Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
View attachment 583498
Hii ndiyo faida ya kutembea na screen

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, swala la elimu juu ya kitu fulani ni swala pana sana, na kuna njia nyingi mno za kupata elimu yenyewe, njia kuu mbili zilizo zoeleka ni ELIMU kwa maana ya kusoma na nyingne ni real life experience

Eneo la kwanza ambalo ni elimu umesha lipitia yaani kusoma, njia ya pili sasa na ambayo ndio ya muhimu kuliko vyoote ni real life experience naona umeizuia kabisa kwako, huitaki kabisa..

Ni kwanini nasema haya
Ukiangalia trade zako, mara nyingi kama sio zote umekua MVIZIAJI, hau trade kulingana na elimu uliyo pata na pia hautaki kulipa fursa soko likufunze yaani likupe real life experience ya forex ilivyo, unakosea sana mkuu,


Ukiendelea kuvia once trade ziki turn blue unaamua ku close position kwa hakika utakua hakuna unachofanya, pili, hakuna elimu wala experience ya soko unayopata, liache soko lipumue, fanya analysis yako vizuri, ingia sokon ukiwa na sababu ni kwanini nimeamua ku trade hivi, kua na target yako unataka ku archive nini kwenye hiyo trade, ukiweza hifadhi hata screenshot before and after trade, endapo soko likienda vizuri ama vibaya rudi kwenye analysis uongeze ujuzi ama upate funzo n kwann nilioa A ikatokea O... usivizie vizie hvyo mkuu

ipo siku utapiga hasara ya maana.. at the same time unakuta ukirudi kwenye kumbukumbu una winning trade karibu 50 mfululizo... hasara moja tu inakomba kila kitu, wakati ungetembea na risk vs reward ratio nzuri hiyo hasara wala isingekutikisa, Risk vs reward ratio ni vitu ambavyo hupaswi vitenga, pitia pita Astroforex


Mengine nikupongeze, you are doing good, ila tu acha kunyelea nyemela, lete hata screenshot hapa yenye Faid ndefu ndefu kidgo sio 1.09 kwa position moja...
 
Kwa wale ambao hawana mtaji wa kuanzia, au wanaotaka mtaji mkubwa kdg, instaforex wana real trading account ambayo ukifungua unapata real money ya kuanzia $1000.
ANGALIZO:
Hii pesa huwezi kuwithdraw ila ukipata faida unaweza kuitoa na kuitumia.

Mwisho wa bonus ni december. Just follow this link.

Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

<> semper fi <>
 


Faida ndefu kama hii?

<> semper fi <>
 
Habari wakuu.

Naomba mniunge kwenye group la forex la Telegram au kama kuna mtu ana link yake anitumie PM.

Ahsanteni wakuu
 
Kama unatamani kuanza na hauna mtaji, instaforex wanatoa real trading akaunt yenye bonus ya $1000. Ni kama demo, lakini ambayo ukipata faida utaweza kuwithdraw pesa yako na kuitumia.

No deposit bonus, ukijisajili tafadhali ipe muda wa kuprocess $1000 kwa ajili ya akaunt yako, kuna mwngne kauliza kuwa hajaona kitu kwa akaunti yake.

Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

<> semper fi <>
 
Hawahitaj ufanye any minmum deposit?

Sent from my SM-G906K using Tapatalk
 
Ok

<> semper fi <>
wakuu heshima zenu
kwa wanao mtumia JPmarkets mlifanya vipi deposit?sababu nikitaka kuweka landing account sipati option ya USD.Pana ZAR na GBP pekee.hata nikichagua hizo option zilizopo na kujaza confirm signature sipati response yoyote.Nilijaribu kuwacheki wakanipa option ya kutransfer kwa bank,ila tatizo ni nchi niliyopo international transfer zinasumbua sana.kwa yeyote mwenye msaada na idea jinsi ya kutatua hii kitu
 
Leo kuna consumer inflation expectations release UK na RBA's Governor Hughe's speech kwa Australia.

Stay tuned kuona market inavyopata impact

<> semper fi <>
 
Bahati mbaya situmii Jpmarkets. Ila wanaotumia watakusaidia tu.

<> semper fi <>
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…