Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Samahan wakuu naomba kuuliza hil swali mana linanitesa



Mfano leo mchana gbp ilishuka sana dhid ya usd na baadae jion kuanza kuimarika

Iv haiwezeka kununua ikiwa inashuka na kusubir baadae inapopanda kuuza.....!!!?

Kama n ndio unafanyajeeee.....!!?


Nb ...m bado nasoma vitabu nafikir kufungua demo cku za karbun .....




Plz jaman mnisaide

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekuelewa kk nsaidie na hilo swali jingine


Pole kwa usumbufu lakin

Sent using Jamii Forums mobile app
Mim ni begginer pia mkuu..ila kama unaona pair inashuka uko free ku sell, na kama ikija kupanda basi pia uta buy...

Sasa hapo depends na strategies zako..wengine ni wazee wa scalping , au pia unaweza kutumia pending order kama unaamin hiyo pair bdae itakuja kupanda au kushuka

All men are self made [emoji123]
 
Poa kk

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mfano pair ni EURGBP...

Kama gbp ikishuka ina maana eur ina panda. Kwa swali lako... Unaweza nunua gpb ikiwa inashuka ila jua utakua unaweka kwenye hatari mwenyewe...

Kama currency inashuka au unadhan itashuka unatakiwa uuze (go short) otherwise utapata loss!!

Now.. Kama unataka kuuza ikiwa inashuka then tumia stop order... For this case tumia buy stop order! Hapa utakua umejiweka sehem nzuri na kujizuia na hasara incase ikiendelea kushuka bila kupanda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu iv baada ya kununua unaweza kaa nayo muda gani kabla ya kuiuza tena



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu iv baada ya kununua unaweza kaa nayo muda gani kabla ya kuiuza tena



Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea hamna muda maalum. Kuna mambo mbalimbali yanayosababisha currency fulani kupanda au kushuka kwa kipindi fulani Mfano; mambo ya economy policy, political news and crisis, natural disasters na mengne mengi sana..

Nakushauri endelea kusoma maswali yako mengi majibu yake yapo kwenye vitabu mkuu wangu.
 
Kuna mambo unachanganya mkuu.. Leo GBP haijashuka against USD hasa hicho kipindi cha mchana unachokisema GBP ndo ilikua inapanda thamani na USD ikawa weak.

Ni hivi mkuu naona katika kusoma kwako kuna mambo umeelewa kinyume, Huwa hatununui currency kama inashuka thamani na huwa hatuuzi currency fulani inapopanda thamani.

Pitia haka ka document kafupi nilikukuekea katajibu haya maswali yako kameelezewa vizuri sana.
 

Attachments

Samahani mkuu hio docoment unatumia app gani kuifungua maana adobe inagoma..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nashukuru Sana kwa challenge ila Mimi natembea na screen yangu pindi Nikiwa nimefanya position stegemei kuloose maake nataka nitambae na hii mpaka kieleweke SL na TP nitaapply baadae sana nikiwa sawa ila kwa sasa acha nitembee na screen yangu
usizoee kutembea na screen utashangaa linews limetoka huko red zinaongezeka tu mwisho position inajifunga automatic...(account burnt).
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…