio faida/hasara uliyopata inakua recorded pamoja na muda, kumbuka ule n upande wa history

hizo biashara hazikwenda kwa wakati mmoja zote, alifanya nyakati tofaut tofaut

Na kilichofanya ana close akiwa na Faida ndogo namna hiyo n kwasababu ya uoga unaochangiwa na ugeni wake ama it's either haiamn analysis yake ama wakati mwingine anafanya hata kwa kuotea, once anapoona rangi ya blue ana close position hapo hapo, hathubutu kuacha trade ikapumua hata kidogo, anakua na wasiwasi mno endapo ikirud kwenye red inaweza isigeuke

Na pia swala jingine n kama alivyosema jamaa wakat anamfafanulia kuhusu TP na SL

Nyongeza kwako
WAKATI UNASOMA, MAWAZO YA KITABU YAWE MBELE, KIRUHUSU KITABU KIKUPE KNOWLEDGE, USISOME KWA NIA YA KUCHUKUA KITU KIDOGO KAMA KWAMBA SEHEMU KUBWA UNAIFAHAMU TAYARI, NA PALE UNAPOJIHISI KUCHOKA N BUSARA ZAID ENDAPO UKIWEKA KITABU PEMBEN, n hayo tu kiongozi
 
Nsharidhika mkuu!

<> semper fi <>
 
Morning traders

IMG_6068.jpg
IMG_6069.jpg

Sijui kuna tatizo gani kwenye Simu yangu, sipati sehemu ya PM. Naomba unianzishie PM nikujibu Na details zangu. Tafadhali. Asante.
 
Click jina la "ontario" kufungua profile ya jamaa.
Kutakuwa na option ya kumwandikia message.
Tumia option hiyo

<> semper fi <>
 
CAD leo naona imefanya kweli more pips

All men are self made [emoji123]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom